Tundu Lissu: Mimi niko gerezani, nasikia Dkt. Emmanuel Nchimbi haonekani, yuko wapi?

Mkuu unataka kusema nini mbona unahorojoka sana leo?
 
Inatisha jamani kama hao top cream wanyeyuka kama barafu juani sisi makapi je 🙆🏼‍♀️
Kwasasa hawaachiani hata maji, wanajua wanavyowindana
 
Anamwuliza km nani? Mbn haulizi mke wake na watoto.walipo. hata yeye asipotulia safari hii atapotezwa, hawezi kuendelea kusumbua nchi yetu
Ukipoteza na wewe lazima tu utakuja upotezwe, ni yaleyale yaliyowakuta akina Doe, Abacha, Nguema na Amin.

Ukae ukilijua hilo wewe chawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…