LGE2024 Tundu Lissu: Mkuu wa Mkoa haruhusiwi kufanya kampeni akija mumkatae, kama mtamzuia kwa mawe ni juu yenu

LGE2024 Tundu Lissu: Mkuu wa Mkoa haruhusiwi kufanya kampeni akija mumkatae, kama mtamzuia kwa mawe ni juu yenu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
LISSU AMVAA MKUU WA MKOA WA SIMIYU KWA KUFANYA KAMPENI LAMADI
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amvaa vikali Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kwa kufanya kampeni, awataka wananchi wamkatae, "kama mtamzibia barabara kumwambia mkuu wa Mkoa hapa unakosea, huendi popote, kama mtamfuata na kwenda kumzomea juu yenu, msiogope"

Lissu ameyaongea hayo akiwa Lamadi mkoani Simiyu akielekea mkoani Mara kwenye ufunguzi wa kampeni wa uchaguzi wa Serikali za mitaa Novemba 21, 2024

Soma pia: Same: Polisi yazuia mkutano wa hadhara wa Tundu Lissu, yasema ni kufanya kampeni uchaguzi S/Mitaa kabla ya muda

View attachment 3157680
Chanzo: Mwanzo TV plus
Wadanganye wenzako uje kuwaponza.

Uliwahi jiuliza Kwa nini viongozi wa CCM wakija Mkoani Huwa anavaa jezi za chama? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
AMEOMBA RUHUSA KWA MBOWE KUONGEA HUO UTUMBO WAKE HADHARANI?
Huo ni utumbo!!??
Kuongea ukweli imekuwa ni utumbo kwako!!??
Kama una watoto, ni hasara sana kwa Taifa kama watakuwa na akili kama zako.
 
Back
Top Bottom