zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
We naye punguza UDINI, mbona JPM alikua mkatoliki lakini Lissu alikua anamkosoa bado? Kwahiyo hata siku moja Lissu hajawahi kuwa mdini.Kwahiyo uaona uungane nae kwa kuwa ni mkatoliki mwenzako siyo?
Udini tuh unawasumbua chadema,nakumbuka kuna siku padre kitime aliwakutanisha wote akawashika mikono kuwasuluhisha lisu na nchimbi wakiwa kwenye hadhara ya parokia
Hizo kete mnazojaribu kuzicheza tumeshazistukia
Huyu boya naye hopulesi tu. Ningemuona shujaa sana kama angekataa kujiunga na serikali haramu immediately tu baada ya mauaji ya Oktoba 29. Yaani angeandika historia iliyotukuka sana.
Huku nje watz anaowauliza wameshamsahau Nchimbi na kwa sasa wanaendelea na maisha yao kama hakuna kilichotokea."Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi" TUNDU LISSU - Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Inatisha jamani kama hao top cream wanyeyuka kama barafu juani sisi makapi je 🙆🏼♀️Swali ambalo jibu lake halihitaji hata sekunde 10 kujibu, watu wamemaliza siku 31 hadi sasa pasipo kulijibu
Waliopo meza KUU sasa wasidhani wao wako salama sana, maana hata HPolepole na Emmanuel nao walikuwa sehemu ya meza KUU pia
Mungu atupe mwisho mwema, watoto na Wajukuu zetu waoneshwe mahali ambapo tutazikwa 🥲🥲
Labda ni plan pia ilikuwa kuwatoa uraiani ili wasije wakauawa.Kuna namna huwa nawaza kama Lissu angekua uraiani ile Mo 29 hawa jamaa wangeweza mmiminia risasi wakasingizia Gen Z!!
Ni ajabu ila Lissu na Heche kuwa gerezani ilikua ndio usalama wao!!
Muda huongea??? Ngoja tuone
Aisee"Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi" TUNDU LISSU - Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Padri Kitime ni nani mkuu?Kwahiyo uaona uungane nae kwa kuwa ni mkatoliki mwenzako siyo?
Udini tuh unawasumbua chadema,nakumbuka kuna siku padre kitime aliwakutanisha wote akawashika mikono kuwasuluhisha lisu na nchimbi wakiwa kwenye hadhara ya parokia
Hizo kete mnazojaribu kuzicheza tumeshazistukia
We nae tafuta mume sasa akuoe! Acha upashikunaKwahiyo uaona uungane nae kwa kuwa ni mkatoliki mwenzako siyo?
Udini tuh unawasumbua chadema,nakumbuka kuna siku padre kitime aliwakutanisha wote akawashika mikono kuwasuluhisha lisu na nchimbi wakiwa kwenye hadhara ya parokia
Hizo kete mnazojaribu kuzicheza tumeshazistukia
"Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi" TUNDU LISSU - Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
Sio nchi, sema serekali ya majizi.Anamwuliza km nani? Mbn haulizi mke wake na watoto.walipo. hata yeye asipotulia safari hii atapotezwa, hawezi kuendelea kusumbua nchi yetu
We jamaa acha ujinga pumbavu zakoKwani unadhani michezo yenu makafiri hatuijui??
Hapo lisu anajifanya anamuulizia nchimbi kutrigger chuki ili hukumu ikisomwa kwake basi atangeneze sympathy kwamba anaonewa kama alivyoonewa nchimbi kwa hoja ya udini
Ngoma imeshakuwa ngumu hiyo,yeye akae tuh asubirie hukumu
Kama Nchimbi alishiriki uchaguzi, kwanini hapatikani sasa? Lisu anajiribu kuonyesha nyie ni waovu kwa kiwango gani.Huwezi kuelewa tunayoyasimamia kwa kuwa uko blackmailed na umeshamezeshwa chuki na wakaanga sumu
Nchimbi amejiuzulu mwenyewe kwa sababu alizozisema yeye mwenyewe na alikua anahamasisha watu wapambanie katiba mpya,wapambanie against who?
Lisu yuko jela kwa kesi ya uhaini ambayo alihamasisha watu waasi na wakinukishe ili uchaguzi usifanyike.
Anamuulizia nchimbi leo kivipi,nchimbi alishiriki uchaguzi ambao yeye alisema ni batili,leo mapenzi kwake yanatokea wapi??
Duh! Hii ni hatari. Bora hata yeye anajulikana alipo.
Tena michawa kama hiyo inazimwa chapu tuUtaanza kupotea wewe
Hivi unajijua kuwa wewe ni mpumbavu? Wewe ni mpumbavu.Muislam hawezi kuwa fala kama wewe ukashindwa kutambua nini kiko nyuma ya harakati za hao jamaa zako.
Wewe ni kafiri tuh kama makafiri wengine
Kitu unachotakiwa kukijua na kukifaham ni kwamba hao jamaa zamo hawana chochote cha msingi wanachompiga nacho.vita samia zaidi zaidi ya chuki dhidi ya uislam wake na uzanzibar wake.
Sisi tunalijua hilo na ndiyo maana tunawapa kauli ngumu ngumu kwao ili watambue kuwa tunajua yaliyopo vifuani.mwao
Hata mimi niliwahi kuwaza hilo pona pona nyingine ni CDM kutokushiriki kabisa uchaguzi ile kwa namna fulani kuna zigo la kutupiwa wamelikwepa.Kuna namna huwa nawaza kama Lissu angekua uraiani ile Mo 29 hawa jamaa wangeweza mmiminia risasi wakasingizia Gen Z!!
Ni ajabu ila Lissu na Heche kuwa gerezani ilikua ndio usalama wao!!
Hahahah umempa tusi la heshima halafu umemalizia na mkuuQummer maccor mkuu.