Tundu Lissu: Msimamo wangu kuhusu vita vya Ukraine unafanana na msimamo wa Mwalimu Nyerere wakati wa vita vya Soviet Union na Czechoslovakia 1968

pooovuuu
 
Samia kama anataka kufanikiwa amteue Lissu kuwa mshauri wake wa maswala ya kisheria, MO, GSM, Bakherasa, Rostam wawe washauri wake upande wa uchumi, Mbowe awe mshauri wake kwa mambo ya kisera nje na hao chawa wake atafanikiwa sn.
Washauri wa Rais hawawekwi wazi kiuteuzi hatuwezi jua labda anawasikiliza!!
 
..kuna watu wanasema wanamuunga mkono Mwalimu Nyerere lakini hawajisumbui kutafiti kuhusu kazi zake na misimamo yake ktk masuala mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…