zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
We naye punguza UDINI, mbona JPM alikua mkatoliki lakini Lissu alikua anamkosoa bado? Kwahiyo hata siku moja Lissu hajawahi kuwa mdini.Kwahiyo uaona uungane nae kwa kuwa ni mkatoliki mwenzako siyo?
Udini tuh unawasumbua chadema,nakumbuka kuna siku padre kitime aliwakutanisha wote akawashika mikono kuwasuluhisha lisu na nchimbi wakiwa kwenye hadhara ya parokia
Hizo kete mnazojaribu kuzicheza tumeshazistukia
Lissu amefanya mikutano mingapi Pemba na Unguja kudai mamlaka kamili ya zanzibar? Kwani zanzibar ni ya wakatoliki?
Punguza utoto.