Pre GE2025 Tundu Lissu: Mimi nilikuwa Mwanachama wa CCM kwa lazima siyo kwa kupenda, nilipoingia Chuo Kikuu nikatupa kadi sitaki Kuwa Dalali wa rasilimali!

Pre GE2025 Tundu Lissu: Mimi nilikuwa Mwanachama wa CCM kwa lazima siyo kwa kupenda, nilipoingia Chuo Kikuu nikatupa kadi sitaki Kuwa Dalali wa rasilimali!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu amesema kamwe hawezi kujiunga CCM kwa sababu yeye ana AKULI TIMAMU

Lisu amesema yeye aliwahi Kuwa Mwanachama wa CCM Kwa mujibu wa sheria Ili ajiunge JKT na baadae Chuo kikuu

Lisu amesema alipoingia tu Chuo kikuu na kusajiliwa rasmi aliitupa KADI ya CCM na kamwe hatarejea

Source: Star tv

Mlale Unono 😀😀
 
Huyo lisu anayedai kuwa hawezi kuwa dalali wa raslimali ni tofauti na yule lisu aliyekuwa mtetezi wa wezi wa madini? Au anadhani tumesahau ule usaliti wake? Au amesahau kuwa tulikuwa tunamwita Kamanda msaliti?
Inawezekana mwezi uko kona ndiyo maana anaropoka chochote kinachokuja kichwani.
 
Kila kona sasa ni Tundu Tundu Tundu
 
CCM hata uikwepe vipi machoni kwa watu, ila kwa siri siri utaitafuta mwenyewe ikusaidie mambo yako..

CCM Nambari One..!! [emoji172][emoji617][emoji1241]🟢🟩[emoji736][emoji120][emoji120]
[emoji7][emoji7]
 
Huyo lisu anayedai kuwa hawezi kuwa dalali wa raslimali ni tofauti na yule lisu aliyekuwa mtetezi wa wezi wa madini? Au anadhani tumesahau ule usaliti wake? Au amesahau kuwa tulikuwa tunamwita Kamanda msaliti?
Inawezekana mwezi uko kona ndiyo maana anaropoka chochote kinachokuja kichwani.
Alitahadharisha kuwa uvunjwaji holela wa mikataba ile utagharimu taifa na kuleta hasara kubwa, na ndicho kinachotokea sasa.

Kwa sasa nchi inapata hasara kubwa mno kulipa fidia kubwa kwa makampuni ya nje kwa sababu ya yale maamuzi ya hovyo ambayo yangeweza kuepukika..
 
Ninawafahamu wananchi ambao walijiunga na JKT na Chuo enzi cha 60 na 70 bila ya kuulizwa kadi ya CCM
Wewe alikulazimisha nani? Lissu acha uzandiki

..miaka hiyo ukifika JKT kwa mujibu wa sheria lazima uandikishwe uanachama wa Tanu / Ccm.

..JWTZ ilikuwa moja ya mikoa ya Kichama ya Ccm.

..Wakuu wote wa vikosi vya JWTZ na JKT walikuwa ni wenyeviti wa Ccm wa kikosi husika.

..Kila kikosi kilikuwa na Kamisaa wa Siasa, ambaye alikuwa ni wakufunzi wa siasa wa kikosi.

..Kamisaa wa Siasa wa JWTZ alikuwa ni Afisa wa tatu kimadaraka, baada ya Mkuu wa Majeshi, na Mnadhimu Mkuu.
 
Back
Top Bottom