technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Hawa ndio wanajaza form wamezaliwa tarehe 24/12/2024 ๐๐๐๐ achana nayeCIVCS ndio somo gani mpuuzi wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndio wanajaza form wamezaliwa tarehe 24/12/2024 ๐๐๐๐ achana nayeCIVCS ndio somo gani mpuuzi wewe?
Wadanganye wenzako uje kuwaponza.LISSU AMVAA MKUU WA MKOA WA SIMIYU KWA KUFANYA KAMPENI LAMADI
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amvaa vikali Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kwa kufanya kampeni, awataka wananchi wamkatae, "kama mtamzibia barabara kumwambia mkuu wa Mkoa hapa unakosea, huendi popote, kama mtamfuata na kwenda kumzomea juu yenu, msiogope"
Lissu ameyaongea hayo akiwa Lamadi mkoani Simiyu akielekea mkoani Mara kwenye ufunguzi wa kampeni wa uchaguzi wa Serikali za mitaa Novemba 21, 2024
Soma pia: Same: Polisi yazuia mkutano wa hadhara wa Tundu Lissu, yasema ni kufanya kampeni uchaguzi S/Mitaa kabla ya muda
View attachment 3157680
Chanzo: Mwanzo TV plus
Ni utumbo au hujaelewa? 1AMEOMBA RUHUSA KWA MBOWE KUONGEA HUO UTUMBO WAKE HADHARANI?
Civics ipi wewe chawa? Civics ya Tz ni ugoro mtupu!KAMA ULISHINDWA KUSOMA SHULENI UNAMLAUMU NANI? NI UJINGA WAKO HAYO YANAFUNDISHWA KWENYE CIVCS
Huo ni utumbo!!??AMEOMBA RUHUSA KWA MBOWE KUONGEA HUO UTUMBO WAKE HADHARANI?
Ni kiini macho kikubwa sana na tunasafari ndefu embu fikiria Waziri wa Tamisemi ndiye msimamizi wa uchaguzi.Hicho ni kiini macho, hawezi kutokupiga kampeni ya chama chake kilichomteua kushika wadhifa alionao