King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Chunga sana kauli za majitaka.Viongozi wa Chadema na Wanaharakati waliochukizwa na kina Mbowe, Lissu, Mnyika, Sugu na wanachama wao wamelalamika kwamba Lissu ni mgonjwa...
Kwa hiyo wagonjwa ni wa kuwanyanyapaa?Sio sawa ni akili ya kukosa Hekima .Ni laana kubwa sana kumwita mtu mgonjwa na kudai kuwa hataweza kuwa raisi
Uhai wa mtu haupo mikononi mwa binadamu bali kwa Muumba, mtakeni Mh Tundu Lisu radhi
Nani kamwita mgonjwa kama si viongozi wenzake wanaojuana? ShubhaaamitSWALA LA UHAI HALIPO MIKONONI MWA WATU BALI KWA MUUMBA, ACHENI UJINGA, USIMWITE MTU MGONJWA
Hawakomi tu hao CCM kuita watu maiti zinazotembea wkt pia nao n maitii..Ni laana kubwa sana kumwita mtu mgonjwa na kudai kuwa hataweza kuwa raisi
Lakini sijatangazwa hadharani na viongozi wangu. Ila Lissu limewekwa hadharani. Lissu mgonjwa.Chunga sana kauli za majitaka.
Kila mtu mgonjwa hapa duniani ,hakuna aliye 100% health ,hata wewe ukienda kupimwa hapo utakutwa na magonjwa nyemelezi kibao.
Laiti tungejua 2015 kuwa ni mgonjwa wa pace maker tusingempitisha kugombea. Matokeo yake 2021 akatugharimu. Afadhali ya Lissu limewekwa hadharani mwaka mzima kabla ya uchaguzi.Magufuli alikuwa mzima 2020 akafa 2021 kwa hiyo ugonjwa wa mtu mwanchie Mungu.
Lakini sijatangazwa hadharani na viongozi wangu. Ila Lissu limewekwa hadharani. Lissu mgonjwa.
bora Lisu kuliko limama lile hata halijui tanzania inataka nin kwa sasaViongozi wa Chadema na Wanaharakati waliochukizwa na kina Mbowe, Lissu, Mnyika, Sugu na wanachama wao wamelalamika kwamba Lissu ni mgonjwa. Anatumia dawa muda wote lakini Polisi walimkatalia kutumia dawa zake. Huu ni ushahidi usio na shaka kwamba mwamba ni mgonjwa.
Kama muda wote ni kama gari la mkaa tripu moja shamba tripu saba gereji, wamewasaidia Watanzania kumtoa mapema kwenye orodha ya waliofikiriwa kuchuana na Raia Samia lakini hatutaki tena kurudia makosa kumpeleka Ikulu mtu mgonjwa.
CHADEMA jikagueni afya za mnaotaka wagombee Urais 2025. Ila kwa Lissu aendelee kuuguza afya yake hata kama alisababishiwa na hao hao!
Nani kamtangaza Lissu ni mgonjwa? Mbona mnaruka ruka?Piga magoti na uteme mate chini mleta mada, ulivhokiandika ni kufuru kubwa sana.
Vinginevyo, utapata taabu sana. Anachopitia leo Nape ni matokeo ya laana ya dhihaka yake juu ya afya ya Lowasa kuwa "ikulu siyo wodi ya wagonjwa".
Waliogombea urais 2015 wote wamekufa waliogombea 2010 wazimaLaiti tungejua 2015 kuwa ni mgonjwa wa pace maker tusingempitisha kugombea. Matokeo yake 2021 akatugharimu. Afadhali ya Lissu limewekwa hadharani mwaka mzima kabla ya uchaguzi.
Basi ndio aendelee na dozi za risasi mwilini si Ikulu tena. Mmewafungua macho Watanzania.Kwani haujui kama Lissu ana risasi mwilini? Hivi wewe uchakazwe risasi 16 za SMG ni jambo la kawaida? Uliambiwa hizo dawa ni za nini nje ya majeraha mliyomsababishie nyie?
Watu hawajifunzi kutoka kwa Mwendazake. Alipiga "push ups" hadharani ili amdhihaki Eddo. Lakini nini ambacho kilimtokea!?Ni laana kubwa sana kumwita mtu mgonjwa na kudai kuwa hataweza kuwa raisi
Uhai wa mtu haupo mikononi mwa binadamu bali kwa Muumba, mtakeni Mh Tundu Lisu radhi
Basi ndio aendelee na dozi za risasi mwilini si Ikulu tena. Mmewafungua macho Watanzania.