Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Lissu alikuwa na mawakili wengi zaidi kuliko hao wa kesi ya OJ, ila aliamua ajitetee mwenyewe.Agreed. One thousand percent.
Japo sijawahi kuona popote duniani wakili anajiwakikisha mwenyewe.
Hata Johnny Cockran alihitaji jopo la watu kumi kumtetea O J Simpson.
Sasa Lissu peke yake anajiamini kuliko mawakili kumi wa O J Simpson.
- Johnnie Cochran
- Robert Shapiro
- F. Lee Bailey
- Robert Kardashian
- Alan Dershowitz
- Barry Scheck
- Peter Neufeld
- Gerald Uelmen
- Carl E. Douglas
- Shawn Chapman
Kwa maoni yangu, Mh Lissu ni mtu ambae hana uchoyo kwa kwa kile alichonacho ndani mwake (Taaluma). Angalia kwenye utetezi wake, hawapigi chenga upande wa mashitaka bali anawapa elimu ya namna ya kufungua/kuandaa kesi/mashitaka. Kwa maana nyingine hajiwajilishi mwenyewe kwa sababu anataka ushindi kwenye kesi ile bali anahitaji kutoa elimu ya sheria kwa wengine na hata umma kwa ujumla. Tizama hata Majaji hawawezi kutoa uamuzi pale pale, lazima wajipe muda wa kutosha kwenda kufanya marejeo.Agreed. One thousand percent.
Japo sijawahi kuona popote duniani wakili anajiwakikisha mwenyewe.
Hata Johnny Cockran alihitaji jopo la watu kumi kumtetea O J Simpson.
Sasa Lissu peke yake anajiamini kuliko mawakili kumi wa O J Simpson.
- Johnnie Cochran
- Robert Shapiro
- F. Lee Bailey
- Robert Kardashian
- Alan Dershowitz
- Barry Scheck
- Peter Neufeld
- Gerald Uelmen
- Carl E. Douglas
- Shawn Chapman
TL ni mbarikiwa na mbeba maono aliesalia hapa Tanzania, Tanzania itapiga hatua kubwa sana atakapochukua nchi.Nawakumbusha tu kuwa huyu Tundu Lissu ni legal intellect ya kiwango cha juu! anayechanganya constitutional reasoning, evidence doctrines, na human-rights jurisprudence kwa ustadi wa kipekee. Uelewa wake wa ICCPR, African Charter, na Katiba ya Tanzania humuwezesha ku-dismantle kesi hata zilizo “fabricated.” Ni master wa legal strategy, mwenye analytical depth ambayo ni rare katika legal practice ya Afrika Mashariki. Kisheria, ni vigumu sana kumshinda.
Sasa endeleeni na mchezo wenu hivyo hivyo!