masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Mkuu sitaki kupinga au kukubaliana na hoja yako mimi ninakusudia hapo kwenye Red
sijui amani hiyo ni kwa kina nani? Maana mimi natembea na Mkongojo kwani nimewekewa
chuma kwenye mguu wangu baada ya vipigo vya polisi, si hivyo tu kuna ndugu yangu ambaye
alikuwa mjamzito pale Mtwara mjini alipigwa risasi na polisi na akapoteza maisha sijui ni
amani gani unaizungumzia?
Mbona povu linawatoka yy kachukia na ameamua kutoka hajawambia nyie mtoke nn kinawauma acheni ushamba mafalasi nyieee
Lisu ni mropokaji. Wala hafikirii mambo ayasemayo, ni mpuuzi tu. Mimi sina chama Ila alichoongea kimemshushia heshma yake na chama chake.
Mwekeni kundi la Amfibia pengine huko atafiti Lisu anapotosha kila siku anakipotosha na chadema kumbuka sakata la zito alivyowapotosha eti zitto akiondoka chama kitakua mara dufu sasa kinakufa kifo cha mende.Katika wanasiasa ambao wametokea kuwa wa ajabu tanzania Lisu naye ni mmoja wapo,Lisu amekuwa mpotoshaji mkubwa,muongo,mzushi,mchochezi na mnafiki.
Hivi karibuni amekuja na jambo jipya la kutukana na kukejeli viongozi wote wa kitaifa bila kujali michango yao waliyoitoa katika jamii.
Lisu kwa mda mrefu amekuwa kinala wa kutengeneza majungu ndani ya chadema kuwafitinisha wenzake kwa mbowe ili yeye apande chart ndani ya chadema rejea alivyopika majungu kumchongea zitto,kitil na mwigamba ili tu waonekane hawafai.
kwa tabia hii ya lisu tumweke kundi gani ili aweze kuwa kwenye hilo kundi na jamii ijue kuwa sasa yupo kwenye hilo kundi kwakuwa kwenye kundi la wabunge kamwe hastahili tena.
Katika wanasiasa ambao wametokea kuwa wa ajabu tanzania Lisu naye ni mmoja wapo,Lisu amekuwa mpotoshaji mkubwa,muongo,mzushi,mchochezi na mnafiki.
Hivi karibuni amekuja na jambo jipya la kutukana na kukejeli viongozi wote wa kitaifa bila kujali michango yao waliyoitoa katika jamii.
Lisu kwa mda mrefu amekuwa kinala wa kutengeneza majungu ndani ya chadema kuwafitinisha wenzake kwa mbowe ili yeye apande chart ndani ya chadema rejea alivyopika majungu kumchongea zitto,kitil na mwigamba ili tu waonekane hawafai.
kwa tabia hii ya lisu tumweke kundi gani ili aweze kuwa kwenye hilo kundi na jamii ijue kuwa sasa yupo kwenye hilo kundi kwakuwa kwenye kundi la wabunge kamwe hastahili tena.
Kweli mkuu Lisu anaamini kuwa yeye anajua kila kitu hali ambayo imefanya kuwabeza wenzake wote ndiyo maana hata ripoti ya wachache alikatalia aandike zote yeye kana kwamba wengine hawana uwezo kabisa.kama ilivyo kwa mbowe, lisu pia ni moja ya watu ambao wanatoa mchango mkubwa katika kuiangamiza chadema. Wakati mwngne huwa ana hoja nzuri lakn huwa anazipresent kwa kukurupuka na jazba nyingi akidhani yeye anaelewa kuliko wengne wote!
Kwakuwa familia yenu ndivyo mlivyo usidhani kila mtu anapenda hayo mambo sijui kwa sasa wewe uko kwa nani nakumbuka ulikuwa na mbunge mmoja ya arusha amekuacha?hata 'mashoga' huwa wanaanza kama hivi. Ujue mtu ukishakuwa na some frequencies of 'mbebez' genes ni kazi sana!!..