Pre GE2025 Tundu Lissu mgonjwa hafai kugombea Urais 2025

Pre GE2025 Tundu Lissu mgonjwa hafai kugombea Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni laana kubwa sana kumwita mtu mgonjwa na kudai kuwa hataweza kuwa raisi
Hawakomi tu hao CCM kuita watu maiti zinazotembea wkt pia nao n maitii..

Kuna jamaa alipiga Hadi push lkn akatangulia kabla ya yule walikuwa anasema anajisaidia jukwaani😔😔

Tusidhiakiane kiasi hcho
 
Chunga sana kauli za majitaka.

Kila mtu mgonjwa hapa duniani ,hakuna aliye 100% health ,hata wewe ukienda kupimwa hapo utakutwa na magonjwa nyemelezi kibao.
Lakini sijatangazwa hadharani na viongozi wangu. Ila Lissu limewekwa hadharani. Lissu mgonjwa.
 
Piga magoti na uteme mate chini mleta mada, ulivhokiandika ni kufuru kubwa sana.

Vinginevyo, utapata taabu sana. Anachopitia leo Nape ni matokeo ya laana ya dhihaka yake juu ya afya ya Lowasa kuwa "ikulu siyo wodi ya wagonjwa".
 
Magufuli alikuwa mzima 2020 akafa 2021 kwa hiyo ugonjwa wa mtu mwanchie Mungu.
Laiti tungejua 2015 kuwa ni mgonjwa wa pace maker tusingempitisha kugombea. Matokeo yake 2021 akatugharimu. Afadhali ya Lissu limewekwa hadharani mwaka mzima kabla ya uchaguzi.
 
Lakini sijatangazwa hadharani na viongozi wangu. Ila Lissu limewekwa hadharani. Lissu mgonjwa.

Kwani haujui kama Lissu ana risasi mwilini? Hivi wewe uchakazwe risasi 16 za SMG ni jambo la kawaida? Uliambiwa hizo dawa ni za nini nje ya majeraha mliyomsababishie nyie?
 
Viongozi wa Chadema na Wanaharakati waliochukizwa na kina Mbowe, Lissu, Mnyika, Sugu na wanachama wao wamelalamika kwamba Lissu ni mgonjwa. Anatumia dawa muda wote lakini Polisi walimkatalia kutumia dawa zake. Huu ni ushahidi usio na shaka kwamba mwamba ni mgonjwa.

Kama muda wote ni kama gari la mkaa tripu moja shamba tripu saba gereji, wamewasaidia Watanzania kumtoa mapema kwenye orodha ya waliofikiriwa kuchuana na Raia Samia lakini hatutaki tena kurudia makosa kumpeleka Ikulu mtu mgonjwa.

CHADEMA jikagueni afya za mnaotaka wagombee Urais 2025. Ila kwa Lissu aendelee kuuguza afya yake hata kama alisababishiwa na hao hao!
bora Lisu kuliko limama lile hata halijui tanzania inataka nin kwa sasa
 
Piga magoti na uteme mate chini mleta mada, ulivhokiandika ni kufuru kubwa sana.

Vinginevyo, utapata taabu sana. Anachopitia leo Nape ni matokeo ya laana ya dhihaka yake juu ya afya ya Lowasa kuwa "ikulu siyo wodi ya wagonjwa".
Nani kamtangaza Lissu ni mgonjwa? Mbona mnaruka ruka?
 
We mwenyewe mtoa mada ni mgonjwa ni vile tu hujafanya screening ya mwili mzima😂
 
Laiti tungejua 2015 kuwa ni mgonjwa wa pace maker tusingempitisha kugombea. Matokeo yake 2021 akatugharimu. Afadhali ya Lissu limewekwa hadharani mwaka mzima kabla ya uchaguzi.
Waliogombea urais 2015 wote wamekufa waliogombea 2010 wazima
 
Kwani haujui kama Lissu ana risasi mwilini? Hivi wewe uchakazwe risasi 16 za SMG ni jambo la kawaida? Uliambiwa hizo dawa ni za nini nje ya majeraha mliyomsababishie nyie?
Basi ndio aendelee na dozi za risasi mwilini si Ikulu tena. Mmewafungua macho Watanzania.
 
Acha kitete - tulia tuli mambo ndiyo kwanza yapo jikoni.

Rais 2025 anajulikana.
 
Mgonjwa ndio tunamtaka na ugonjwa wake huo huo mkuu...hata ww n mgonjwa n vile tu ujijui...

Achen uoga wazee wa magoli ya mikonoo😅
 
Mliyemuona mzima kashadedi, na yeye alikuwa mgonjwa kupita kiasi na urais wa kudhulumu mkampa.

Usidharau wakati ukinya unakamata kinyesi wakati wakuchamba tundu lako la nyuma.
 
Ni laana kubwa sana kumwita mtu mgonjwa na kudai kuwa hataweza kuwa raisi

Uhai wa mtu haupo mikononi mwa binadamu bali kwa Muumba, mtakeni Mh Tundu Lisu radhi
Watu hawajifunzi kutoka kwa Mwendazake. Alipiga "push ups" hadharani ili amdhihaki Eddo. Lakini nini ambacho kilimtokea!?

Mungu ndiye hutambua hatima ya mja wake. Vyote ni vyake, na pia vyatoka kwake.

MENE, MENE, TEKELI, & PERESI - GOD'S TIME IS THE BEST.
 
Back
Top Bottom