Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Nyerere ni mnafik tu. Mbona aliendelea kuutetea Muungano hata alipokwisha ng'atuka? hiyi ilikuwa Serikali ya nani mjomba'ke?

Hatuwezi kuendelea kutukuza jina la mtu aliekua mrongo,mnafiki na fitna khasa kwenye barabara zetu au majengo ya Serikali!

Huu ni wakti muafaka wa Serikali kuamua kuweka wazi Archives za Ikulu/declassification of some materials...ili Wananchi wajionee ukweli takriban woote kukhusu unyama wa yule mnafiki,mzandiki,haramia Nyerere!? Daah!

Kuendelea kutukuza majina ya Wanasiasa/Viongozi wa sampuli ya Nyerere ni kebehi na matusi makubwa mno kwa Wananchi/Watanzania..ambao waliishi kwa mateso makubwa,dhuluma,vitisho na nidhamu ya woga...chini ya utawala wa kimabavu wa yule haramia Nyerere!? Yaani inasikitisha!

Ahsanta.
 
Ukisema Nyerere kakosea Kumbuka kusema Karume ameharibu kwa kuwa naye ni muhusika mkuu katika muungano
 
Mkuu, mbona unatukia ghadhabu dhidi ya ndugu yetu mleta mada hapa jamvini!¿ Daah¡

Mnaona sasa,mpaka Wabunge wenu wachovu,nao sasa wameanza kuamka na kupata Darsa za Mkuu FaizaFoxy...kukhusu unyama wa yule Dikteta Nyerere!? Daah!

Kikwete...tafadhali kamwombe radhi Rais Mzee Aboud Jumbe, kwa niaba ya Watanzania soote wapenda ukweli;haki na amani!

Ahsanta sana.
Mkuu , gombesugu huwezi fahamu labda siku hii Mkuu wetu wa Kaya alifanya kile unachokidai hapa!.
ki2.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongea na watoto waliokutana nao kwenye pantoni ya MV Magogoni walipokuwa wakitoka Mji Mwema, Kigamboni, jijini Dar es salaam leo April 7, 2013 walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi

kig2.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakishuka kutoka kwenye pantoni ya MV Magogoni walipokuwa wakitoka Mji Mwema, Kigamboni, jijini Dar es salaam leo April 7, 2013 walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi. PICHA NA IKULU
--------------------------------------------------------------------

By the way, kwa nini Rais Kikwete achukue jukumu la Mwl. Nyerere la kwenda kuomba msamaha wakati hata Mwl. Nyerere alikuwa anatekeleza yale yaliyochochewa na kuamuliwa na Maalim Seif Sharif Hamad!. Kwa nini asianze kwanza Maalim Seif Hamad?.
 
- Tundu Lissu si amezaa mtoto na mbunge wa viti maaalum wa Chadema na kumuwachilia mbali sasa kweli anaweza kumtupia mawe Baba wa Taifa kuwa ni mnafiki kuliko yeye? jamani chonde chonde na hiyo Rasimu yenu na UKAWA yaani katiba mpya ndio mtukane hata muasisi wa Taifa kisa UKAWA tu? DUH

Le Mutuz System
Sidhani Kama Haya ya Mtoto wa Nje yana Uhusiano na Kero za Muungano
 
Wewe unadai aina ya Muungano wa Abeid Amani Karume na Mwl. Nyerere wakati wenzako wanakuambia, kisheria hakukuwa na Muungano!.

Hujasikia watu bungeni wanahoji cheti halisi cha Muungano?.

Mkuu,

Nakusoma kwa makini mno, na nakubaliana na takriban bayana/posts zako zoote hapa!

Pole saana kwa adha na dhiki upatayo kwa kuwaelimisha hawa jamaa zetu walioishi kwa myth za yule Nyerere!? Daah!

Na hii ndo mojawapo ya legacy zake nyingi alizotwachia ndani ya Taifa hilo...yaani Nyerere ameacha mamilioni ya Watanzania wenye kuishi kama Zombies/misukule...yaani ni binadamu waliokaririshwa/walioaminishwa tu bila ua uwezo/fikra zao binafsi!

Hii aina ya indoctrination...ndo ilokua priority kubwa katika kipindi cha ule uongozi/utawala wake yule Nyerere! Daah!

Ahsanta.
 
Dada yangu Kigezo/vigezo ambavyo Nyerere aliviweka ni kuwa ukitaka kutilia qn mark muungano ni uwe na hoja zenye mashiko vinginevyo wewe ni mhaini tu.

kwa mfano ukiwa na ulevi au tamaa ya madaraka na ukaona muungano ni kikwazo kutimiza malego yako haya bac wewe ni mhaini.

Ukitumiwa na watu kutoka nje kutaka kuuvunja muungano kwa faida yako na wanaokutumia wewe ni mhaini.

Mkikaa kikao na watu wazima wenzako mkakubaliana mambo fulani fulani kuhusu muungano na ukitoka hapo ukawageuka wenzako wewe ni mhaini.

Ukifanya mambo ya muungano kwa siri siri bila uwazi kwa wenzako, hata kama nia yako ni njema juu ya muungano bac wewe ni mhaini. nk, nk, nk.

Sasa ilikuwa ni juu ya lissu na wewe unaye mshadadia mtueleze na kutuhakikishia kuwa hao waliokutana na dhahama hizo hawa kufanya mambo kama hayo au yanayo fanana na hayo? Na baada ya hapo ndio mtuhumu Nyerere kwa uongo.

Vinginevyo lissu kakosea sana na nafasi atakoyopewa kesho aitumie kuwaomba radhi Watanganyika.

Na asipofanya hivyo kauli yake hii dhidi ya Nyerere itamwandama katika maisha yake yote kama mwanasiasa mark my words.

Ukitaka kuhakikisha hilo subiri uone hii kauli yake kwa kuanzia, itakavyo tumiwa kumuandama na pro ccm katika hili bmk.

Wala usipate shida, hii ni dunia ya uwazi na ukweli, jifunze:

[video=youtube_share;N-L8PAO-4Xw]http://youtu.be/N-L8PAO-4Xw[/video]
 
Hatuwezi kuendelea kutukuza jina la mtu aliekua mrongo,mnafiki na fitna khasa kwenye barabara zetu au majengo ya Serikali!

Huu ni wakti muafaka wa Serikali kuamua kuweka wazi Archives za Ikulu/declassification of some materials...ili Wananchi wajionee ukweli takriban woote kukhusu unyama wa yule mnafiki,mzandiki,haramia Nyerere!? Daah!

Kuendelea kutukuza majina ya Wanasiasa/Viongozi wa sampuli ya Nyerere ni kebehi na matusi makubwa mno kwa Wananchi/Watanzania..ambao waliishi kwa mateso makubwa,dhuluma,vitisho na nidhamu ya woga...chini ya utawala wa kimabavu wa yule haramia Nyerere!? Yaani inasikitisha!

Ahsanta.

Watu wamesahau kuwa Nyerere kabla ya kung'atuka aliichoma moto wizara ya mambo ya ndani. Nauliza kwanini?

Nani aliyeweza thubutu hata kuuliza hilo? wacha hilo:

BOT ilichomwa moto kabla ya kung'atuka Nyerere. Nauliza kwanini?

Tazama mapovu sasa!
 
Mkuu , gombesugu huwezi fahamu labda siku hii Mkuu wetu wa Kaya alifanya kile unachokidai hapa!.
ki2.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiongea na watoto waliokutana nao kwenye pantoni ya MV Magogoni walipokuwa wakitoka Mji Mwema, Kigamboni, jijini Dar es salaam leo April 7, 2013 walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi

kig2.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakishuka kutoka kwenye pantoni ya MV Magogoni walipokuwa wakitoka Mji Mwema, Kigamboni, jijini Dar es salaam leo April 7, 2013 walikomtembelea Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi. PICHA NA IKULU
--------------------------------------------------------------------

By the way, kwa nini Rais Kikwete achukue jukumu la Mwl. Nyerere la kwenda kuomba msamaha wakati hata Mwl. Nyerere alikuwa anatekeleza yale yaliyochochewa na kuamuliwa na Maalim Seif Sharif Hamad!. Kwa nini asianze kwanza Maalim Seif Hamad?.

Duuh! Teeeh! Teeeh! Teeh!

Mkuu nimekusoma na umenivunja mbavu mno! Daah!

Hayo kukhusu Maalim Seif Hamad wa CUF...mie binafsi mbona nilishayasema kitambo kingi humu na kwingineko...japo bakhti mbaya nikaishiwa kufanziwa kebehi na ndugu zangu wa CUF/wafia Maalim Seif!

Nafikiri unakumbuka hapa palikua na ile thread ya kitambo kingi kukhusu Rais Mzee Aboud Jumbe...nafikiri ilianzishwa na Mkuu The Game Theory!?...mie pia nalichangia mle na pia nalizungumzia baadhi ya masuala kukhusu yeye Maalim Seif na ule uchafuzi wa kisiasa aloufanza visiwani mle,wakti ule dhidi ya Rais Aboud Jumbe kwa niaba ya yule mnafiki,mrongo,mzandiki haramia Nyerere! Daah!

Kwa kifupi,nashauri kwasasa tujikite kwenye mada husika...yaani unafiki,uzandiki na urongo wa Nyerere kwenye masuala ya muundo wa Muungano...kama tulivyofahamishwa na Mbunge wa Chadema Muheshimiwa Tundu Lissu!? Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Shukran na Ahsanta sana.
 
Mbona mimi nilisikiliza hotuba ya Tundu Lissu hayo maneno kwenye bold sikuyasikia au we runinga yako inasikikaje au ina fasiri kabisa, halafu mbona unanukuu kana kwamba runinga unayo mwenyewe humu jf, acha upotoshaji basi, au TBC walipokata akaendelea akatamka hivyo?
Mkuu, wala sijapotosha na sina haja ya kufanya hivyo.

Nimeweka video hapo juu hebu jaribu kuipitia tena na ujenge hoja katika mzizi wa hoja zake nne kwa kuzichambua moja baada ya nyingine katika msingi wake kama alivyokuwa anazichambua yeye mwenyewe. Baadaye unaweza kurudi kwa majadiliano zaidi.
 
Watu wamesahau kuwa Nyerere kabla ya kung'atuka aliichoma moto wizara ya mambo ya ndani. Nauliza kwanini?

Nani aliyeweza thubutu hata kuuliza hilo? wacha hilo:

BOT ilichomwa moto kabla ya kung'atuka Nyerere. Nauliza kwanini?

Tazama mapovu sasa!

Nakusoma Mkuu FaizaFoxy!

Hawa wafia Unyerere,weye nenda nao kiduchu kiduchu wataanza kukufahamu Darsa zako...si unaona wameanza kufahamu hata wale wabunge ambao ndo role model wao kama Tundu/Tobo Lissu!?

Sasa hawa vilaza aka "wasomi" wa Chadema takriban woote, wanakimbia hawa jamvini na kushindwa hata kuleta hoja zenye mantik au kumpa support Mbunge wa kama wafanzavyo siku zote!? Daah!

Ati sasa wamebaki kumchafua na kumkebehi ndugu yetu Bwana mleta hii mada/thread!? Daah!

Au haya maneno/hoja za huyu Mbunge wa Chadema Tundu Lissu dhidi ya yule Julius Nyerere aka "Baba wa Taifa"...ni muendelezo tu wa zile mbinu chafu za yule fisadi Edwin Mtei dhidi ya uhasama wao binafsi wa myaka mingi na yule Nyerere!?

Yaani hapo yule Tundu/Tobo Lissu na vilaza/misukule wenzie woote ndani ya Chadema, wanatumika tu kwa maslahi na sera binafsi za Edwin Mtei na washirika wenzie au wafadhili wake wa nje!? Duuh!

Yaani hali hii ya kisiasa inasikitisha mno...khalaf cha kustaajabisha zaidi ati unakuta bado pia wana vilaza ati wana uthubutu wa kungia haoa jamvini na kumtetea yule mnafiki,haramia,mrongo Dikteta Nyerere,kweli jamani!? Duuh!

Ahsanta.
 
Nawaomba wanaJf hapa janvini tujaribu kujiepusha mada kali za imani za dini ili tuepuke kukwaza wanaJf wengine.

Tujaribu kuchangia kwa mtazamo wa siasa zaidi badala ya jaziba za kidini.
 
Nakubaliana na wewe lakini kumbuka tusinglikuwapo hapa hii leo na kuzungumza kuhusu mungano kama si Nyerere,Haya matatizo mungano hayakuanza leo wala jana ni matatizo ya mda mrefu.

mimi binafsi najiuiliza masuala haya:

kwanini Nyerere asiyatatue haya mambo alipokuwa hai,kwanini akayaacha mpaka yamefikia hivi,je alikuwa na nia gani katika mungano huu.

kwanini Karume na mawaziri wa baraza la mapinduzi kwa wakati huo hawakusaini maridhiano ya mungano lakini Nyerere aliunga'ng'ania tu mungano huu mpaka kufikia kuidanganya UN.

Uongo si kitu kizuri,mtu muongo hawezi kuheshimika,dini zinasema hivyo,tamaduni zinasema hivyo,wazee wametufundisha hivyo

Tupo pamoja rafiki hata mimi naamini kakosea vingi; ndipo sasa na uliza should we then seat down crying like babes to wait until it dawns? Should we not therefore rise and set a good course for our destiny as a country?

Nyerere is a history if we allow him to be our destiny we are doomed; blessed are we if we are to regain our conscious and do the proper and not the popular ways to reach our destiny!
 
Hivi ni kipi kigeni katika hayo makelele ya Lissu, huyu bwana siasa azimfai inapasa arudi kwenye taaluma yake na kusaidia jamii kwa namna zingine. Huku kwenye siasa anakuwa mpayukaji tu no wonder Msando akambwaga, ni yaleyale ambayo outcome inajulikana ila kelele tu.

Nilitegemea Lissu kaja na madai ya kisheria akifafanua mambo ya muungano kisheria tulikosea wapi, kumbe zilezile hadithi za gavana sijui nani wa UN alitaka kuona hati asajili nchi, sasa ikawaje tukatambulika au mpaka leo bado hatuna kiti ndani ya UN.

Inaonekana wengi wetu hatupitii jukwa la GT ata kusoma maoni ya wengine ingawa watoa hoja mule nao are becoming too repetitive with their arguments, hakuna kipya lissu alichokisema ambacho jamaa kule hawajakigusia ila tu kajiabisha kwa kutotoa hoja kimantiki za sheria au ndio tusubiri kesho, shame on him kwa kumuita JKN muongo.
 
Kwa ajuaye maana ya kizuizi aiweke wazi kwa faida ya wote....kisha tujiulize je JUMBE yupo kizuizini? Ama ni propaganda mfu!!!!
Tuwaulize majirani kama JUMBE yupo kizuizini....nakumbuka KAUNDA aliwekwa kizuizini (house arrest) na CHILUBA...ni NYERERE huyuhuyu tunayenzonga ndiye aliyeenda kukomesha na kumtoa....
Twaweza jikuta tunajadili hoja mfu kwa sababu tu mleta hoja anaaminiwa na kundi la watu
 
Nawaomba wanaJf hapa janvini tujaribu kujiepusha mada kali za imani za dini ili tuepuke kukwaza wanaJf wengine.

Tujaribu kuchangia kwa mtazamo wa siasa zaidi badala ya jaziba za kidini.

Mkuu,

Nakuheshimu...jiepushe na hao wanapropaganda wachovu wa maisha na fikra!

Najua yakua siku hizi pana trendy ya kuwatisha Waislam humu-JF ya kwamba wasichangie au kujadili masuala ya yule Nyerere!? Daah!

Na ikitokea mtu yeyote khasa Muislam kwenda kinyume na mitazamo/fikra za hao wafia Unyerere...basi atachafuliwa na kuitwa mdini au ati ana chuki binafsi!? Daah!

Kwa kifupi,hao vilaza wanashindwa kufahamu yakua kila Mtanzania ana haki yoyote ile ya kumjadili yule Nyerere...maana utawala au hata legacy ya yule Nyerere imeacha "donda ndugu" kwenye mioyo ya Watanzania woote bila ya kujali imani zao za kidini au matabaka yao!¿

Kama pana vilaza labda wanakhis yakua labda Wakristo/magalatia peke yao ndo wanatakiwa/wana haki ya kujadili au kuhoji ule utawala mbovu na wa kimabavu wa yule Nyerere...basi tunawaomba wachukue mada/mjadala huu na wakajadili huko Makanisani na Makasisi wao!? Ebo!

Tusianze kuletea siasa za kutishana hapa...nani alieleta udini hapa jamvini au hata kuonyesha minor elements za udini!?

Hivi Mkuu,weye binafsi si unafahamu yakua hii thread yako imedumu mpaka sasa na hata hakuna yeyote aliekushutumu "udini"...kwa sababu vilaza wengi wana-assume yakua labda weye ni Mkristo fulani...na labda ndo unaruhusiwa/unapewa haki ya kumjadili yule Nyerere!? Daah!

Kama ingalikua ni thread ya Mtanzania mwangine,ambae labda wangelikhis si imani moja na yule Nyerere...basi ungeshuhudia mihemuko ya kidini,matusi na kashfa kwa mleta mada!

Kwa kifupi...Watanzania inalazim mpunguze udini na siasa za kuchafuana!

Mie binafsi Mkuu...naendelea kufuatilia huu mnakasha kwa karibu mno...japo kwa sasa inanilazim tukwachieni labda watu mlio na imani moja na yule Julius,labda ndo mnafahamiana zaidi kihoja,sio!? Daah!

Ahsanta.
 
Hivi ni kipi kigeni katika hayo makelele ya Lissu, huyu bwana siasa azimfai inapasa arudi kwenye taaluma yake na kusaidia jamii kwa namna zingine. Huku kwenye siasa anakuwa mpayukaji tu no wonder Msando akambwaga, ni yaleyale ambayo outcome inajulikana ila kelele tu.

Nilitegemea Lissu kaja na madai ya kisheria akifafanua mambo ya muungano kisheria tulikosea wapi, kumbe zilezile hadithi za gavana sijui nani wa UN alitaka kuona hati asajili nchi, sasa ikawaje tukatambulika au mpaka leo bado hatuna kiti ndani ya UN.

Inaonekana wengi wetu hatupitii jukwa la GT ata kusoma maoni ya wengine ingawa watoa hoja mule nao are becoming too repetitive with their arguments, hakuna kipya lissu alichokisema ambacho jamaa kule hawajakigusia ila tu kajiabisha kwa kutotoa hoja kimantiki za sheria au ndio tusubiri kesho, shame on him kwa kumuita JKN muongo.

Kigeni hapo ni labda...yakua hayo maneno yamesemwa hadharani na huyo Mbunge "muadilifu" wa "sera za Chadema"!?
 
Mwanasheria Mkuu Wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Othman Masoud Othman, ambae yupo kwenye bunge maalum Dodoma, alisema kujificha kwa Tanganyika kwenye Serikali ya Muungano, ni fitna kubwa inayoudhoofisha Muungano.

"Uruhani wa Tanganyika ndiyo fitna kubwa ya Muungano, Mzee Jumbe (Aboud Jumbe Mwinyi, Rais wa Pili wa Zanzibar) alitaka kuja na hirizi ya huyu ruhani akamchukue na akamzike."

"Kwa bahati mbaya alidhalilishwa mbele za watu kwa kuambiwa eti hajui hesabu moja na moja anasema tatu. Hivi kweli Mzee Jumbe msomi mzima hajui hesabu? Huu uruhani wa Tanganyika ndiyo fitna kubwa ya Muungano, ipo haipo. Lakini akipanda kichwani anasema nipo, sasa inataka kutumia jina letu la pamoja."

Othman alikumbusha mkasa uliomtokezea Mzee Jumbe ambaye mwaka 1984, akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, aliandaa waraka wa mapendekezo kwa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kutaka mfumo wa serikali tatu kwa kutokana na kile alichoamini kuwa "moja na moja ni tatu." Alimaanisha serikali ya Zanzibar iliyopo wazi, serikali ya Muungano iliyopo wazi na serikali ya Tanganyika iliyojificha.

Soma zaidi: FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI

Waraka huo ulinaswa na mashushushu waliokuwa Ikulu ya Zanzibar kabla hajaondoka kwenda mkutanoni Dodoma, na hatimaye akalazimishwa na Mwalimu Julius Nyerere kujiuzulu.
 
Ukisema Nyerere kakosea Kumbuka kusema Karume ameharibu kwa kuwa naye ni muhusika mkuu katika muungano

Mkuu,

Sasa hayo ulitakiwa ukamfahamishe yule Mbunge wa Chadema Tundu Lissu!?

Sisi hapa tunajaribu tu kudadavua baadhi ya hoja/maneno ya huyo Mbunge dhidi ya Baba wa Taifa!?

Kwani unafikiri yule Lissu hamjui/hajui khabar za Karume na ile influence yake kiduchu mno kwenye ule muundo/makubaliano ya Muungano!?

Tartib tu Mkuu...iko siku Wananchi/Watanzania walio wengi italazim waambie ukweli au watausaka wenyewe,hapo sasa!? Daah!

Ahsanta.
 
Back
Top Bottom