residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Haya maandishi nayaona mara ya tano au sita humu jamvini.Ndio sampuli ya washabiki wa Lissu na mapoyoyo kama kina Mwabukusi (wanasheria uchwara).
Ndio maana mmeshindwa kuelewa IGA sehemu kubwa ilikuwa ni dispute resolution na investment conditions
(Contract offer).
Hayo mambo kama hayapo kwenye BIT au special investment kama IGA. Basi kwenye mkataba wowote wa kimataifa lazima privately yawepo kwenye ‘host nation’ agreement. It’s standard on FDI contacts to include ADR terms.
Hakuna upuuzi kama MIGA kwenye international FDI kuna isipokuwa kuna agreed terns of alternative dispute resolution (ADR) process. Those must be addressed in the contract up until arbitration; being the highest level of international decisions.
Hakuna upuuzi wa MIGA, kila siku nchi inashitakiwa unewahi kusikia mwekezaji anasema MIGA, if anything watatumia BIT.
Hana analolijua Lissu kuhusu Mikataba, same as Kabudi. So is you na wafuasi wake wote Lissu.
Shida ni kwamba hamjui madhara ya kuchochea uongo wa Lissu against the government in international cases.
Just useless people, mnajazama ujinga and thinking the world operates in your little mindful thinking.
Hauna jambo jipya zaidi ya kurudia haya maneno mara kwa mara ukidhani utatuaminisha ubobevu wako kwenye mikataba,kumbe unatudhihirishia ulivyo mtupu kwa kukariri.