Pre GE2025 Tundu Lissu: Mimi nilikuwa Mwanachama wa CCM kwa lazima siyo kwa kupenda, nilipoingia Chuo Kikuu nikatupa kadi sitaki Kuwa Dalali wa rasilimali!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu ndio mkweli akisema kitu ila basi tu sijui why simpendi
 
Ninawafahamu wananchi ambao walijiunga na JKT na Chuo enzi cha 60 na 70 bila ya kuulizwa kadi ya CCM
Wewe alikulazimisha nani? Lissu acha uzandiki
Mh. Lisu ana kijiji chake cha wajinga anachoweza kukiambia jambo lolote wakakubaliana nae Mkuu.
 
Msigwa hana akili
 
Wewe nawe akili ndogo
Huenda hata D Moja huna

Lissu hajawahi Tetea wawekezaji wa ccm
Wawekezaji waliletwa na ccm kwa mbwembwe na hadaa nyingi kwa wananchi, iweje lissu awatetee wakati ccm ndio wanakula mrahaba
 
CCM ya akina Tundu Lisu na Mbatia ilishaanza kuchafuka na ndio wakati harakati za mageuzi zilikuwa zimepamba moto Chini ya mwamvuli wa NCCR
Kwani alijiunga mwaka gani. Haya mambo ni rahisi kuyadadavua. Rekodi zipo wazi.
 
Itakuwa 1988/89 anapojiunga JKT
Sasa kama ni wakati huo, aeleze ni raslimali gani ambazo zingekuwa zimetawanywa kiholela kiasi cha kuudhi kama inavyo fanyika sasa hivi chini ya CCM hii tuliyo nayo.

Kama ni maswala mengine, kama uwepo wa vyama vya upinzani, hilo ni jambo tofauti kabisa.
 
Ingekuwa ulikuwepo Kipindi hicho ni rahisi sana kumuelewa Tundu Lisu

Ni Kipindi ambacho vuguvugu la mageuzi lilishika kasi chini ya akina Mchungaji Mtikila, Sengodo Mvungi nk

Usidhani hawa wamasai dili la kuwaondoa ni la awamu hii NO lilianza Kipindi hicho na Nyerere akaikimbia CCM

Binafsi Jana Kwa mara ya kwanza niona Ukweli wa Tundu Antipas Lisu direct
 
Ila wewe john mbatizaji mkorofi sana
 
Wewe nawe akili ndogo
Huenda hata D Moja huna

Lissu hajawahi Tetea wawekezaji wa ccm
Wawekezaji waliletwa na ccm kwa mbwembwe na hadaa nyingi kwa wananchi, iweje lissu awatetee wakati ccm ndio wanakula mrahaba
Hata kama nina F zote ni sawa tu, maana yote ni maisha.
Wewe mwenye A 12 hujui chochote unachoongea zaidi ya kupiga porojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…