Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Viongozi wa Chadema na Wanaharakati waliochukizwa na kina Mbowe, Lissu, Mnyika, Sugu na wanachama wao wamelalamika kwamba Lissu ni mgonjwa. Anatumia dawa muda wote lakini Polisi walimkatalia kutumia dawa zake. Huu ni ushahidi usio na shaka kwamba mwamba ni mgonjwa.
Kama muda wote ni kama gari la mkaa tripu moja shamba tripu saba gereji, wamewasaidia Watanzania kumtoa mapema kwenye orodha ya waliofikiriwa kuchuana na Raia Samia lakini hatutaki tena kurudia makosa kumpeleka Ikulu mtu mgonjwa.
CHADEMA jikagueni afya za mnaotaka wagombee Urais 2025. Ila kwa Lissu aendelee kuuguza afya yake hata kama alisababishiwa na hao hao!