SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Lissu ndio mkweli akisema kitu ila basi tu sijui why simpendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mbona hajasaliti kaamua kuwa mtu huru
Mie ni ccm daima ☺️
Mh. Lisu ana kijiji chake cha wajinga anachoweza kukiambia jambo lolote wakakubaliana nae Mkuu.Ninawafahamu wananchi ambao walijiunga na JKT na Chuo enzi cha 60 na 70 bila ya kuulizwa kadi ya CCM
Wewe alikulazimisha nani? Lissu acha uzandiki
Sawa wiseman. Tukianza kutukanana tutaonekana sote majinga.Jinga
Mwingine mimi.Lisu ndiye MTU naweza kumwamini Milele..Ni mpinzani wa kweli.
Tawiree kabisa hata mwakani lile jukumu la kukitetea chama nitalifanya 😁Inabidi uape mbele ya Chama kwamba..
Chama cha mapinduzi utakilinda mpaka kufa, ingawa wewe bado ni binti mdogo lakini unajivika hilo jukumu...
Cc: Mahondaw
Utasubiri sana hata mumbambikie tena kesiya ugaidi.Kitendo TU Cha kupokea mchango wa gari.Kutoka ccm .haiitaji D mbili kujua kwamba jamaa na ccm ni damdam
Msigwa hana akiliMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu amesema kamwe hawezi kujiunga CCM kwa sababu yeye ana AKULI TIMAMU
Lisu amesema yeye aliwahi Kuwa Mwanachama wa CCM Kwa mujibu wa sheria Ili ajiunge JKT na baadae Chuo kikuu
Lisu amesema alipoingia tu Chuo kikuu na kusajiliwa rasmi aliitupa KADI ya CCM na kamwe hatarejea
Source: Star tv
Mlale Unono 😀😀
Wewe nawe akili ndogoHuyo lisu anayedai kuwa hawezi kuwa dalali wa raslimali ni tofauti na yule lisu aliyekuwa mtetezi wa wezi wa madini? Au anadhani tumesahau ule usaliti wake? Au amesahau kuwa tulikuwa tunamwita Kamanda msaliti?
Inawezekana mwezi uko kona ndiyo maana anaropoka chochote kinachokuja kichwani.
Kwani alijiunga mwaka gani. Haya mambo ni rahisi kuyadadavua. Rekodi zipo wazi.CCM ya akina Tundu Lisu na Mbatia ilishaanza kuchafuka na ndio wakati harakati za mageuzi zilikuwa zimepamba moto Chini ya mwamvuli wa NCCR
Itakuwa 1988/89 anapojiunga JKTKwani alijiunga mwaka gani. Haya mambo ni rahisi kuyadadavua. Rekodi zipo wazi.
Sasa kama ni wakati huo, aeleze ni raslimali gani ambazo zingekuwa zimetawanywa kiholela kiasi cha kuudhi kama inavyo fanyika sasa hivi chini ya CCM hii tuliyo nayo.Itakuwa 1988/89 anapojiunga JKT
NO. Not this one. He is not even attempting to sell himself to the bidders.May be he is one of the chaps in the inner circle ⭕️ ???!
Who knows !!? 🙏🤣
Ingekuwa ulikuwepo Kipindi hicho ni rahisi sana kumuelewa Tundu LisuSasa kama ni wakati huo, aeleze ni raslimali gani ambazo zingekuwa zimetawanywa kiholela kiasi cha kuudhi kama inavyo fanyika sasa hivi chini ya CCM hii tuliyo nayo.
Kama ni maswala mengine, kama uwepo wa vyama vya upinzani, hilo ni jambo tofauti kabisa.
Ila wewe john mbatizaji mkorofi sanaMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu amesema kamwe hawezi kujiunga CCM kwa sababu yeye ana AKULI TIMAMU
Lisu amesema yeye aliwahi Kuwa Mwanachama wa CCM Kwa mujibu wa sheria Ili ajiunge JKT na baadae Chuo kikuu
Lisu amesema alipoingia tu Chuo kikuu na kusajiliwa rasmi aliitupa KADI ya CCM na kamwe hatarejea
Source: Star tv
Mlale Unono 😀😀
Hata kama nina F zote ni sawa tu, maana yote ni maisha.Wewe nawe akili ndogo
Huenda hata D Moja huna
Lissu hajawahi Tetea wawekezaji wa ccm
Wawekezaji waliletwa na ccm kwa mbwembwe na hadaa nyingi kwa wananchi, iweje lissu awatetee wakati ccm ndio wanakula mrahaba