Pre GE2025 Tundu Lissu: Mimi nilikuwa Mwanachama wa CCM kwa lazima siyo kwa kupenda, nilipoingia Chuo Kikuu nikatupa kadi sitaki Kuwa Dalali wa rasilimali!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..miaka hiyo ukifika JKT kwa mujibu wa sheria lazima uandikishwe uanachama wa Tanu / Ccm.

..JWTZ ilikuwa moja ya mikoa ya Kichama ya Ccm.

..Wakuu wote wa vikosi vya JWTZ na JKT walikuwa ni wenyeviti wa Ccm wa kikosi husika.

..Kila kikosi kilikuwa na Kamisaa wa Siasa, ambaye alikuwa ni wakufunzi wa siasa wa kikosi.

..Kamisaa wa Siasa wa JWTZ alikuwa ni Afisa wa tatu kimadaraka, baada ya Mkuu wa Majeshi, na Mnadhimu Mkuu.
Well done.
 
Alitahadharisha kuwa uvunjwaji holela wa mikataba ile utagharimu taifa na kuleta hasara kubwa, na ndicho kinachotokea sasa.

Kwa sasa nchi inapata hasara kubwa mno kulipa fidia kubwa kwa makampuni ya nje kwa sababu ya yale maamuzi ya hovyo ambayo yangeweza kuepukika..
Etwege hatakuelewa😆😆
Mzee wa MiGA
 
..miaka hiyo ukifika JKT kwa mujibu wa sheria lazima uandikishwe uanachama wa Tanu / Ccm.

..JWTZ ilikuwa moja ya mikoa ya Kichama ya Ccm.

..Wakuu wote wa vikosi vya JWTZ na JKT walikuwa ni wenyeviti wa Ccm wa kikosi husika.

..Kila kikosi kilikuwa na Kamisaa wa Siasa, ambaye alikuwa ni wakufunzi wa siasa wa kikosi.

..Kamisaa wa Siasa wa JWTZ alikuwa ni Afisa wa tatu kimadaraka, baada ya Mkuu wa Majeshi, na Mnadhimu Mkuu.
Pamoja na haya yote; kwamba hapakuwepo na vyama vya siasa mbali TANU/CCM; lakini pia ni muhimu kuweka tofauti kubwa sana kati ya CCM ya wakati huo, kama chama cha siasa na CCM ya leo hii ambayo ni chama cha maslahi ya waliomo kwenye chama na serikali.
Tofauti kubwa sana.

Kwa hiyo, Tundu Lissu na yeye aweze kueleza tofauti hiyo. CCM aliyoingia wakati ule, siyo hii CCM ya wakati huu.
 
Hakutaka kuwa dalali wa rasimali Iła alikuwa mstari wa mbele kuwavunja nguvu wale waliokuwa wanapigana kuokoa rasimali za nchi,

Yuko tayari hadi kutunga uongo wa hadithi za kushitakiwa MIGA maswala ya ujinga mtupu. Na yanayoshabikiwa na wajinga wenzake as if yana legal reasoning.

Ni mapoyoyo ya CDM na watu ambao wapo desperate na mabadiliko yanaweza tapeli wa kisiasa kama Lissu.

Ni mtu wa hovyo kweli na mwenye kujiropokea tu; only that he had a gullible audience to entertain his nonsense.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu amesema kamwe hawezi kujiunga CCM kwa sababu yeye ana AKULI TIMAMU

Lisu amesema yeye aliwahi Kuwa Mwanachama wa CCM Kwa mujibu wa sheria Ili ajiunge JKT na baadae Chuo kikuu

Lisu amesema alipoingia tu Chuo kikuu na kusajiliwa rasmi aliitupa KADI ya CCM na kamwe hatarejea

Source: Star tv

Mlale Unono 😀😀
Sijui kama hayo maneno uliyo tumia katika kichwa cha mada ndiyo hayohayo aliyo tumia Tundu Lissu.
Najuwa wewe huwa ni mchanganya madesa kufuatana na akili yako iliko lalia kwa wakati huo.

CCM aliyo lazimika kujiunga nayo wakati huo haikuwahi hata siku moja kuwa dalali wa raslimali za waTanzania ..."...sitaki kuwa dalali wa raslimali..."

Kama kweli kayasema hayo maneno (mimi siamini), atafutwe ayatolee ufafanuzi wa maana aliyo ilenga.
 
Yuko tayari hadi kutunga uongo wa hadithi za kushitakiwa MIGA maswala ya ujinga mtupu. Na yanayoshabikiwa na wajinga wenzake as if yana legal reasoning.
Wewe kwa kweli umekuwa bwege hasa!
Werevu wako hapa ni upi kama siyo upumbavu mtupu unao kusumbua kichwani mwako.
Ni kipi cha maana ulicho changia katika maandishi yako hapo mbali ya kujivimbisha tu uonekane wewe mjuwaji wakati nimtu mtupu kabisa kichwani!
 
Wewe kwa kweli umekuwa bwege hasa!
Werevu wako hapa ni upi?
Ndio sampuli ya washabiki wa Lissu na mapoyoyo kama kina Mwabukusi (wanasheria uchwara).

Ndio maana mmeshindwa kuelewa IGA sehemu kubwa ilikuwa ni dispute resolution na investment conditions
(Contract offer).

Hayo mambo kama hayapo kwenye BIT au special investment kama IGA. Basi kwenye mkataba wowote wa kimataifa lazima privately yawepo kwenye ‘host nation’ agreement. It’s standard on FDI contacts to include ADR terms.

Hakuna upuuzi kama MIGA kwenye international FDI kuna isipokuwa kuna agreed terns of alternative dispute resolution (ADR) process. Those must be addressed in the contract up until arbitration; being the highest level of international decisions.

Hakuna upuuzi wa MIGA, kila siku nchi inashitakiwa unewahi kusikia mwekezaji anasema MIGA, if anything watatumia BIT.

Hana analolijua Lissu kuhusu Mikataba, same as Kabudi. So is you na wafuasi wake wote Lissu.

Shida ni kwamba hamjui madhara ya kuchochea uongo wa Lissu against the government in international cases.

Just useless people, mnajazama ujinga and thinking the world operates in your little mindful thinking.
 
Hana analolijua Lissu kuhusu Mikataba, same as Kabudi.
Ila wewe ndiye unayejuwa!
Tueleze unayojuwa wewe na umefanya nini kusaidia nchi hii isiingie hasara ya kulipizwa gharama za kuvunja mikataba kama inavyo fanya sasa?
Halafu usivyo kuwa mtu wa kueleweka, sasa unamjumuisha na Kabuti humo humo, wakati huko juu unaonyesha kuwa unayotetea wewe yalikuwa yakifanyika wakati huo huo Kabudi huyo huyo akiyashughulikia.
Hivi wewe akili yako ipo wapi hasa? Can you really think straight?
 
Ndio sampuli ya washabiki wa Lissu na mapoyoyo kama kina Mwabukusi (wanasheria uchwara).

Ndio maana mmeshindwa kuelewa IGA sehemu kubwa ilikuwa ni dispute resolution na investment conditions
(Contract offer).

Hayo mambo kama hayapo kwenye BIT au special investment kama IGA. Basi kwenye mkataba wowote wa kimataifa lazima privately yawepo kwenye ‘host nation’ agreement. It’s standard on FDI contacts to include ADR terms.

Hakuna upuuzi kama MIGA kwenye international FDI kuna isipokuwa kuna agreed terns of alternative dispute resolution (ADR) process. Those must be addressed in the contract up until arbitration; being the highest level of international decisions.

Hakuna upuuzi wa MIGA, kila siku nchi inashitakiwa unewahi kusikia mwekezaji anasema MIGA, if anything watatumia BIT.

Hana analolijua Lissu kuhusu Mikataba, same as Kabudi. So is you na wafuasi wake wote Lissu.
Hizi takataka unazileta hapa tena za nini. Unataka turudi tena kwenye ujinga uliofanyika na kupoteza muda wetu kujadili yaliyokwisha hitimishwa?
Nenda katafute wapumbavu wenzako wa kupoteza muda nao.
 
Ila wewe ndiye unayejuwa!
Tueleze unayojuwa wewe na umefanya nini kusaidia nchi hii isiingie hasara ya kulipizwa gharama za kuvunja mikataba kama inavyo fanya sasa?
Halafu usivyo kuwa mtu wa kueleweka, sasa unamjumuisha na Kabuti humo humo, wakati huko juu unaonyesha kuwa unayotetea wewe yalikuwa yakifanyika wakati huo huo Kabudi huyo huyo akiyashughulikia.
Hivi wewe akili yako ipo wapi hasa? Can you really think straight?
Mimi nipo constant sijawahi kumkubali Kabudi hata siku moja kuwa chief negotiator wa mikataba ya kitaifa.

Kwanini simkubali kwa sababu najua aspects muhimu ya mikataba ni consideration and that’s finance (skills ambazo) Kabudi hana uwezi pata good deal na mtu kama huyo miska 800.

Lissu hana tofauti na Kabudi na worst ukimsikiliza kama unajua areas of negotiation kwenye international contract (moja wapo ni dispute resolution) kusema utashitakiwa MIGA maana yake hana analojua kuhusu mikataba ya kimataifa.
 
Unayo 'pomposity' ya kipumbavu sana; hata sijui kama unajitambua wakati mwingine unakuwa kama chizi tu.

Wakati yote hayo yakifanyika wewe huwa umejificha wapi na hiyo CCM yako?

nilisha kwambia siku nyingi humu; kama unatafuta ku-'impress' watu na vi-terminology' vyako unavyotumia mara kwa mara; fahamu kwamba hiyo 'field' inayokujaza upepo kichwani wewe kwa wengine ni jambo la kawaida tu. Wakati mwingine ni kutumia 'common sense' tu na kuelewa hayo yanayo kupapatisha wewe.

kama unataka tu'appreciate' ujuzi wako huko kwenye ki'field' chako hicho, tuwekee umetatua matatizo yapi kama mifano halisi. Vinginevyo, shut up!
 
Hizi takataka unazileta hapa tena za nini. Unataka turudi tena kwenye ujinga uliofanyika na kupoteza muda wetu kujadili yaliyokwisha hitimishwa?
Nenda katafute wapumbavu wenzako wa kupoteza muda nao.
Wazungu wanasema it’s only easy if you know it.

Tunarudi kwenye Plato allegory of ‘the ship of fools’

Nani ana support kwenye ukweli mwerevu au mjinga mwenye marafiki wengi kwenye kadamnasi.

Ndio wewe unabishiaga technical matters ambazo huna hata abc zake. Unajiandikiaga ujinga mtupu halafu unataka watu watumie muda kukufahamisha. Hata wakijaribu kukupa systematic reasoning on how things are done kwa sababu hujui wsnaongea nini. Huwa unarudi na ujinga mwingine wa counter argue ambao umejaa ujinga mtupu.

Ain’t got time to entertain idiots.
 
Ndio sampuli ya washabiki wa Lissu na mapoyoyo kama kina Mwabukusi (wanasheria uchwara).

Ndio maana mmeshindwa kuelewa IGA sehemu kubwa ilikuwa ni dispute resolution na investment conditions
(Contract offer).

Hayo mambo kama hayapo kwenye BIT au special investment kama IGA. Basi kwenye mkataba wowote wa kimataifa lazima privately yawepo kwenye ‘host nation’ agreement. It’s standard on FDI contacts to include ADR terms.

Hakuna upuuzi kama MIGA kwenye international FDI kuna isipokuwa kuna agreed terns of alternative dispute resolution (ADR) process. Those must be addressed in the contract up until arbitration; being the highest level of international decisions.

Hakuna upuuzi wa MIGA, kila siku nchi inashitakiwa unewahi kusikia mwekezaji anasema MIGA, if anything watatumia BIT.

Hana analolijua Lissu kuhusu Mikataba, same as Kabudi.

..ungewaelimisha wanajamvi MIGA ni nini wangeweza kuelewa hoja yako, na kuyafahamu madhaifu ya Lissu.

..ripoti za Mruma na Ossoro inaelekea hazikuwa za kweli. Kama zingekuwa za kweli serikali ilitakiwa ikashtaki ili Watanzania tulipwe mabilioni.

..kinyume chake serikali ndio imeshtakiwa, na Watanzania tutalazimika kulipa mabilioni kama sio matrilioni.

..wakati huohuo Prof.Kabudi aliyekuwa kinara na msemaji Mkuu wa serikali wakati wa vita na walioitwa mabeberu amejitokeza na kusema kodi ambayo serikali ilisema inawadai Acacia haikuwa ya kweli.

..kuongeza chumvi kwenye kidonda, Deo Mwanyika, aliyekuwa Afisa wa ngazi ya juu wa Acacia, na Barrick, amepewa ubunge na Ccm.

..Zaidi, Prof.Mruma ambaye aliongoza mojawapo ya Tume za Uchunguzi, na alilia machozi siku kuwasilisha ripoti mbele ya Raisi, ameonekana ktk luninga akishindwa kuitetea serikali iliposhtakiwa.

..Katika mazingira hayo, hivi utaiamini Serikali, au utawaamini waliokuwa wakitilia mashaka ripoti, na hatua za serikali?
 
Unayo 'pomposity' ya kipumbavu sana; hata sijui kama unajitambua wakati mwingine unakuwa kama chizi tu.

Wakati yote hayo yakifanyika wewe huwa umejificha wapi na hiyo CCM yako?

nilisha kwambia siku nyingi humu; kama unatafuta ku-'impress' watu na vi-terminology' vyako unavyotumia mara kwa mara; fahamu kwamba hiyo 'field' inayokujaza upepo kichwani wewe kwa wengine ni jambo la kawaida tu. Wakati mwingine ni kutumia 'common sense' tu na kuelewa hayo yanayo kupapatisha wewe.

kama unataka tu'appreciate' ujuzi wako huko kwenye ki'field' chako hicho, tuwekee umetatua matatizo yapi kama mifano halisi. Vinginevyo, shut up!
Huna unachokijua don’t waste my time.

Hoja za msingi zinataka uelewa wa topic, sio kutoa vitu kichwani kwako,

Nonsense
 
Mimi nipo constant sijawahi kumkubali Kabudi hata siku moja kuwa chief negotiator wa mikataba ya kitaifa.

Kwanini simkubali kwa sababu najua aspects muhimu ya mikataba ni consideration and that’s finance (skills ambazo) Kabudi hana uwezi pata good deal na mtu kama huyo miska 800.

Lissu hana tofauti na Kabudi na worst ukimsikiliza kama unajua areas of negotiation kwenye international contract (moja wapo ni dispute resolution) kusema utashitakiwa MIGA maana yake hana analojua kuhusu mikataba ya kimataifa.
Hizo 'negotiations' huwa yupo kabuti pekee? Au Tundu Lissu akiwa huko, naye atakuwa ni yeye peke yake kwenye hiyo mikutano ya 'negotiation'?
Wewe ukiwekwa huko utakuwa ndiye peke yako ukiwakilisha hiyo nchi ya kipuuzi inayo waamini mtu kama wewe?
 
Back
Top Bottom