Angekaa kimya au kusifia kinafiki kwa kuwa ametibiwa enzi za mwana wa Jomo yaani Uhuru, sasa hiyo ndio ingekuwa rushwa... ni ukosefu wa shukrani katibiwa kipindi cha serikali ya Mtoto wa Kenyatta ambaye i Uhuru Kenyatta sikutarajia atoe matamko kama yale
Sijakataa chochote lakini hayo ni mambo yao ya ndani nadhani wangeongea wenyewe sawa sio mtanzania.Ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi.Alihojiwa kuhusu mambo ya Magufuli akasema ohh Maguguli hakuwa mzuri kwenye diplomacy sina shida ni.maoni yake lakini je kuingiñia mambo ya ndani ya Kenya yeye akiwa mwanasiasa wa Tanzania ni good diplomacy?Nikadhani una ushahidi wa kupinga hiyo hoja kumbe hutaki ukweli kwa sababu mtoto wa Kenyatta ndio Rais kwa sasa, wakenya wenyewe ndio humshutumu Moi kuwa alikuwa dictator na ndio maana walianza kufikiria kuwa na katiba mpya ili kumbana raisi (mambo ya Moi) yasijirudie tena.
Ukiwaambia walikatae hilo dunia nzima itawaona wao ni vigeugeu na waongo kwani hizo ndio zilikuwa hoja zao za siku zote.
Wewe utakuwa ODM Haina shida Shida yangu msimamo wa Chadema ulikuwa huo wako wa ODM na wakawa rafiki wa ODM wakahamia baadayeJubilee .Sasa Chadema wako na Jubleee kama Chama wakati Lisu kama makamu mwenyekiti wa Chadema taifa kabaki msimamo wa ODM !!!! What a paradox !! Anyway Chadema nao wanatakiwa kutoa tamko wanadimamia wapi kwenye foreign relations na Kenya ODM au Jubilee? Lisu anaonyesha ni single mover ha stand kwenye corporate devisions !! anabeka tu na kubwata anachokiamini yeye kama yeye na kusahau kuwa yeye ni high level political leader ambaye anatakiwa kuangalia misimamo ya chama chake.Mimi Mkenya hapa na nakubaliana na yeye asilimia 100%
Huyo jamaa napenda sana ujasiri wake, huwa harembi na hata kuna siku nilimskia akimkosoa Nyerere ambaye Watanzania huwa hawataki asemwe, kwamba alikua kama mungu mtu na mtimilifu 100%
Kubali kuambiwa ukweli ili ikuweke huru, hao Kenyatta na Moi walifanya madudu sana na kama hatungepambana kutafuta ukombozi wa pili, nchi yetu ingeendelea kuwa maskini miaka yote chini ya chama dhalimu kama ilivyo Tanzania ya leo.
Mimi nilihusika kwenye mapambano ya miaka ya tisini mpaka tukafika hapa tulipo, nina makovu kama ishara ya uhusika wangu.
Leo tuna katiba nzuri, nchi yetu inapepea kiuchumi na kwenye kila taasisi na idara, ni dhahiri hatujafika lakini tunakwenda vizuri.
Nchi yetu sio maskini mzee, na ccm sio kanu.Mimi Mkenya hapa na nakubaliana na yeye asilimia 100%
Huyo jamaa napenda sana ujasiri wake, huwa harembi na hata kuna siku nilimskia akimkosoa Nyerere ambaye Watanzania huwa hawataki asemwe, kwamba alikua kama mungu mtu na mtimilifu 100%
Kubali kuambiwa ukweli ili ikuweke huru, hao Kenyatta na Moi walifanya madudu sana na kama hatungepambana kutafuta ukombozi wa pili, nchi yetu ingeendelea kuwa maskini miaka yote chini ya chama dhalimu kama ilivyo Tanzania ya leo.
Mimi nilihusika kwenye mapambano ya miaka ya tisini mpaka tukafika hapa tulipo, nina makovu kama ishara ya uhusika wangu.
Leo tuna katiba nzuri, nchi yetu inapepea kiuchumi na kwenye kila taasisi na idara, ni dhahiri hatujafika lakini tunakwenda vizuri.
Kwenye mahojiano jana na television ya Kenya ya KTN live akiwa Ubelgiji aliwaponda sana mzee Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi kuwa walikuwa madikteta akawapongeza wakenya kujitoa kwenye mikucha yao na kuwa vizuri sasa
Hakuwatendea haki .Naomba wakenya wenyewe rejeeni hayo mahojiano ni ukosefu wa shukrani katibiwa kipindi cha serikali ya Mtoto wa Kenyatta ambaye i Uhuru Kenyatta sikutarajia atoe matamko kama yale
Wakenya Mungu apishe mbali angekuwa Uhuru Kenyatta kafariki wangechinjana kama kuku na umoja wa mataifa ungemtaka Kikwete na viongozi wa wastaafu wa kimataifa waende kuwasuluhisha kule kana ilivyotokea uchaguzi ule Kikwete na Akina Mbei nk walienda suluhisha .Huwa wanavizia visababu vidogo tu walianzisheNchi yetu sio maskini mzee, na ccm sio kanu.
Najua umeona smooth transition ilivyotokea, something which can not happen in your tribalist country.
Kwa iyo chill, mambo ndio kwanza, yana anza
Wewe utakuwa ODM Haina shida Shida yangu msimamo wa Chadema ulikuwa huo wako wa ODM na wakawa rafiki wa ODM wakahamia baadayeJubilee .Sasa Chadema wako na Jubleee kama Chama wakati Lisu kama makamu mwenyekiti wa Chadema taifa kabaki msimamo wa ODM !!!! What a paradox !! Anyway Chadema nao wanatakiwa kutoa tamko wanadimamia wapi kwenye foreign relations na Kenya ODM au Jubilee? Lisu anaonyesha ni single mover ha stand kwenye corporate devisions !! anabeka tu na kubwata anachokiamini yeye kama yeye na kusahau kuwa yeye ni high level political leader ambaye anatakiwa kuangalia misimamo ya chama chake.
Lisu kuna siku atawaporomoshea matusi ya nguoni wakenya sisi tunamjua huyo mtajijua
Nchi yetu sio maskini mzee, na ccm sio kanu.
Najua umeona smooth transition ilivyotokea, something which can not happen in your tribalist country.
Kwa iyo chill, mambo ndio kwanza, yana anza
Kenya kuna makabila 42 lini mtawapa uongozi wa juu wa serikali au bunge au mahakama watu wasio Jaluo au kikuyu au kalenjini?Lini mumekua na transition, kile hutendeka kwenu ni hicho chama kina wazee fulani huchagua nani akiwakilishe na huwachinjia pale Dodoma. Kwanza mlikua mumeanza jitihada za kubadilisha eti Magu atawale milele, mna mfumo wa hovyoo sana na ndo maana mtazidi kuwa maskini miaka yote licha ya raslimali zote hizo.
Sisi kwetu hapa tumetawaliwa na vyama tofauti hatujaganda kama mazezeta kwenye chama kimoja.
Kenya kuna makabila 42 lini mtawapa uongozi wa juu wa serikali au bunge au mahakana watu wasio Jaluo au kikuyu au kalenjini?
Your transitions lazima watu zaidi ya 50 wafe, our transitions, few to umaskini una affect kwenu zaidi, tukienda kitakwimu.Lini mumekua na transition, kile hutendeka kwenu ni hicho chama kina wazee fulani huchagua nani akiwakilishe na huwachinjia pale Dodoma. Kwanza mlikua mumeanza jitihada za kubadilisha eti Magu atawale milele, mna mfumo wa hovyoo sana na ndo maana mtazidi kuwa maskini miaka yote licha ya raslimali zote hizo.
Sisi kwetu hapa tumetawaliwa na vyama tofauti hatujaganda kama mazezeta kwenye chama kimoja.
nyie Mataga kwa akili hizi ndiyo mtu akikuharishia usoni unalamba uharo wake kwasababu muhusika aliwahi kukununulia kikombe cha alkasusu.Kwenye mahojiano jana na television ya Kenya ya KTN live akiwa Ubelgiji aliwaponda sana mzee Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi kuwa walikuwa madikteta akawapongeza wakenya kujitoa kwenye mikucha yao na kuwa vizuri sasa
Hakuwatendea haki .Naomba wakenya wenyewe rejeeni hayo mahojiano ni ukosefu wa shukrani katibiwa kipindi cha serikali ya Mtoto wa Kenyatta ambaye i Uhuru Kenyatta sikutarajia atoe matamko kama yale
Ni depression plus anger.Mpa kipato is no more they have been rendered jobless now😂😂Hehehe!! Unavyohamisha magoli, umekuja ukimponda Lissu, sasa umehamia kwenye makabila ya Wakenya, MATAGA bana.
Hivi CCM lini mtaachia nchi yenu iongozwe na wazalendo, muache hiyo desturi ya kuchinjia pale Dodoma. Kwa kweli mumekandamiza sana na huo upumbavu tulipambana na kuondokana nawo kabisa kwetu hapa.