Pre GE2025 Tundu Lissu mgonjwa hafai kugombea Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Click to expand...
Watu hawajifunzi kutoka kwa Mwendazake. Alipiga "push ups" hadharani ili amdhihaki Eddo. Lakini nini ambacho kilimtokea!?

Mungu ndiye hutambua hatima ya mja wake. Vyote ni vyake, na pia vyatoka kwake. Naanza tena kuuona uwezekano chanya wa "one term president in the office'

MENE, MENE, TEKELI, & PERESI - GOD'S TIME IS THE BEST.
 
licha ya kua mgonjwa jambo ambalo ni la kawaida kwa binadamu,

huyo ni puppet wa mabwenyenye ya magharibi, uzalendo wake ni wa mashaka
 
Mlimsema Lowassa hivyohivyo, kiko wapi?
 
Upuuzi na takataka tu
 
Tema mate chini hakuna aijuaye kesho
 
Mpeleke mkeo kwa majaribio kwanza, kama akitoka harembui macho na uchovu basi tutaukata ugombea wake.
 
Mpeleke mkeo kwa majaribio kwanza, kama akitoka harembui macho na uchovu basi tutaukata ugombea wake.
Mtu wa namna hii unadhani anaweza kuwa na mke? Yeye mwenyewe maji ya mchele nadhani ajipeleke mwenyewe akakate mauno.
 
Hongera wewe ukiyemzima na mwenye garantii na afya yako.
Japo umeongea huku unahara
 
Amesema polisi walimbeba wakamtupa kwenye lile gari lenye viti nyuma
Alitupwa akaingia chini ya viti, kumbe ina nafasi kubwa sana
Pole yake
 
wana chadema, wafuasi na mashabiki wake wamepoteza imani na matumaini nae kwa kiasi gani, baada ya kukiri na kutangaza hadharini kwamba hayuko timamu kiafya na anatumia dawa nyingi mno, na bila kufanya hivyo hawezi kufanya chochote..

Je,
huu si ndio wakati muafaka sasa Lisu akajiuzulu nafasi yake ya uongozi ndani ya chama ili kutoa fursa kwa wana chadema timamu kiafya kuifanya hiyo kazi kwa uhakika zaidi, huku nae Lisu akapata fursa ya kutosha kujiuguza, kupumzika vizuri na kwa Neema na Baraka za Mungu kupona kabisa udhaifu wa kimwili na pengine athari za kisaikolojia anazopitia?

na Je,
huu si ndio wakati muafaka kwa watunga sera na sheria mjengoni kutafakari upya na kuona umuhimu wa kuongeza vipengele muhimu, kukazia na kuimarisha vilivyopo kwenye sheria kuhusu kigezo cha kiafya kwa wagombea uongozi hasa nafasi za juu?

una maoni gani 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Alikua anatembea na mashine mwilini ila nae alikua raisi.
Ugonjwa haumzuii mtu kua kiongozi, ni haki yake.

Kama una unyanyapaa kwa mgonjwa anaejimudu mwenyewe kwa kila kitu, hivi unaweza kumhudumia hata kwa saa kadhaa ndgu jamaa au rafiki yako asiejiweza kabisa.
 
Usiwe bwege Viongozi wengi sana wanaishi kwa kunywa dawa tukianzia na Biden, Trump, Kamala, Sir Steamer hadi Mbunge wako Taleeee 🐼

Tutusa wahed
 
Mshukuru Mungu kukupa Afya bora na uzima Lisu hakupenda kuwa hivyo alivyo jua kuwa hata wewe unaafya njema ni kwa mapenzi ya Mungu. Hizi afya tulizo nazo ni zawadi tu kutoka kwa Mungu usithubutu kumbagaza kiumbe mwezako kwa sababu ya udhaifu aliyo nao hata mtume Paulo aliwahi kumuomba Mungu mara tatu amtoe mwiba ndani ya mwili wake lakini Mungu alimjibu nakupenda hivyi hivyo na udhaifu ulio nao. Kwahiyo wewe usione mzima ukadhani umempa Mungu kitu cha Ziada.
 
Laiti tungejua 2015 kuwa ni mgonjwa wa pace maker tusingempitisha kugombea. Matokeo yake 2021 akatugharimu. Afadhali ya Lissu limewekwa hadharani mwaka mzima kabla ya uchaguzi.
Sasa unadhani matatizo ya lisu ni makubwa kuliko hao ambao wapo madarakani ambao huyajui matatizo yao. Wewe unamdhihaki Lisu kwa sababu zako binafsi si kwa sababu ya Matizo aliyo nayo. Na mimi nakuambia kabisa haya uliyo yaongea yatakurudia mwenewe. Utakuja kuomba radhi humu humu. Lisu alipigwa lisasi kadha wa kadha mwilini mwake nani asiye jua kuwa Lisu anatembea na lisasi ambayo ipo ndani ya mwili wake, nani asiye jua kuwa Lisu anavyuma kibao ndani ya mwili wake. Nani asiye jua kuwa Lisu kwa sasa mguu wake mmoja mfupi mmoja mrefu. Kusema kuwa lisu anaudhaifu huu ni kukumbushana tu ila sote tunajua maswaibu yaliyo mpata Lisu na Mungu anaendelea kumpigania na kumuimarisha wewe endelea kumdhihaki tu. Utaona mwisho wake.
 
Huyo wa kwenu mnayemuona mzima anaweza kufa akamuacha huyo unayemtangaza kuwa ni mgonjwa. Hivi wewe tangu uzaliwe hujawahi kuugua? Magufuli alimkejeli Lowasa kuwa ni mgonjwa kwa kuruka kutoka kwenye roof ya gari kama ngedere kuonyesha utimamu wa mwili lakini akafa kibudu akimuacha Lowasa akiendelea kudunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…