Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyerere unayemsema yeye mwenyewe aliwahi kukiri kuna Mambo alikosea. Sasa wewe unayedhani Nyerere alikuwa Malaika asikosolewe umetoka wapi? Lissu kumkosoa Nyerere hakufanyi asikubali mazuri yake. Hata Magufuli anayemkosoa anajua ana mazuri aliyofanya. Wepesi wa akili yako ndo unadhani katika uzuri Hakuna kasoro.

Washauri wa Rais hawawekwi wazi kiuteuzi hatuwezi jua labda anawasikiliza!!Samia kama anataka kufanikiwa amteue Lissu kuwa mshauri wake wa maswala ya kisheria, MO, GSM, Bakherasa, Rostam wawe washauri wake upande wa uchumi, Mbowe awe mshauri wake kwa mambo ya kisera nje na hao chawa wake atafanikiwa sn.