johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uongo Huo,,Michango Hata Kwa Shetani unachukua Kwani Mimi CCM nikimchangia lisu kuna ubaya,,Mbona viwanja vya mpira ni vya CCM na mikutano Yote tinafanyia HukoKitendo TU Cha kupokea mchango wa gari.Kutoka ccm .haiitaji D mbili kujua kwamba jamaa na ccm ni damdam
Kila kona sasa ni Tundu Tundu TunduMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu amesema kamwe hawezi kujiunga CCM kwa sababu yeye ana AKULI TIMAMU
Lisu amesema yeye aliwahi Kuwa Mwanachama wa CCM Kwa mujibu wa sheria Ili ajiunge JKT na baadae Chuo kikuu
Lisu amesema alipoingia tu Chuo kikuu na kusajiliwa rasmi aliitupa KADI ya CCM na kamwe hatarejea
Source: Star tv
Mlale Unono ๐๐
[emoji7][emoji7]CCM hata uikwepe vipi machoni kwa watu, ila kwa siri siri utaitafuta mwenyewe ikusaidie mambo yako..
CCM Nambari One..!! [emoji172][emoji617][emoji1241]๐ข๐ฉ[emoji736][emoji120][emoji120]
ChawaCCM hata uikwepe vipi machoni kwa watu, ila kwa siri siri utaitafuta mwenyewe ikusaidie mambo yako..
CCM Nambari One..!! ๐๐ฐ๐น๐ฟ๐ข๐ฉโ ๐๐
We ndio muongoNinawafahamu wananchi ambao walijiunga na JKT na Chuo enzi cha 60 na 70 bila ya kuulizwa kadi ya CCM
Wewe alikulazimisha nani? Lissu acha uzandiki
= Mwadilifu.Lisu Mwadirifu Saana.seriosly
Aรฌseeh we popoma kweli....CCM hata uikwepe vipi machoni kwa watu, ila kwa siri siri utaitafuta mwenyewe ikusaidie mambo yako..
CCM Nambari One..!! ๐๐ฐ๐น๐ฟ๐ข๐ฉโ ๐๐
Kapewa kama haki yake ya kikatiba au???Kitendo TU Cha kupokea mchango wa gari.Kutoka ccm .haiitaji D mbili kujua kwamba jamaa na ccm ni damdam
Acha UONGO,Ninawafahamu wananchi ambao walijiunga na JKT na Chuo enzi cha 60 na 70 bila ya kuulizwa kadi ya CCM
Wewe alikulazimisha nani? Lissu acha uzandiki
Alitahadharisha kuwa uvunjwaji holela wa mikataba ile utagharimu taifa na kuleta hasara kubwa, na ndicho kinachotokea sasa.Huyo lisu anayedai kuwa hawezi kuwa dalali wa raslimali ni tofauti na yule lisu aliyekuwa mtetezi wa wezi wa madini? Au anadhani tumesahau ule usaliti wake? Au amesahau kuwa tulikuwa tunamwita Kamanda msaliti?
Inawezekana mwezi uko kona ndiyo maana anaropoka chochote kinachokuja kichwani.
Ninawafahamu wananchi ambao walijiunga na JKT na Chuo enzi cha 60 na 70 bila ya kuulizwa kadi ya CCM
Wewe alikulazimisha nani? Lissu acha uzandiki
We nae ukishavuta bange zako unachanganyikiwa kabisa= Mwadilifu.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?