Mimi nipotoshe ili inisaidie nini?.
Mh. Tundu Lissu alianisha mambo manne katika muktadha wa makundi ndani ya CCM na kila jambo lilikuwa na kundi lake. Jambo la nne lilikuwa linamhusu Mwl. Nyerere na siasa za Zanzibar kama nilivyobainisha hapo juu.
Jaribu kuangalia video yake ili upate ukweli na kubainisha vizuri ninachokisema.
kilaza ni wewe ambaye huwez kulinganisha kati ya matatizo tuliyonayo na structure ya kiuongoz tulionayo.........zero kabisa wewweee
Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
Ntazitafuta post zako za kumponda FaizaFoxy kila alipokuwa akiyasema hayo aliyoyasema Lissu jana na mengine. Nyerere niliwahi kusema humhumu JF ni ndumila kuwili.
Nyerere kuhusu Muungano wa Zanzibar alifata maelekezo ya Kanisa. Ngoja na Tundu Lissu aitwe na Kanisa muone kama hajabadilika, mtakuja kunambia humuhumu JF.
Kama leo mnavyodiriki kukubali maneno ya FaizaFoxy kwa kuwa tu yametoka kinywani mwa Tundu, basi iko siku mtayakubali na haya ya shinikizo la Kanisa. Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
Unaweza kusema mengine yote lakini tukubaliane tu kuwa, Mwl. Nyerere hakuwa mtu wa kawaida. Historia inabainisha hivyo na wala siyo yeye anayebainisha kwenye historia. Think bigger!.
Waambie ccm wakubali rasmu ya katiba serikali 3 . Ili kulinda heshima NYERERE .ccm ndio inapelekea sasa hivi .kudhalilisha heshima ya Baba wa Taifa letu Tukufu .
Tundu Lissu, kwenye ili la kumponda Nyerere, pro-Chadema wapo kimya masikini.
Waambie ccm wakubali rasmu ya katiba serikali 3 . Ili kulinda heshima NYERERE .ccm ndio inapelekea sasa hivi .kudhalilisha heshima ya Baba wa Taifa letu Tukufu .
Lissu omba radhi. Kumtukana Nyerere ni kuwatukana watanzania
Kwa hiyo unataka Tanzania nayo ifanye ubabe.Dunia nzima masuala ya muungano ubabe hutumika...hata marekani hawaruhusu mtu
Ahoji muungano wao sababu ubabe ulituzmika
Ndio keshaibadili sasa! Mie mwenyewe sikuwahi kuhisi udikteta wa mwalimu, ila jana nimejua nini mwalimu alicho fanya. Hadi TBC wakafanya Yao.
Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
Lugha aliyotumia mkuu...kumuita Nyerere muongo na alizoea vya haramu huku na wao chadema wakijifanya wana muabudu NyerereNyerere ni nani mpaka hasikosee? Tundu Lissu kasema ukweli mtupu na katoa ushahidi kuwa Nyerere alikuwa muongo.
Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
Wewe punguani kweli tafsiri yako ya udini mtu akiwa Muislam mambo ya Msikiti yameingiaje hapa kama siyo unafiki, kwako uwa hakuna Mkirsto mdini wadini wote ni Waislam.