Tundu Lissu: Mimi niko gerezani, nasikia Dkt. Emmanuel Nchimbi haonekani, yuko wapi?

Mbona kama kichwani umejaza nzi....umeelewa nilichoandika kweli??
 
"Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi" TUNDU LISSU - Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

Anamwuliza km nani? Mbn haulizi mke wake na watoto.walipo. hata yeye asipotulia safari hii atapotezwa, hawezi kuendelea kusumbua nchi yetu
 
Waislamu sio wapumbavu kama wewe unawaibisha sana Kwa upumbavu wako wa kiwango Cha juu
 
Watu kama nyinyi ndio mnaosababisha waislamu tuonekane viazi kwa sababu ya mabumunda machache kama nyie.
Sasa hapo udini unatokea wapi wakati mtu anahoji kuhusu usalama wa Mtanzania mwenzetu.
 
Kwani wewe ulishakua lissu anahukumiwa?
 
Ila we mdau huwa nikisoma maandiko yako, haiendani hayaendani kabisa na mwaka uliojiunga hapa JF..

Huna tofauti na member waliojiunga 2026 ambao ni Gen Z... watoto wa secondary...
 
Watu kama nyinyi ndio mnaosababisha waislamu tuonekane viazi kwa sababu ya mabumunda machache kama nyie.
Sasa hapo udini unatokea wapi wakati mtu anahoji kuhusu usalama wa Mtanzania mwenzetu.

Muislam hawezi kuwa fala kama wewe ukashindwa kutambua nini kiko nyuma ya harakati za hao jamaa zako.

Wewe ni kafiri tuh kama makafiri wengine

Kitu unachotakiwa kukijua na kukifaham ni kwamba hao jamaa zamo hawana chochote cha msingi wanachompiga nacho.vita samia zaidi zaidi ya chuki dhidi ya uislam wake na uzanzibar wake.

Sisi tunalijua hilo na ndiyo maana tunawapa kauli ngumu ngumu kwao ili watambue kuwa tunajua yaliyopo vifuani.mwao
 
'TUmeshazistukia'...wewe na bwana ako au?!?!.
 
Ila we mdau huwa nikisoma maandiko yako, haiendani hayaendani kabisa na mwaka uliojiunga hapa JF..

Huna tofauti na member waliojiunga 2026 ambao ni Gen Z... watoto wa secondary...

Huwezi kuelewa tunayoyasimamia kwa kuwa uko blackmailed na umeshamezeshwa chuki na wakaanga sumu

Nchimbi amejiuzulu mwenyewe kwa sababu alizozisema yeye mwenyewe na alikua anahamasisha watu wapambanie katiba mpya,wapambanie against who?

Lisu yuko jela kwa kesi ya uhaini ambayo alihamasisha watu waasi na wakinukishe ili uchaguzi usifanyike.

Anamuulizia nchimbi leo kivipi,nchimbi alishiriki uchaguzi ambao yeye alisema ni batili,leo mapenzi kwake yanatokea wapi??
 
Kuuliza alipo mtu si lazima uwe na mapenzi nae, kama mtu haonekani ni sawa akiuliziwa alipo, kama yupo, anayeuliza anajibiwa yupo sehemu X au mhusika mwenyewe anajibu nipo sehemu Y.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…