LGE2024 Tundu Lissu: Mkuu wa Mkoa haruhusiwi kufanya kampeni akija mumkatae, kama mtamzuia kwa mawe ni juu yenu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wadanganye wenzako uje kuwaponza.

Uliwahi jiuliza Kwa nini viongozi wa CCM wakija Mkoani Huwa anavaa jezi za chama? 😁😁
 
AMEOMBA RUHUSA KWA MBOWE KUONGEA HUO UTUMBO WAKE HADHARANI?
Huo ni utumbo!!??
Kuongea ukweli imekuwa ni utumbo kwako!!??
Kama una watoto, ni hasara sana kwa Taifa kama watakuwa na akili kama zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…