Tundu Lissu: Mahakama Zetu Haziaminiki kimataifa

Tundu Lissu: Mahakama Zetu Haziaminiki kimataifa

Hizi mahakama zetu haziaminiki hata ndani, kuna haja nasi wananchi na taasisi nyingine tulazimishe kuundiwa tribunal zetu ili kulinda haki zetu dhidi ya serikali, hii serikali ya CCM isiyoaminika nje na ndani sijui ni ya sampuli gani, inatakiwa iondolewe ikulu ikawekwe makumbusho ya taifa iwe kivutio cha utalii.
 
Kila siku tunaambiwa tuwe na mahakama huru, waendesha mashtaka huru, wanasheria wa serikali huru, bunge huru la kupitisha sheria za haki, mihimili ya dola huru yaani Bunge, Mahakama na dola / Executive rais asiwe mithili ya mfalme bali afuate sheria za haki asiwe mtu wa matamko, mtoa pesa zote, mjenga barabara ya kitongoji n..k CCM hawatuelewi wanataka kusifu, kuabudu na kutukuza uvunjajwi wa sheria, katiba, mikataba kisa amri toka juu.

Sasa mihimili yote ya dola la Tanzania yaani Bunge, Mahakama na taasisi ya urais haviaminiki ndani ya nchi na kimataifa .

Bunge la wabunge ambao hawajachaguliwa na wananchi 2020, majaji wanaoonekana ni makada wa CCM, serikali inayofuata sera za kibaguzi kubagua vyama vingine vilivyosajiliwa kwa mujibu wa sheria na kutambulika kikatiba vinazuiliwa kufanya shughuli za siasa ....... wananchi kubomolewa nyumba Kimara DSM bila fidia, Rugemalila Singh plea & bargaining , shamba la miwa Bagamoyo, Stein mkulima wa Afrika ya Kusini, uchafuzi wa uchaguzi 2020, ... listi ni ndefu

Victory Attorneys & Consultants
https://victoryattorneys.co.tz › plea-...
Plea Bargaining Arrangement: The Inevitable Law In Tanzania

Plea bargaining refers to the process whereby an accused and public prosecutor reach a mutual agreement without going through long court
Kazi kweli kweli. Hivi wao hawaoni aibu?
 
Kwa mahakama zetu hapa, hata mtu kujitambulisha kuwa wewe ni jaji, ni kujitukana.

Sisi hatuna mahakama. Kuna idara ya ikulu inayoitwa mahakama ili kuwahadaa watu kuwa tuna mahakama.
Ni mahakama za ccm.

Ccm can't do any tangible thing
 
Hizi mahakama zetu haziaminiki hata ndani, kuna haja nasi wananchi na taasisi nyingine tulazimishe kuundiwa tribunal zetu ili kulinda haki zetu dhidi ya serikali, hii serikali ya CCM isiyoaminika nje na ndani sijui ni ya sampuli gani, inatakiwa iondolewe ikulu ikawekwe makumbusho ya taifa iwe kivutio cha utalii.
Hata wao hawaaniani.
 
Jopo la waamuzi huwa na watu watatu, mmoja huteuliwa na serikali/mdaiwa yaani Tanzania, mjumbe wa pili huteuliwa na mwekezaji na wa tatu huteuliwa kwa makubaliano baina ya serikali na mwekezaji na huyu huwa ndiyo mwenyekiti wa tribunal anabainisha Tundu Lissu.

Procedures​

Selection and Appointment of Tribunal Members - ICSID Convention Arbitration (2006 Rules)​

Once the number of arbitrators and the method of their appointment have been determined, the arbitrator(s) may be appointed. If the parties are unable to appoint all members of the Tribunal pursuant to the established method of appointment, the ICSID default mechanism may apply.

Parties are not required to select arbitrators from the ICSID Panel of Arbitrators, although they are welcome to do so.

The Convention sets forth certain requirements regarding the nationality and qualifications of appointees to ICSID Tribunals, but the parties are otherwise free to choose whomever they wish.

Requirements for Appointees

Nationality Requirement

A majority of arbitrators on a Tribunal must be nationals of States other than the State party to the dispute and the State whose national is a party to the dispute (Article 39 of the Convention and Arbitration Rule 1(3)).

The nationality rule does not apply if the sole arbitrator or each individual member of the Tribunal is appointed by agreement of the parties.

Where a Tribunal consists of three members, an arbitrator cannot have the same nationality as either party unless both parties agree to that appointment.

In practice, this means that:
  • A sole arbitrator may not have the same nationality as either party unless both parties agree.
  • If each party has appointed a person of an excluded nationality (as approved by the other party), the parties must also agree on the appointment of the President of the Tribunal.
Arbitrator Qualifications

All ICSID arbitrators must be persons:
  • of high moral character;
  • with recognized competence in the fields of law, commerce, industry or finance; and
  • who may be relied upon to exercise independent judgment (Article 14(1) and Article 40(2) of the Convention).
Additional Considerations for Selecting Arbitrators

In addition to the requirements established by the Convention, there are several practical considerations that parties should reflect upon when selecting an arbitrator. Although these may vary depending on the specific characteristics and demands of each case, the following factors are generally among the most important:
  • Knowledge of the relevant law(s)
  • Absence of conflict of interest
  • Experience as an arbitrator
  • Language proficiency
  • Availability of arbitrator/manageability of current caseload
  • Timeliness
  • Cohesiveness of the Tribunal
  • Other areas of expertise
Appointing an Arbitrator

The parties should provide ICSID with the following information in respect of an arbitrator appointment:
  • complete name;
  • nationality;
  • contact information (i.e., mailing address, telephone and fax numbers, email); and
  • a current curriculum vitae.
Once an arbitrator is appointed, ICSID seeks the appointee’s acceptance of the nomination. The Secretary-General then notifies the parties of the appointee’s acceptance or refusal.

If an arbitrator refuses or fails to accept the appointment within 15 days, ICSID will invite the appointing party to nominate another arbitrator.

Default Mechanism for Appointing an Arbitrator

If the parties are unable to appoint all members of the Tribunal within 90 days of the registration of the request for arbitration, either party may request that the Chairman of the ICSID Administrative Council appoint the arbitrator(s) not yet appointed (Article 38 of the ICSID Convention).

When a party makes such a request in respect of the Sole Arbitrator or President of the Tribunal, ICSID first conducts a ballot procedure (see ICSID's sample ballot):
  • ICSID provides the parties with a ballot form containing the names of several candidates, who may or may not be members of the ICSID Panel of Arbitrators.
  • Each party is given a short time limit to return its completed ballot form, indicating the candidates it accepts or rejects.
  • A party is not required to share its ballot with the other party.
  • If the parties agree on a candidate from the ballot, that person will be deemed to have been appointed by agreement of the parties.
  • If the parties agree on more than one proposed candidate, ICSID selects one of them and informs the parties of the selection.
A successful ballot is considered an appointment by agreement of the parties under the established method of constituting the Tribunal.

If there is no agreement by the parties, ICSID names a person from the Panel of Arbitrators, pursuant to Article 38 of the Convention. Before the person is appointed, the parties are given the opportunity to raise any circumstance showing that the person lacks the required qualities under the ICSID Convention (Article 14(1) of the Convention).

Until the process is completed, the parties may appoint missing arbitrators under the established method of constitution or by agreement.

The Centre endeavors to complete the appointment process within 30 days of the request for appointment.

READ MORE ; Source : Selection and Appointment of Tribunal Members - ICSID Convention Arbitration (2006 Rules) | ICSID
 
BIT ni mikataba ya hadharani kwani ni moja na nchi nyingine Tafadhali Watanzania tumieni mtandao kujielimishi

Hapa umetoa elimu huria tusome: Maridhiano ya Sweden na Tanzania kuhusu uwekezaji salama na jinsi ya kupata suluhisho kukiwepo changamoto.

Mwekezaji wa shamba la miwa ni raia wa Sweden hivyo makubaliano ya mwaka 1999 na marekebisho yake yanahusika ili kufikia maamuzi ya haki.

Sweden - United Republic of Tanzania BIT (1999)​

Parties
Treaty type
Bilateral Investment Treaties
Status
In force
Date of signature
01/09/1999
Date of entry into force
01/03/2002
Treaty full text Source : Sweden - United Republic of Tanzania BIT (1999) | International Investment Agreements Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
en
IIA content
Mapped

Mapped treaty elements​

Expand / collapse all

Preamble

Scope and Definitions

Standards of Treatment

Other Clauses

Exceptions

State-State Dispute Settlement (SSDS)

Investor-State Dispute Settlement (ISDS)

Institutional Issues

Treaty Duration, Amendment and Termination

Originally mapped
03-2014
Mapped by
Korea University Law School (South Korea); Xiamen University School of Law (China)
About
The IIA Mapping Project is a collaborative initiative between UNCTAD and universities worldwide to map the content of IIAs. The resulting database serves as a tool to understand trends in IIA drafting, assess the prevalence of different policy approaches and identify treaty examples.

For more information on the project, please read the Mapping Project Description & Methodology.


nvestmentpolicy.unctad.org
https://investmentpolicy.unctad.org › ...
International Investment Agreements Navigator


No.TypeStatusDate of signature
1BITsSigned (not in force)12/10/2022
3BITsSigned (not in force)23/06/2022
4BITsSigned (not in force)09/06/2022


READ MORE : source : International Investment Agreements Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
 
Tanzania, United Republic of

Tanzania, United Republic of​

export Export table
NO.SHORT TITLESTATUSPARTIESDATE OF SIGNATUREDATE OF ENTRY INTO FORCETEXT
1Kuwait - Tanzania, United Republic of BIT (2013)Signed (not in force)Kuwait17/11/2013
2Canada - United Republic of Tanzania BIT (2013)In forceCanada17/05/201309/12/2013Full text: en
3China - United Republic of Tanzania BIT (2013)In forceChina24/03/201317/04/2014Full text: en
4Oman - United Republic of Tanzania BIT (2012)Signed (not in force)Oman16/10/2012Full text: en
5United Republic of Tanzania - Turkey BIT (2011)In forceTürkiye11/03/201103/01/2017Full text: en
6Jordan - United Republic of Tanzania BIT (2009)Signed (not in force)Jordan08/10/2009Full text: ar
7Mauritius - United Republic of Tanzania BIT (2009)In forceMauritius04/05/200902/03/2013Full text: en
8South Africa - United Republic of Tanzania BIT (2005)Signed (not in force)South Africa22/09/2005Full text: en
9Switzerland - United Republic of Tanzania BIT (2004)In forceSwitzerland08/04/200406/04/2006Full text: en
10United Republic of Tanzania - Zimbabwe BIT (2003)Signed (not in force)Zimbabwe03/07/2003
11Italy - United Republic of Tanzania BIT (2001)In forceItaly21/08/200125/04/2003Full text: en
12Netherlands - United Republic of Tanzania BIT (2001)TerminatedNetherlands31/07/200101/04/2004Full text: en
13Finland - United Republic of Tanzania BIT (2001)In forceFinland19/06/200130/10/2002Full text: en
14Sweden - United Republic of Tanzania BIT (1999)In forceSweden01/09/199901/03/2002Full text: en
15Denmark - United Republic of Tanzania BIT (1999)In forceDenmark22/04/199921/10/2005Full text: en
16Korea, Republic of - United Republic of Tanzania BIT (1998)Signed (not in force)Korea, Republic of18/12/1998Full text: en
17Egypt - United Republic of Tanzania BIT (1997)Signed (not in force)Egypt30/04/1997
18United Republic of Tanzania - United Kingdom BIT (1994)In forceUnited Kingdom07/01/199402/08/1996Full text: en
19Switzerland - United Republic of Tanzania BIT (1965)TerminatedSwitzerland03/05/196516/09/1965Full text: fr
20Germany - United Republic of Tanzania BIT (1965)In forceGermany30/01/196512/07/1968Full text: en | de

Related​

 
Tanzania, United Republic of

Tanzania, United Republic of​

export Export table
NO.SHORT TITLESTATUSPARTIESDATE OF SIGNATUREDATE OF ENTRY INTO FORCETEXT
1Kuwait - Tanzania, United Republic of BIT (2013)Signed (not in force)Kuwait17/11/2013
2Canada - United Republic of Tanzania BIT (2013)In forceCanada17/05/201309/12/2013Full text: en
3China - United Republic of Tanzania BIT (2013)In forceChina24/03/201317/04/2014Full text: en
4Oman - United Republic of Tanzania BIT (2012)Signed (not in force)Oman16/10/2012Full text: en
5United Republic of Tanzania - Turkey BIT (2011)In forceTürkiye11/03/201103/01/2017Full text: en
6Jordan - United Republic of Tanzania BIT (2009)Signed (not in force)Jordan08/10/2009Full text: ar
7Mauritius - United Republic of Tanzania BIT (2009)In forceMauritius04/05/200902/03/2013Full text: en
8South Africa - United Republic of Tanzania BIT (2005)Signed (not in force)South Africa22/09/2005Full text: en
9Switzerland - United Republic of Tanzania BIT (2004)In forceSwitzerland08/04/200406/04/2006Full text: en
10United Republic of Tanzania - Zimbabwe BIT (2003)Signed (not in force)Zimbabwe03/07/2003
11Italy - United Republic of Tanzania BIT (2001)In forceItaly21/08/200125/04/2003Full text: en
12Netherlands - United Republic of Tanzania BIT (2001)TerminatedNetherlands31/07/200101/04/2004Full text: en
13Finland - United Republic of Tanzania BIT (2001)In forceFinland19/06/200130/10/2002Full text: en
14Sweden - United Republic of Tanzania BIT (1999)In forceSweden01/09/199901/03/2002Full text: en
15Denmark - United Republic of Tanzania BIT (1999)In forceDenmark22/04/199921/10/2005Full text: en
16Korea, Republic of - United Republic of Tanzania BIT (1998)Signed (not in force)Korea, Republic of18/12/1998Full text: en
17Egypt - United Republic of Tanzania BIT (1997)Signed (not in force)Egypt30/04/1997
18United Republic of Tanzania - United Kingdom BIT (1994)In forceUnited Kingdom07/01/199402/08/1996Full text: en
19Switzerland - United Republic of Tanzania BIT (1965)TerminatedSwitzerland03/05/196516/09/1965Full text: fr
20Germany - United Republic of Tanzania BIT (1965)In forceGermany30/01/196512/07/1968Full text: en | de

Related​

umetisha bagamoyo
 
umetisha bagamoyo

CCM wanasingizia huku wakilia na kupaza sauti kuwa ni njama za mabeberu kumbe kila kitu kipo wazi.

Mkataba wa maridhiano walisaini serikali ya CCM, mwaka 1999 kuwa Sweden na Tanzania kulinda maslahi ya wawekezaji wa kiTanzania wakienda kuwekeza Sweden na vivyo hivyo waSwedish wakija kuwekeza Tanzania
 
JAJI SAMATTA - SERIKALI BADALA YA KUKATA RUFAA, HUKiMBILIA BUNGENI KUBADILI SHERIA, HII SIYO HATUA NJEMA

July 24, 2007 - 6:08 am


JAJI Mkuu mstaafu, Bw. Barnabas Samatta, ambaye ameanza rasmi maisha ya ustaafu baada ya kuitumikia Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania katika nyadhifa mbalimbali kwa miaka takribani 31, amesema moja ya mambo yaliyowahi uamuzi mbalimbali wa Idara hiyo.

Na Hassan Abbas
JAJI Mkuu mstaafu, Bw. Barnabas Samatta, ambaye ameanza rasmi maisha ya ustaafu baada ya kuitumikia Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania katika nyadhifa mbalimbali kwa miaka takribani 31, amesema moja ya mambo yaliyowahi uamuzi mbalimbali wa Idara hiyo.

Jaji Samatta alizungumzia suala hilo na pia kutoa wosia wake katika masuala mengine kadhaa ya kitaifa, alipofanya mahojiano maalumu na gazeti hili jana nyumbani kwake, Oysterbay, Dar es Salaam.

Jaji Samatta alitamka bayana kuwa Bunge lina mipaka katika utungaji sheria, alipokuwa akijibu swali kuhusu mtazamo wake juu ya vitendo vya mara kadhaa vilivyofanywa na Bunge kufuta uamuzi wa Mahakama kwa kutotekeleza hukumu zake na badala yake kutunga sheria mpya, na mara kadhaa kuibadili Katiba ya nchi.

Moja ya uamuzi ambao unalalamikiwa na wafuatiliaji wa masuala ya sheria na siasa nchini ni wa kesi namba 5 ya mwaka 1995 ambapo Jaji Kahwa Lugakingira, alihukumu kuwa wagombea binafsi ni halali kushiriki katika chaguzi mbalimbali ukiwamo urais.

Badala ya kupinga uamuzi huo kwa kufungua kesi Mahakama ya Rufani, Serikali ilipeleka muswada bungeni na kubadili Katiba katika ibara ya 39 kwa kuongeza kipengele kilichoeleza, kuwa moja ya sifa ya mtu kugombea uongozi wa kisiasa ni kuwa mwanachama wa chama cha siasa, mabadiliko ambayo moja kwa moja yaliifanya hukumu ya Jaji Lugakingira kuwa haina maana tena.

Akizungumzia hali hiyo na matukio mengine ya Bunge kufuta uamuzi wa Mahakama, Bw. Samatta alisema: “Tunashukuru kuwa hivi sasa Katiba iko wazi zaidi kuhusu majukumu ya mihimili mitatu ya Dola.

“Bunge lina kazi ya kutunga sheria na linachotakiwa kufanya ni kufanya mabadiliko tu ya sheria kwa kadri hukumu ya Mahakama ilivyoelekeza na si kufuta uamuzi wa Mahakama.”
Akifafanua kuhusu mamlaka ya Bunge kutunga sheria na hasa kubadili Katiba ya nchi, Bw. Samatta alisema kwa mtazamo wake, Bunge halipaswi kubadili Katiba kiholela, bali linapaswa kufuata misingi.

“Ukisoma baadhi ya vifungu vya Katiba, unaweza kuona kuwa Bunge halina mipaka katika kufanya mabadiliko ya Katiba, lakini ukiisoma Katiba yote, utabaini kuwa Bunge lina mipaka na baadhi ya mabadiliko linatakiwa liwaulize wananchi kupitia kura ya maoni,” alisema.

Alisema mara kadhaa Bunge lilipokuwa likiingilia uamuzi wa kimahakama na kuufuta, wao walibaki hawana jinsi, kwa sababu kisheria, Mahakama haiwezi kufungua kesi yenyewe na kuiendesha.

“Mahakama inategemea maoni ya umma. Hukumu ya Mahakama ikifutwa na Bunge, Mahakama yenyewe haiwezi kufungua kesi ili kutoa msimamo wake na kuutetea uhuru wake,” alisema na kuwashauri Watanzania wawe walinzi wa kwanza wa uhuru wa mahakama inapotokea hali kama hiyo.

Bw. Samatta alifafanua akisema kutokana na vitendo hivyo vya Bunge, fursa pekee ya Mahakama ingekuja baada ya wananchi wenyewe kufungua kesi kutaka kuhoji vitendo vya Bunge na kutaka uhuru wa Mahakama uheshimiwe.

“Nakumbuka wakati fulani alikuja mwananchi mmoja kufungua kesi hiyo, akitaka mipaka ya Bunge na Mahakama iwekwe bayana. Niliteua jopo la majaji kusikiliza kesi hiyo, ambayo naamini ingekuwa kubwa na nzito zaidi katika historia ya uhuru wa Mahakama. Mimi mwenyewe nilikuwa katika jopo la majaji tukiwa tayari kuiendesha kesi hiyo.

“Lakini kitu ambacho hadi leo hatujajua sababu yake, ni kwamba yule mwananchi siku ya kuanza kusikilizwa kesi, hakutokea na hata jitihada za kusubiri labda angekuja kutoa udhuru wowote na kuifanya kesi hiyo iendelee, hazikufanikiwa.

Tukalazimika kuifuta. Hadi leo hakuna mwananchi mwingine aliyefungua kesi kutaka Mahakama itoe msimamo wake,” alisema.

Akizungumzia suala la uhuru wa Mahakama, hasa kipengele cha bajeti na hoja kuwa mamlaka ya Rais kuteua majaji kama yanaweza kuwa kitanzi katika uhuru wa Mahakama, Bw. Samatta akianzia na suala la bajeti, alisema katika mambo yaliyoikwaza Mahakama katika kipindi alichokuwa mkuu wake ni bajeti.

“Bajeti ya Mahakama ni ndogo sana na katika kipindi chote nilichokuwa katika sekta hiyo, kipindi ambacho tulipewa fedha nyingi basi ni nusu ya kile tulichokuwa tumeomba, mara kadhaa tulipewa hata pungufu ya hapo,” alisema.

Aliongeza: “Bajeti ya Idara ya Mahakama ni ndogo. Nchi nyingine zinatenga bajeti kubwa na zimekuwa na mafanikio. Matatizo mengi ya kushindikana mageuzi katika Mahakama, yanatokana na bajeti kuwa ndogo.”

Alitaja baadhi ya matatizo ambayo bado yanaikumba Mahakama hata baada ya yeye kumaliza muda wake, kuwa ni upungufu wa majengo, vifaa vya kazi, upungufu wa wafanyakazi na pia mishahara midogo.

Alisema iwapo ripoti ya Kamati ya Jaji Bomani itafanyiwa kazi, matatizo mengi yanayoikumba Mahakama ya Tanzania yatatatuliwa.

Akizungumzia suala la kama nguvu alizopewa Rais kuteua majaji akiwamo Jaji Mkuu zinaweza kuathiri uhuru wa Mahakama, alisema suala hilo ni zito na linahitaji mjadala wa umma.

“Labda hilo huko mbele tuliangalie kwa kina. Linahitaji mjadala. Zipo nchi kama India wanatumia mfumo wa Jaji anayefuatia kwa uzoefu ndiye moja kwa moja anakuwa Jaji Mkuu, Rais hateui Jaji Mkuu. Lakini hata hilo linaweza kuwa na matatizo. Hivyo baadaye tunaweza kuruhusu wananchi watafakari faida na hasara za kila mfumo,” alisema.

Katika mahojiano hayo pia Bw. Samatta alisema hakujisikia vibaya wakati akiwa Jaji kumhukumu mtu adhabu ya kunyongwa, kwa sababu wengi waliopewa adhabu hiyo walikuwa wamefanya makosa makubwa na ya kikatili.

“Sikujisikia vibaya kumhukumu mtu kunyongwa, kwa sababu waliopewa, kwanza sheria ya sasa inaruhusu, lakini pia adhabu hiyo hutolewa kwa watu ambao wamefanya makosa makubwa ikiwamo kuua,” alisema na kuzungumzia mwito wa wanaharakati mbalimbali wa haki za binadamu wanaotaka adhabu hiyo sasa ifutwe.
“Naamini nchi yetu itafikia wakati itaruhusu mjadala juu ya hilo. Lakini hata kama ni kuifuta adhabu ya kifo basi hatua hizo zisichukuliwe ghafla.”

Maisha ya ustaafu
Kuhusu maisha baada ya kustaafu, Bw. Samatta, alisema hafikirii kuwa wakili binafsi katika maisha yake ya kustaafu na badala yake atajishughulisha zaidi na kilimo na kujisomea vitabu.

Akizungumza jana katika mahojiano maalumu nyumbani kwake Dar es Salaam, Bw. Samatta alisema haoni kama ni vema kwa mtu kama yeye aliyefikia hadhi ya kuwa Jaji Mkuu, kurejea tena mahakamani na kusimama mbele ya mahakimu au majaji akitetea wateja.
Bw. Samatta alisema hayo alipokuwa akijibu swali la kama anafikiria kufanya kazi za uwakili wa kujitegemea na pia kama alikuwa na mpango wa kuwa mhadhiri wa sheria katika vyuo hapa nchini baada ya kustaafu.

“Sifikirii kuwa wakili wa kujitegemea kwa muda huu. Kuna sababu za kiufundi tu ambazo zinanifanya nione si busara kuifanya kazi hiyo,” alisema na kufafanua:
“Wapo majaji wanapostaafu wamekuwa wakirejea katika kazi za sheria kwa kuwa mawakili binafsi.

Lakini kwangu hasa kwa wadhifa nilioufikia, nadhani lipo tatizo la msingi linalonikwaza lakini pia sidhani kama ni busara kurejea mahakamani na kuanza kuwaomba mahakimu na majaji waniruhusu niendeshe kesi kama wakili.”

Akizungumzia mipango yake akiwa mstaafu, Bw. Samatta alisema anapanga kubaki mkulima na zaidi kutumia muda mwingi kusoma vitabu vingi ambavyo anasema alikosa nafasi ya kuvisoma.

“Napanga kubaki mkulima wa kawaida, si kilimo cha biashara, nitalima kama hobby tu,” alisema na kuongeza:
“Nataka kutumia muda wangu mwingi wa mapumziko kusoma vitabu. Nina vitabu vingi sana ambavyo sikupata nafasi ya kuvisoma. Vingi nitakavyosoma sasa ni vilivyo nje ya fani ya sheria. Nina vitabu vingi karibu 100 vya maisha ya watu, siasa na historia ambavyo sijawahi kuvisoma.”

Bw. Samatta pia alisema anafikiria kuandika vitabu, lakini hilo litatokana na kama atapata nyaraka ambazo anajaribu kuzikusanya.
“Nafikiria pia kuandika, lakini kuna nyaraka nazikusanya kwanza nikifanikisha hilo, basi nitaandika kitu ambacho kitakuwa ni mchango wangu katika fani ya sheria na utumishi wangu katika Mahakama,” alisema.

Baada ya kuanza maisha ya ustaafu, Bw. Samatta aliwaomba Watanzania kuiunga mkono Mahakama na kuitumia, kwani ni chombo kilichoundwa kwa ajili ya kusimamia haki zao.

Pia aliomba wananchi wauunge mkono uongozi wa Mahakama ya Tanzania chini ya Jaji Mkuu mpya, Bw. Augustino Ramadhan.
Source: Majira
 
Majaji wa Tz kusema kweli wameonyesha udhaifu mkubwa na wa kutisha ktk heshima ya majaji duniani!
Sidhani kama wanaweza kuitwa popote kusimamia haki kwani ni wapindishaji wakubwa!
 
Wale majaji wa mchongo kwenye kesi ya Mbowe ndiyo waliiharishia kabisa mahakama ya Tanzania.
 
Serikali ya awamu ya sita ya CCM ile ile imekuwa na upole tofauti na ilivyokuwa chini ya JPM.

Tujikumbushe jinsi serikali ya JPM ilivyocharuka na kugeuka mbogo aliyejeruhiwa kwa matukio ya kudaiwa :
23 November 2019 : Profesa Kabudi amesema kuendelea kwa vitendo hivyo ni hujuma za mabeberu wasiofurahishwa na maendeleo nchini.

Saturday, November 23, 2019​

Ndege nyingine ya Tanzania yakamatwa Canada​



Ndege nyingine ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombadier ambayo ilikuwa ikijiandaa kuja Tanzania imekamatwa nchini Canada, ambapo aliyefanya hivyo ni yuleyule (Hermanus Steyn, raia wa Afrika Kusini) ambaye aliikamata ndege kama hiyo nchini Afrika Kusini miezi michache iliyopita lakini Serikali ya Tanzania ikamshinda mahakamani.

Hayo yamesemwa leo, Jumamosi Novemba 23, 2019 na Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, wakati akihutubia baada ya Rais John Magufuli kuwaapisha mabalozi wateule watano watakaoiwakilisha Tanzania nchi mbalimbali ambapo hafla hiyo ya imefanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

Mabalozi walioapishwa leo Ikulu Dodoma ni;
  1. Mhe. Mej. Jen. Mstaafu Asleim Bahati, Balozi wa Tanzania Misri
  2. Mhe. Jestas Nyamanga, Balozi nchini Ubelgijji
  3. Mhe. Mohammed Mtonga, Balozi wa Tanzania, UAE
  4. Mhe. Jilly Maleko, Balozi nchini Burundi
  5. Mhe. Ali Mwadini, Balozi nchini Saudi Arabia.
Profesa Kabudi amesema kuendelea kwa vitendo hivyo ni hujuma za mabeberu wasiofurahishwa na maendeleo nchini.

“Tulikwenda mahakamani tukamshinda (Afrika Kusini) akakata rufaa na wiki iliyopita tukamshinda tena, huyohuyo sasa amekimbilia Canada amekamata ndege ya Bombardier Q400 ambayo ilikuwa ifike nchini.

“Jambo linalosikitisha ndege zilizokuwa zinatoka Marekani aina ya Dreamliner mbili hazikukamatwa zimefika lakini kila ndege inapotakiwa kuondoka Canada tunashangaa hao matapeli wanajuaje na ndege zinakamatwa.” Amesema Profesa Kabudi.

Amesema Balozi wa Tanzania nchini Canada aliitwa nchini na kuelezwa jinsi nchi isivyofurahishwa na kukamatwa kwa ndege zake kila zinapokaribia kuja kuondoka nchini humo.

“Jana nimemuita Balozi wa Canada, nimeongea naye kinagaubaga na kumwambia, haturidhishwi na tumechukizwa na tabia inayoendelea ya ndege zetu kukamatwa kila zinapotaka kutoka Canada, Mheshimiwa rais tunafikiri kukushauri kuhusu suala la kununua ndege Canada, si wao pekee wanaotengeneza ndege, hata Brazil wanatengeneza.

“Wanasingizia hali ya hewa, wanasimamisha safari zake, kisha wanaikamata. Kule Afrika Kusini tulimshinda kesi ya msingi na rufaa sasa hivi amekimbilia Canada, tayari tumeshapata wanasheria kule Canada na taratibu zote za kutetea ndege yetu zimeanza.

“Hoja yetu kubwa ni kuwaeleza watu wa Canada kwamba amekenda kwenye mahakama za nje ameshindwa na sasa amekimbilia Canada. Sasa tumeelewa kuwa kila unapoleta maendeleo wapo mabeberu wa nje na wengine wa ndani wanaotuhujumu. Wanakesha wakiunguruma ili wairarue nchi hii,” amesema Prof. Kabudi.

Kushikiliwa kwa ndege hiyo kunarejesha kumbukumbu ya ndege nyingine ya Tanzania aina ya Bombardier Q400-8 iliyozuiwa nchini Canada mwaka 2017 kutokana na madai ya Sh87.3 bilioni zilizokuwa zikidaiwa na kampuni ya kikandarasi
 
Wakili Harold Sungusa : Serikali imetunga sheria nyingi za kujilinda badala ya zile za kutoa haki ndiyo maana tuna Mawakili goigoi wa serikali, ambao hawawezi kushinda kesi kimataifa. Mfumo mzima wa haki na ule wa jinai haki hauwafanyi Mawakili/ wanasheria na waendesha mashtaka kuwa na umahiri, weledi katika kazi



Huyu wakili anafaa sana kuwaelisha watawala lakini sidhani kama watamsikiliza
 
Back
Top Bottom