Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
We kweli tapeli unajiita GT na mambo mepesi huyafahamu?Ninawafahamu wananchi ambao walijiunga na JKT na Chuo enzi cha 60 na 70 bila ya kuulizwa kadi ya CCM
Wewe alikulazimisha nani? Lissu acha uzandiki
Well done...miaka hiyo ukifika JKT kwa mujibu wa sheria lazima uandikishwe uanachama wa Tanu / Ccm.
..JWTZ ilikuwa moja ya mikoa ya Kichama ya Ccm.
..Wakuu wote wa vikosi vya JWTZ na JKT walikuwa ni wenyeviti wa Ccm wa kikosi husika.
..Kila kikosi kilikuwa na Kamisaa wa Siasa, ambaye alikuwa ni wakufunzi wa siasa wa kikosi.
..Kamisaa wa Siasa wa JWTZ alikuwa ni Afisa wa tatu kimadaraka, baada ya Mkuu wa Majeshi, na Mnadhimu Mkuu.
Etwege hatakuelewa😆😆Alitahadharisha kuwa uvunjwaji holela wa mikataba ile utagharimu taifa na kuleta hasara kubwa, na ndicho kinachotokea sasa.
Kwa sasa nchi inapata hasara kubwa mno kulipa fidia kubwa kwa makampuni ya nje kwa sababu ya yale maamuzi ya hovyo ambayo yangeweza kuepukika..
Uvunjaji mikataba unavyoitafuna nchi
Wakati mijadala ya Tanzania kutakiwa kulipa mabilioni ya fedha baada ya kushindwa kesi Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi (ICSID) ikiendelea, wanasheria wataja sababu za mashauri hayo na njia...www.mwananchi.co.tz Kesi za mikataba kimataifa zashtua wadau, watoa njia
Siku mbili baada ya Serikali kutoa msimamo wa kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kulipa fidia ya Dola 109 milioni za Marekani (Sh260 bilioni) katika uwekezaji wa Mradi wa Nikeli wa Ntaka Hill, wadau...www.mwananchi.co.tz
Pamoja na haya yote; kwamba hapakuwepo na vyama vya siasa mbali TANU/CCM; lakini pia ni muhimu kuweka tofauti kubwa sana kati ya CCM ya wakati huo, kama chama cha siasa na CCM ya leo hii ambayo ni chama cha maslahi ya waliomo kwenye chama na serikali...miaka hiyo ukifika JKT kwa mujibu wa sheria lazima uandikishwe uanachama wa Tanu / Ccm.
..JWTZ ilikuwa moja ya mikoa ya Kichama ya Ccm.
..Wakuu wote wa vikosi vya JWTZ na JKT walikuwa ni wenyeviti wa Ccm wa kikosi husika.
..Kila kikosi kilikuwa na Kamisaa wa Siasa, ambaye alikuwa ni wakufunzi wa siasa wa kikosi.
..Kamisaa wa Siasa wa JWTZ alikuwa ni Afisa wa tatu kimadaraka, baada ya Mkuu wa Majeshi, na Mnadhimu Mkuu.
Sijui kama hayo maneno uliyo tumia katika kichwa cha mada ndiyo hayohayo aliyo tumia Tundu Lissu.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu amesema kamwe hawezi kujiunga CCM kwa sababu yeye ana AKULI TIMAMU
Lisu amesema yeye aliwahi Kuwa Mwanachama wa CCM Kwa mujibu wa sheria Ili ajiunge JKT na baadae Chuo kikuu
Lisu amesema alipoingia tu Chuo kikuu na kusajiliwa rasmi aliitupa KADI ya CCM na kamwe hatarejea
Source: Star tv
Mlale Unono 😀😀
Wewe kwa kweli umekuwa bwege hasa!Yuko tayari hadi kutunga uongo wa hadithi za kushitakiwa MIGA maswala ya ujinga mtupu. Na yanayoshabikiwa na wajinga wenzake as if yana legal reasoning.
Ndio sampuli ya washabiki wa Lissu na mapoyoyo kama kina Mwabukusi (wanasheria uchwara).Wewe kwa kweli umekuwa bwege hasa!
Werevu wako hapa ni upi?
Ila wewe ndiye unayejuwa!Hana analolijua Lissu kuhusu Mikataba, same as Kabudi.
Hizi takataka unazileta hapa tena za nini. Unataka turudi tena kwenye ujinga uliofanyika na kupoteza muda wetu kujadili yaliyokwisha hitimishwa?Ndio sampuli ya washabiki wa Lissu na mapoyoyo kama kina Mwabukusi (wanasheria uchwara).
Ndio maana mmeshindwa kuelewa IGA sehemu kubwa ilikuwa ni dispute resolution na investment conditions
(Contract offer).
Hayo mambo kama hayapo kwenye BIT au special investment kama IGA. Basi kwenye mkataba wowote wa kimataifa lazima privately yawepo kwenye ‘host nation’ agreement. It’s standard on FDI contacts to include ADR terms.
Hakuna upuuzi kama MIGA kwenye international FDI kuna isipokuwa kuna agreed terns of alternative dispute resolution (ADR) process. Those must be addressed in the contract up until arbitration; being the highest level of international decisions.
Hakuna upuuzi wa MIGA, kila siku nchi inashitakiwa unewahi kusikia mwekezaji anasema MIGA, if anything watatumia BIT.
Hana analolijua Lissu kuhusu Mikataba, same as Kabudi. So is you na wafuasi wake wote Lissu.
Mimi nipo constant sijawahi kumkubali Kabudi hata siku moja kuwa chief negotiator wa mikataba ya kitaifa.Ila wewe ndiye unayejuwa!
Tueleze unayojuwa wewe na umefanya nini kusaidia nchi hii isiingie hasara ya kulipizwa gharama za kuvunja mikataba kama inavyo fanya sasa?
Halafu usivyo kuwa mtu wa kueleweka, sasa unamjumuisha na Kabuti humo humo, wakati huko juu unaonyesha kuwa unayotetea wewe yalikuwa yakifanyika wakati huo huo Kabudi huyo huyo akiyashughulikia.
Hivi wewe akili yako ipo wapi hasa? Can you really think straight?
Unayo 'pomposity' ya kipumbavu sana; hata sijui kama unajitambua wakati mwingine unakuwa kama chizi tu.Mimi nipo constant sijawahi kumkubali Kabudi hata siku moja kuwa chief negotiator wa mikataba ya kitaifa.
Kwanini simkubali kwa sababu najua aspects muhimu ya mikataba ni consideration and that’s finance (skills ambazo) Kabudi hana uwezi pata good deal na mtu kama huyo miska 800.
Lissu hana tofauti na Kabudi na worst ukimsikiliza kama unajua areas of negotiation kwenye international contract (moja wapo ni dispute resolution) kusema utashitakiwa MIGA maana yake hana analojua kuhusu mikataba ya kimataifa.
Wazungu wanasema it’s only easy if you know it.Hizi takataka unazileta hapa tena za nini. Unataka turudi tena kwenye ujinga uliofanyika na kupoteza muda wetu kujadili yaliyokwisha hitimishwa?
Nenda katafute wapumbavu wenzako wa kupoteza muda nao.
Ndio sampuli ya washabiki wa Lissu na mapoyoyo kama kina Mwabukusi (wanasheria uchwara).
Ndio maana mmeshindwa kuelewa IGA sehemu kubwa ilikuwa ni dispute resolution na investment conditions
(Contract offer).
Hayo mambo kama hayapo kwenye BIT au special investment kama IGA. Basi kwenye mkataba wowote wa kimataifa lazima privately yawepo kwenye ‘host nation’ agreement. It’s standard on FDI contacts to include ADR terms.
Hakuna upuuzi kama MIGA kwenye international FDI kuna isipokuwa kuna agreed terns of alternative dispute resolution (ADR) process. Those must be addressed in the contract up until arbitration; being the highest level of international decisions.
Hakuna upuuzi wa MIGA, kila siku nchi inashitakiwa unewahi kusikia mwekezaji anasema MIGA, if anything watatumia BIT.
Hana analolijua Lissu kuhusu Mikataba, same as Kabudi.
Huna unachokijua don’t waste my time.Unayo 'pomposity' ya kipumbavu sana; hata sijui kama unajitambua wakati mwingine unakuwa kama chizi tu.
Wakati yote hayo yakifanyika wewe huwa umejificha wapi na hiyo CCM yako?
nilisha kwambia siku nyingi humu; kama unatafuta ku-'impress' watu na vi-terminology' vyako unavyotumia mara kwa mara; fahamu kwamba hiyo 'field' inayokujaza upepo kichwani wewe kwa wengine ni jambo la kawaida tu. Wakati mwingine ni kutumia 'common sense' tu na kuelewa hayo yanayo kupapatisha wewe.
kama unataka tu'appreciate' ujuzi wako huko kwenye ki'field' chako hicho, tuwekee umetatua matatizo yapi kama mifano halisi. Vinginevyo, shut up!
Hizo 'negotiations' huwa yupo kabuti pekee? Au Tundu Lissu akiwa huko, naye atakuwa ni yeye peke yake kwenye hiyo mikutano ya 'negotiation'?Mimi nipo constant sijawahi kumkubali Kabudi hata siku moja kuwa chief negotiator wa mikataba ya kitaifa.
Kwanini simkubali kwa sababu najua aspects muhimu ya mikataba ni consideration and that’s finance (skills ambazo) Kabudi hana uwezi pata good deal na mtu kama huyo miska 800.
Lissu hana tofauti na Kabudi na worst ukimsikiliza kama unajua areas of negotiation kwenye international contract (moja wapo ni dispute resolution) kusema utashitakiwa MIGA maana yake hana analojua kuhusu mikataba ya kimataifa.
= bangi.We nae ukishavuta bange zako unachanganyikiwa kabisa
Kwa hiyo hapa unatuletea 'crap' ulizo kariri kwenye vitabu, siyo?Huna unachokijua don’t waste my time.
Hoja za msingi zinataka uelewa wa topic, sio kutoa vitu kichwani kwako,
Nonsense