Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Acheni uoga.Viongozi wa Chadema na Wanaharakati waliochukizwa na kina Mbowe, Lissu, Mnyika, Sugu na wanachama wao wamelalamika kwamba Lissu ni mgonjwa....
Kwani wewe hujui kwamba anakunywa dawa, bora hata huyo kuliko wenye ugonjwa wa akili (wanao ahirisho kufikiri kwa nafsi) , a.k.a kujizima data, human herding(unyumbu). Mmeboresha mnajiita chawa, unyumbu ni tabia ya waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza, kutumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi waoViongozi wa Chadema na Wanaharakati waliochukizwa na kina Mbowe, Lissu, Mnyika, Sugu na wanachama wao wamelalamika kwamba Lissu ni mgonjwa..
Kuna mtu alikuwa yuko fiti sana na pushup jukwaani....Viongozi wa Chadema na Wanaharakati waliochukizwa na kina Mbowe, Lissu, Mnyika, Sugu na wanachama wao wamelalamika kwamba Lissu ni mgonjwa...
Na sasa hatunaye duniani.Kuna mtu alikuwa yuko fiti sana na pushup jukwaani....
SAFI SANA MKUU, HUYU ANAYEITA WENZAKE WAGONJWA NI MPUMBAVUMlimsema hivi Lowasa dhidi ya John Kivuruge akajitanabaisha kwa kupiga push ups kwenye majukwaa na kurukaruka kama.mwehu lakini alikufa fasta zaidi ya mliyemtukana.
Sasa kwa haya unayosema kuna laana itakufata aidha babako au mamako afe kama mbwa na kama walishakufa basi walikufa kama mbwa tu.
Nani kamwita wenzie wagonjwa au basi viongozi wa Chadema wametuongopea?SAFI SANA MKUU, HUYU ANAYEITA WENZAKE WAGONJWA NI MPUMBAVU
Laumu viongozi wako waliyetuambia Lissu ni mgonjwa anatumia dawa kila mara ila polisi walimnyima huduma hiyo. Usinilaumu mimi wala kunirushia make.Mlimsema hivi Lowasa dhidi ya John Kivuruge akajitanabaisha kwa kupiga push ups kwenye majukwaa na kurukaruka kama.mwehu lakini alikufa fasta zaidi ya mliyemtukana.
Sasa kwa haya unayosema kuna laana itakufata aidha babako au mamako afe kama mbwa na kama walishakufa basi walikufa kama mbwa tu.
SWALA LA UHAI HALIPO MIKONONI MWA WATU BALI KWA MUUMBA, ACHENI UJINGA, USIMWITE MTU MGONJWANani kamwita wenzie wagonjwa au basi viongozi wa Chadema wametuongopea?
Mbona ccm mnamuogopa sana Lissu? Kama ni mgonjwa si ndiyo furaha kwenu? Ndiyo maana mumewatuma Polisi wakammalizie ili 2025 mpate kitonga? Wapumbavu sana nyie nguruwe.Viongozi wa Chadema na Wanaharakati waliochukizwa na kina Mbowe, Lissu, Mnyika, Sugu na wanachama wao wamelalamika kwamba Lissu ni mgonjwa....
Wewe kubali tu umetoa bokoLaumu viongozi wako waliyetuambia Lissu ni mgonjwa anatumia dawa kila mara ila polisi walimnyima huduma hiyo. Usinilaumu mimi wala kunirushia make.
Lissu anawapelekea moto ile mbaya na bado ni mchana sijui usiku itakuwaje.Mbona maccm mnamuogopa sana Lissu? Kama ni mgonjwa si ndiyo furaha kwenu? Ndiyo maana mumewatuma Polisi wakammalizie ili 2025 mpate kitonga? Wapumbavu sana nyie nguruwe.