Tundu Lissu: Mimi niko gerezani, nasikia Dkt. Emmanuel Nchimbi haonekani, yuko wapi?

Una kichwa kizito, hiyo ni ridicule kwamba "hakuna aliyesalama". Hao hao majaji, kina katuga, kingai n.k ni suala la muda tu nao watakuja kushughulikiwa. Meaning majaji watende haki bila kuangalia Rais anataka nini maana hata wakimnyonga Lissu mwakani kesi hiyo hiyo itatumika kama rejea kumnyonga yeyote anayekosoa nchi.

Haya mambo huwezi kuelewa kama ambavyo Polepole hakuelewa kelele za kina Lissu mpaka yalipomfikia.
 
Kuuliza alipo mtu si lazima uwe na mapenzi nae, kama mtu haonekani ni sawa akiuliziwa alipo, kama yupo, anayeuliza anajibiwa yupo sehemu X au mhusika mwenyewe anajibu nipo sehemu Y.

Hiyo ni michezo ya kifala anafanya

Ni mtu anatapa tapa na hana pa kutokea fala huyo
 

Anajaribu ku mpre empty nani??

Ana mridicule nani ??mahakama siyo mama yake mzazi atambue,bila shaka he is the one who looks ridiculous and crazy,wewe huoni analazimisha hadi wafuasi wake wafuge rasta like dotto magari kama yeye??anadhani hiyo itamsaidia??

Ana kesi ya kujibu na bila shaka ametambua anazama na maji cho.ko huyo
 
Haukuwapiga picha wakipatanishwa,, ingebeba uzito au ????
 
Hayo yote haiondoi sababu ya kumuuliza alipo...

Hata msibani hajatokea...

Hio michezo ccm wanafanya itakuja kuwatokea puani si muda... tupo hapa...
 
Kwani amefanya kosa kumuulizia Nchimbi alipo?

Kisheria ni kosa? Ama ni chuki zako binafsi kwa sababu inakuuma amepiga kwenye mshono?

Kinachopaswa ni majibu, Nchimbi yupo wapi?
 
Tumia akili mpuuzi mkubwa wewe U-CHADEMA na U-CCM hauna thamani kuliko maisha ya mtu πŸ–•πŸ–•πŸ–•
 

wanaoleta udini tuwanyanyapae by Jk Kikwete wewe Una akili kuzidi Jk au wewe ni zwazwa
 
WaTz hawajui Nchimbi yuko wapi, Hilo swali linahusu mtu ambaye hajulikani yuko wapi (kwenye public) Halihusiani na ukatoliki.

Mara ya mwisho makamu wa Rais haramu alikuwa anahudumiwa na kulipwa na public funds.

Dini yenu hammiliki visima vya mafuta nchi hii kuendeshea serikali! Damn!
 

huyo sio poa kama wanavyodhania
 
Tumia akili mpuuzi mkubwa wewe U-CHADEMA na U-CCM hauna thamani kuliko maisha ya mtu πŸ–•πŸ–•πŸ–•

Middle finger to you na hao jamaa zako ambao wanadhani sisi tunaweza wapa tena nafasi ya kuchochea na kuiharibu nchi hii kwa kuichoma na kussupport uchoko.

Kwanza chadema kama chama kinasupport ucho.ko nani anaweza kuwapa trust mafala kama hawa.

Thats why magufuli alipiga shaba tuh mafala kama hawa na wakakimbia nchi

Wamepewa nafasi ya reconcilliation ili zifanyike reforms nchi itengenezwe wanataka kujifanya kuleta ujuaji??

Hao wa.seng.e hakuna mtu atacheka nao this time around

Tunaanza na huyo fa.la mmoja mchochez anaeozea jela,huyo chiba ana kesi ya kujibu na lazima ale hukumu ya kuwa fundisho kwa ma.fala wenzake wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…