Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...and the "saint" of Butiama caught up sinning!truth must be told,heard and seen..
they say truth submerged shall rise again..
Samahani ni 7th April 2014, ntarekebisha.
Lugha aliyotumia mkuu...kumuita Nyerere muongo na alizoea vya haramu huku na wao chadema wakijifanya wana muabudu Nyerere
Lugha aliyotumia mkuu...kumuita Nyerere muongo na alizoea vya haramu huku na wao chadema wakijifanya wana muabudu Nyerere
adui wa nyerere mzee mtei atakuwa alimtuma tundu lisu amtukane nyerere
Siyo kweli umeamua kutuwekea maneno kwenye midomoni mwetu.
Kwa kukusaidia tu ufahamu Waislam hawapo chini ya Bakwata.
Bakwata iliundwa na Nyerere kwa kazi maalum.
Nakubaliana na maoni yako kwasababu Mwl. Nyerere ameondoka madarakani miaka 28 iliyopita. Watawala waliofuata licha ya kuhufamu upungufu na makosa yaliyo fanyika wakati wa kuunganisha nchi zetu walishindwa kurekebisha makosa. Hata wakati huu ambako wamepata fursa nzuri kuyarekebisha wanagoma na kuja na stori za kisiasa.
Binafsi ni mkereketwa wa siasa za Mwl. Nyerere lakini kwa kusoma hotuba ya Lissu na vielelezo ni dhahiri shairi mambo hayakuwa sawa ktk kuunganisha nchi zetu na hata baada ya kuungana haikufanyika juhudi ya kurekebisha mapungufu. Hii kitu licha ya nia yake njema kabisa haikua sawa!
Tume nyingi ziliundwa kufikia hii ya Jaji Warioba. Wote waliliona hili kwamba limekaa vibaya lakini Watawala wakakataa ushauri. Mpaka jana Lissu akatema nyongo ambayo kwa propaganda rahisi wana CCM watasema amemkosea heshima Mwalimu Nyerere lakini kiukweli wao walioshindwa kurekebisha makosa ndiyo wamesababisha sasa sisi wote tukajua nini tulifichwa!
adui wa nyerere mzee mtei atakuwa alimtuma tundu lisu amtukane nyerere
wanajua wamelikoroga,kule vijijini kwa wapiga kura wakiambia hii mijamaa imemtusi nyerere na kumwita amezoea vya haramu,ujue kura hamna tena.Duuu naona baadhi ya wana chadema wanashindwa pakusimama kati ya nyerere na lisu
Very soon huyu mtu atakushangaza na kuku dissapoint. Siamini kama ana conviction .mimi namuona ni mwanasiasa ambae anahangaika tu kutafuta pa kusimamia...I hope he proves me wrong.
mwinyi aliruhu iwepo Tanganyika,moto ukawaka,malecela akaambiwa kamshauri rais vibaya,alisemwa hadi akatungiwa na kitabu.1. Kwahiyo Ally Hassan Mwinyi na kikwete siyo waislam ila wewe na kundi lako?
2. Kama kikwete na mwinyi niwaislam vip wasiitumie nafasi ileile alokuwa nayo Nyerere kuuunda chama/Jumuiya nyingine?
3. Mnaitetea hoja ya erikali mbili nyinyi kwakisingizio cha umoja, hili lakujiona wewe nimwislam zaidi kuliko wengine sio ubaguzi? nahapa ndipo wanafiki utakapo waona wanaojadili mambo kidinidini na chuki za udini vichwani.
Hayo ndo tunayaita majungu na udini, Nyerere anaonekana hawa vipi nani kawazuia kufanya mabadiliko? (kikwete na mwinyi) Maana yake nikwamba hakuna ukweli kwenye hoja ya kumlaum nyerere ilhali maraisi wengine katika nafasi ileile wangeweza kufanya marekebisho isipokuwa udini na chuki binafsi.
MWALIMU JKNYERERE ALIKUWA DIKTETA MKUBWA SANA NA KACHAWI VILEVILE KWANI ALIWEZA KUWALAZIMISHA WATANZANIA WAAMKIANE KWENYE MIKUTANO NA SHUGHULI ZA SEREKALI KWA KAULI MBIU ISEMAYO zidumu fikira sahihi za mtukufu julis k nyerere HII SLOGANY ILITUMIKA KUANZIA MASHULENI HADI KWENYE MIKUTANO YA SEREKALI hii ina maanisha kuwa mwalimu ALIKUWA SAHAHI KULIKO MTU MWINGINE YEYOTE TANZANIA ina maana hakukuwa na mtu mwingine mwenye fikra chanya kuliko yy.CHA AJABU HAMNA MTU ALIYEWEZA KUHOJI. JAMBO LINGINE NI LILE LA KUTUMBAZA KUCHAGUA RAIS KWA KUTUMIA KIVULI KAMA MPINZANIHivi kwani Tundu Lissu kaanza kumshutumu Nyerere Leo kama mtakumbuka huyu huyu Tundu Lissu alisha wahi kumuita Nyerere Dikteta na wala hajakosea Nyerere alikuwa fatani sana.
mwinyi aliruhu iwepo Tanganyika,moto ukawaka,malecela akaambiwa kamshauri rais vibaya,alisemwa hadi akatungiwa na kitabu.
Mwinyi nae alisemwa hadi zoezi likasitishwa.
Jk nae ameruhusu mjadala na amewachia wananchi waamue mfumo wanaoutaka.
By adolay![]()
1. Kwahiyo Ally Hassan Mwinyi na kikwete siyo waislam ila wewe na kundi lako?
2. Kama kikwete na mwinyi niwaislam vip wasiitumie nafasi ileile alokuwa nayo Nyerere kuuunda chama/Jumuiya nyingine?
3. Mnaitetea hoja ya serikali mbili nyinyi kwakisingizio cha umoja, hili lakujiona wewe nimwislam zaidi kuliko wengine sio ubaguzi? nahapa ndipo wanafiki utakapo waona wanaojadili mambo kidinidini na chuki za udini vichwani.
Hayo ndo tunayaita majungu na udini, Nyerere anaonekana hawa vipi nani kawazuia kufanya mabadiliko? (kikwete na mwinyi) Maana yake nikwamba hakuna ukweli kwenye hoja ya kumlaum nyerere ilhali maraisi wengine katika nafasi ileile wangeweza kufanya marekebisho isipokuwa udini na chuki binafsi.
Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
Lissu omba radhi. Kumtukana Nyerere ni kuwatukana watanzania