Tundu Lissu mahojiano yake na KTN kuwasema vibaya Jomo Kenyatta na Moi hakuwatendea haki Wakenya

Tanzania kashindwa anaenda kiwachokonoa wakenya.
Wakenya hawa ambaobwakitwagana kwa ukabila wanakimbilia Tanzania tuwasuluhishe kupitia Kikwete wana nini cha kujidai hawa? waxungu wanawaacha watwangane wauane na ukabila wao wanakimbilia Tanzania kutafuta usuluhishi watambabaisha nani? pumbavu .
 
Your transitions lazima watu zaidi ya 50 wafe, our transitions, few to umaskini una affect kwenu zaidi, tukienda kitakwimu.

Halafu kwenu huko si ndio miili iliykua imesindikwa kwenye magunia ilikua inaopolewa kutoka kwenye mitoni ya maji, licha ya yote hayo hamjawahi kuwa na transition, chama ni kile kile miaka yote.
Kuhusu takwimu, kumbuka uchumi wa Kenya unaelekea kuwa mara mbili yenu.

Halafu naona wakimbizi wenu wanakusudia kurudi sasa myajenge upya na kuboresha hapo mlikua mumekengeuka Lema: Narudi Tanzania
 

Uko sahihi kabisa, wenyewe hawafii chama, wanafia kabila lao.
Ndiyo maana, unaweza kujiuliza vyama vilivyoshika hatamu baada ya kanu viko wapi?
Hata hii jubilee, baada ya 2022 hutaiona tena!!!!
 
Uzuri Kenya yetu tuna Uhuru wa kutosha.Tunaruhusiwa kukosoa serikali ata rais unamkosoa na haukamatwi Kama nchi jirani....
 
Uko sahihi kabisa, wenyewe hawafii chama, wanafia kabila lao.
Ndiyo maana, unaweza kujiuliza vyama vilivyoshika hatamu baada ya kanu viko wapi?
Hata hii jubilee, baada ya 2022 hutaiona tena!!!!
Kenya ina mfumo tofauti sana wa vyama. Jubilee ni muungano wa vyama, kama ilivyo NASA ya upinzani na NARC ambayo Mwai Kibaki alishinda nayo uchaguzi baada ya kuing'atua KANU. CORD, chama cha upinzani wakati wa Kibaki ilikuwa ni muungano wa vyama pia.

Miungano ya vyama huwa inafanyiwa usajili tofauti na vyama vya kawaida na huwa kuna deadline ya muda flani, ya kusajili miungano hiyo kabla ya uchaguzi mkuu. Ndio maana majina ya miungano hiyo huwa yanabadilika kila uchaguzi, ila vyama ambavyo vinatengeneza miungano hiyo ni vile vile, ODM, DP, PNU, ANC, FORD-K, KANU n.k, n.k. Kando na karata za kisiasa ambazo huwa zinachezwa ili vyama vitengeneze miungano, kunazo sheria za uchaguzi ambazo huwa zinasababisha kuwe na miungano hiyo ya vyama.

Kwa mfano nchini Kenya uchaguzi huwa haushindwi kwa 'popular vote' tu, yaani 50%+1 ya kura zote zilizopigwa. Ili mgombea urais na chama chake watangazwe kama washindi kwenye uchaguzi, lazima pia wawe wameongoza, kwa wingi wa kura kwenye gatuzi 25 au zaidi, kati ya gatuzi zote 47 nchini Kenya.
 
Ndio nashangaa jamaa anavolia lia kwa niaba ya wakenya. Tena kuhusu jambo ambalo kila mkenya analifahamu vyema. Hao marais wote walikuwa madikteta. Wakati wa urais wa Mzee Jomo kwa miaka 15 na ule wa Moi kwa miaka 24 wakenya waliumia sana chini ya kisigino cha utawala wa 'chama cha baba na mama', almaarufu Jogoo au KANU.

Tukianza kuwataja wakenya waliouwawa na wafungwa wa kisiasa pia, ambao walipoteza miaka mingi ya maisha yao wakiteswa jela, kurasa zitajaa humu. Kenya tunayoijua leo hii ilizaliwa upya dikteta Moi na KANU yake waliposhindwa kwenye uchaguzi mkuu mwaka wa 2002. Rais Mwai Kibaki ndiye aliyeirudusha Kenya mbele baada ya muda mrefu wa mwendo wa gear ya reverse.
 
Huyo poyoyo mlopokaji, mwache tu aendelee na sasa Magu hayupo hilo tobo litaendelea kuporotoa uhalo kila kona ndio watakapolielewa tobo!
 
Sasa umeanza kubishana hadi waKenya wenye Kenya yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…