Pre GE2025 Tundu Lissu: Mimi nilikuwa Mwanachama wa CCM kwa lazima siyo kwa kupenda, nilipoingia Chuo Kikuu nikatupa kadi sitaki Kuwa Dalali wa rasilimali!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haya maandishi nayaona mara ya tano au sita humu jamvini.
Hauna jambo jipya zaidi ya kurudia haya maneno mara kwa mara ukidhani utatuaminisha ubobevu wako kwenye mikataba,kumbe unatudhihirishia ulivyo mtupu kwa kukariri.
 
Uongo Huo,,Michango Hata Kwa Shetani unachukua Kwani Mimi CCM nikimchangia lisu kuna ubaya,,Mbona viwanja vya mpira ni vya CCM na mikutano Yote tinafanyia Huko
Mbona CCM na Chadema tunachangiana Harusi au kwa vile haitangazwi
 
Moja ya concerns za security nchi za wazungu leo.

Nchi za Asia mainly China na Singapore wanafunzi wao wanaufulu mzuri wa hesabu na masomo ya sayansi.

Concern ipo wapi kuelekea uchumi wa digital hizo nchi zitawazidi kwenye technological innovation and evolution.

Sasa hivi wanaangalia namna ya ku-counter argue hiyo advantage ya wenzao.

Sisi ndio kwanza tunalea mapoyoyo kuongoza nchi na tushaanza kuwapa nafasi kubwa serikalini. Hawana hata akili za kuboresha sector leo hao ndio watu wa kupanga mipango ya kesho.

Hao wataalsmu wenyewe hovyo, uwezi shindwa kila kesi; vinginevyo maana yake una uwezo.

Mnajazana ujinga tu sio Shivji, Kabudi wala Lissu wanaojua lolote kuhusu contract. Na ukisoma waraka wa TLD kuhusu IGA ni ujinga mtupu.

Tupo hapo tulipo kwa sababu elimu yetu ni ya hovyo. Na hao wataalamu wetu ni hovyo.

Legally Tanzania mtu ambae ana make sense ni Shadrak tu, wengine wote ninao wasikis ni mapoyoyo tu.

Shida ni kujazana ujinga tu humu JF.
 
Kitendo TU Cha kupokea mchango wa gari.Kutoka ccm .haiitaji D mbili kujua kwamba jamaa na ccm ni damdam
Siasa sio uadui ndio maana hata kwenye misiba tunasaidiana na hata kwenye harusi tunashirikiana na masuala mengine yote ya kijamii tupo pamoja 😳

Na pia hata ndani ya ukoo mmoja utakuta huyu ni CCM na yule ni Chadema wala haina shida !

Siasa sio uadui Uvccm mzingatie hili pia πŸ™πŸ™πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Hao watu wanaoitwa eti ni madeep State wanatakiwa waizingatie hii hoja yako kama kweli wapo na kama kweli wapo kwa ajili ya maslahi ya Nchi yetu hii !! πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™
 
actually you must be extraordinarily dump not to understand what I have been repeating over and over. I have no interest in whatever you think you know, it doesn't impress me at al!
May be he is one of the chaps in the inner circle ⭕️ ???!
Who knows !!? πŸ™πŸ€£
 
Ninawafahamu wananchi ambao walijiunga na JKT na Chuo enzi cha 60 na 70 bila ya kuulizwa kadi ya CCM
Wewe alikulazimisha nani? Lissu acha uzandiki

JKT ilikuwa ni lazima ufundishwe siasa na upewe kadi ya CCM. Tuliopitia JKT Tunakijua hilo. Na ilikuwa ni lazima uende JKT kabla ya kujiunga na Chuo Kikuu. Kama kuna mtu alujiunga na Chuo Kikuu bila kupitia JKT huyo atakuwa ili ingia kinyume cha utaratibu.
 
Kabisa ! πŸ™
 
Jinga
 
CCM ya akina Tundu Lisu na Mbatia ilishaanza kuchafuka na ndio wakati harakati za mageuzi zilikuwa zimepamba moto Chini ya mwamvuli wa NCCR
 
Jana kwangu umeme ulikata nikakosa kipindi kizuri sn, hawa TANESCO basi tu
 
Ndiyo maana mpk leo CCM bado inaitumia polisi kama tawi lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…