hakuna ghadhabu hapa
gombesugu dhidi ya mleta mada, sasa mtu anakuja anasema Tundu Lissu ni debe tupu bila ya uthibitisho wakati yeye Lissu anaongea kwa vithibitisho na haya yote anasababisha mleta mada kwa lengo lake hilo hilo ambalo watu wanaanza kutukana mtu bila ya hoja eti kisa amesoma title tu ya huyu mleta mada
Sasa nimlaumu vipi Tundu Lissu wakati alieleweka vizuri halafu alikuwa haropoki, tunaweza tukawa tunajadili kumbe hatuelewani tuna jadili kitu gani, yamkini pia unaweza ukawa unadandia treni kwa mbele
Dah! huu ni uongo sasa unaosema, umesikia wapi Tundu Lissu ametamka hayo maneno, ndio maana nakwambia mleta mada amewaingiza chaka na wewe kwa kuongozwa na chuki umeingia kingi yaani unacheza ngoma ambayo hauijui,wapi Tundu Lissu amesema Nyerere alizoea vya kunyonga ndo maana hakutamani vya kuchinja? eti
FaizaFoxy unaweza kumsaidia nduguyo...
Mbona hueleweki unataka kujenga hoja gani hapo!?
cc
chama
acha uongo mkuu
gombesugu yaani Tundu Lissu amepata darsa kutoka kwa
FaizaFoxy nadhani hapo unatania tu, sidhani kama huko sawa, misimamo ya Tundu Lissu inajulikana toka zamani sasa iweje leo awe mchovu, kipindi fulani aliongea kuhusiana na Zanzibar kukiuka au kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alizomewa na kutukanwa tu bila hata ya hoja na ma ccm pamoja na wabunge kutoka Zanzibar, lakini yeye huwa anasimamia ukweli kwa maana yeye hajazoea vya kunyonga kama watu wa ccm, au kusema hasioyatenda kama kina Mwakyembe huku anaaandika hivi kule anapinga alichokiandika yaani ni ujanja ujanja tu, sasa unatudanganya eti Tundu Lissu kapata nondo kutoka kwa
FaizaFoxy nadhani hapo umeongozwa na hisia bila ya uhalisia wowote...
Kwa hiyo hapo unamaanisha baada ya kumwomba radhi na yeye pia abadirishe misimamo yake? kwa hiyo inawezekana hata yeye mwenyewe alikuwa hajielewi mpaka nondo zilipotoka kwa Tundu Lissu!?
Ahsanta sana pia...