Tundu Lissu: Mimi niko gerezani, nasikia Dkt. Emmanuel Nchimbi haonekani, yuko wapi?

Swali ambalo jibu lake halihitaji hata sekunde 10 kujibu, watu wamemaliza siku 31 hadi sasa pasipo kulijibu

Waliopo meza KUU sasa wasidhani wao wako salama sana, maana hata HPolepole na Emmanuel nao walikuwa sehemu ya meza KUU pia

Mungu atupe mwisho mwema, watoto na Wajukuu zetu waoneshwe mahali ambapo tutazikwa 🥲🥲
 
Fala wewe mwenyew acha mamb ******* mtu mzima ww
Alipokawa anafanya uchochez wake huyo cho.ko na kusema atakinukisha alidhani hii nchi ni ya babu yake kenge huyo

Yaani afanye uchochezi na kusababisha watu wafe na nchi ichomwe kisha aachwe tuh hivi hivi??

Sasa kwa taarifa yenu huyo cho.ko anakesi ya kujibu na kifungo ama kitanzi anacho.

Na nyinyi ma.fala mnaomlilia hamtafanya chochote kile ambacho.
 
Lisu alikulisha Nguruwe nini ?
Sio kwa chuki za kishamba kiasi hiki.

Huyo fala haitakiwi kufungwa tuh
Anatakiwa afungwe plus adhabu ya kupigwa miti huko gerezani kichaa huyo

Anamuulizia nchimbi yuko wapi why asiulizie mkewe yuko wapi zaidi ya mwaka sasa amefungwa hajafika hata kumuona jela wala mahakamani

Anataka kumfanya nani cho.ko kama yeye??
 
Qummer maccor mkuu.
 
Barua inatosha kwa wewe kuamini nchinbi alijiuzuru kwa matakwa yake mwenyewe?
 
Akili wewe hauna, kwanini inaitwa nchi ya kidemokrasia? Halafu kumbuka hata siku moja hatuwezi kuwa na itikadi zinazofanana.

Sasa aliyekuwa anafanya yote hayo mpaka wakakimbilia uhamishoni leo yuko wapi ?

Hoja yangu U-Chadema na U-CCM haufikii thamani ya maisha ya mtu. Huyo Lissu anafanya yote haya kwa sababu katiba inamruhusu.

Haina haja ya kutukana na kuandika upuuzi mwingi wakati maisha ya hapa duniani ni ya kupita tu. JPM alitikisa na kuogopeka mbona ameshazikwa ?
 
THE BIG SHOW "Hadhara ya kiparokia"?

Kumbe wewe ni mvaa kobazi ?
 
Wewe pamoja na wote tunajua hii ni kesi ya kisiasa tu hakuna ukweli wowote.

Kwahiyo hakuna pre-empty yoyote ila kila mtu anajua kesi haitoamuliwa na ushahidi bali maelekezo kutoka ikulu.

Hivyo anawakumbusha kuwa "precedence" hii itakuja kuwalamba hata wao.

Kwahiyo kama Nchimbi tu ambaye alikua hatua moja tu kutoka kwa Rais hajulikani alipo (at least publicly) je sembuse hao majaji uchwara si wanapotezwa kimya tu!!

Mambo kama haya akili ndogo kama wewe huwezi elewa hata siku moja. No wonder CCM waliwapora gesi na cha ajabu leo unawashabikia.

Empty set kabisa
 
Nduguyangu ktk Imaan waislaam huwa tunasimamia Haqi unattributed kutetea nini haswa Muislaam mwenzetu ameuwa maelfu ya wananchi unamteteaje hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…