BIDYABALAVYE
Senior Member
- Aug 3, 2013
- 100
- 14
Song of lawino and okol-by okoth p'bitek
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe una element za ujinga kumukichwa.
nikwambie, katika vitu alivyokosea nyerere ni pamoja na muungano wa tanganyika na zanzibar, sisi tulio na akili hatuwezi kuendelea kuishi kwenye makosa ya juliasi, mbona azimio lake la arusha hamlipiganii mnang'ang'ania limuungano tu!!!!!!!!! au kwa kuwa limuungano linahusu uongo uliovuka mipaka mpaka UNO come UN.
Hamuyapiganii mashirika aliyoyaanzisha juliasi sijui mmekumbwa na wazimu gani kutuzingua kwenye limuungano.
TAFADHALI TENA TAFADHALINI SANA MSITUAMBUKIZE UJINGA.
Tundu Lissu, kwenye ili la kumponda Nyerere, pro-Chadema wapo kimya masikini.
Katika hoja yako hii. Je, unakubaliana na Mh. Tundu Lissu anaposema Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu.
Vip mkuu ni nini kinakuchanganya?Ndiyo unapotosha tena unajaribu kumingo akili za watu wamuone lisu mtukutu,
-hukusikiliza wala kuisoma hotuba ya Lisu peke yako,
Jitafakali kwa kutumia hekima sisi sio wapuuzi wakukubaliana na propaganda zako kupindisha maneno nakuchomekea neno Nyerere pasipostahili ilikukidhi malengo yako.
acha kupotosha ukweli wewe aliposema kuwa kuna uwongo na udanganyifu alikuwa anamaanisha wana ccm wa hivi leo kama akina HARRISON MWAKYEMBE alipotamka wazi huko nyuma mwaka 1995 katika kitabu chake cha kupatia hiyo Phd aliyonayo huko ujerumani kuwa muungano pekee ambao utaleta usawa zanzibar na bara ni wa serikali tatu tu leo kapewa cheo kageuka
Acha kutusemea watanzania na akili zao mfu hizo, Nyerere mwenyewe alikili kwa kinywa chake kuwa kuna mambo mengi tu ya kijinga yalifanywa katika utawala wake sasa wewe unamuona kama mungu wa watanzania wote ?Lissu omba radhi. Kumtukana Nyerere ni kuwatukana watanzania
Ukisema dunia nzima utakuwa haujaitendea haki hoja yako.
Nadhani kwa kiwango kikubwa, historia inaonyesha muungano wa nchi mbali mbali zamani ulikuwa mara nyingi wa kisiasa, na siasa mara nyingi zilikuwa zinaendana na nguvu na ubabe.
Kwa sasa imebadilika kwa vile nchi nyingi zinaungana kwa sababu ya kiuchumi ambapo maridhiano yanakuwa ndiyo kiunganishi cha muungano.
mi naona Ni vizur kila mtu ajibebe mzigo wake,,,, hawa wa Zanzibar so watu wazuri kabisa wala,,, he mnamfahamu john okello,, mganda aliyepigania mapinduzi ya Zanzibar,,, yeye ndiye chanzo had Zanzibar walisucceed revolution but after revolution,,,,,,,,
Nilisikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu. Inajulikana na umma wa Watanzania, kwamba mimi binafsi, kama Waziri wa Fedha, nilitofautiana na Mwalimu, nikajiuzulu Uwaziri Decemba,1979, nikimwomba ateuwe Mtanzania mwingine atakayeshauri mambo ya Uchumi na Fedha. Lakini tuliendelea kuwasiliana kwa maelewano bila chuki, na hata aliniteuwa niwe Mwakilishi wa Tanzania na Afrika inayoongea Kiingereza katika IMF (Shirika la Fedha Duniani) chini ya miaka mitatu baadaye Novemba, 1972. Nimekuwa na mawasiliano na maelewano mazuri sana na Mwalimu hata baada ya kuasisi CHADEMA, Julai 1992 na tulipokamilisha Katiba na Sera za Chadema, nilimtembelea Nyumbani kwake Butiama nikampa azisome ajionee jinsi tulivyonuia kuwahudumia Wananchi wetu. Hata siku moja siwezi kumtusi Muasisi wa Taifa letu. Iwe ni mwiko pia kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kumtusi Baba wa Taifa.
Ningewashauri uongozi wa Chadema na hasa Vijana wa M4C (Vuguvugu la Mabadiliko) tuendelee na uhamasishaji : kwa umakini, tukiwa na huruma kwa wanyonge maskini wa kutupwa, tukijiandaa kwa umakini na kiutaalamu Sera na Mikakati ya kuwakomboa toka katika umaskini wa kutupwa kwa kutumia nguvu ya umma (Peoples Power) tukitumia mikakati sahihi: kwani Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke: Mikakati na Sera sahihi ikiwa ni kutumia misingi ya Uchumi na Miundombinu tulionayo licha ya uhalisia dhoofu tulioridhi; tukiwaenzi walioijenga na kuturidhisha kwa unyofu wao. Roho ya Julius Nyerere ilale mahala pema Peponi. Amen!
With all due respect to Hon. Tindu Lissu, this smacks BAD TASTE.
Edwin Mtei
Founder Chairman of CHADEMA.
Mkuu sitaki kupinga au kukubaliana na hoja yako mimi ninakusudia hapo kwenye RedSikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti. Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea. KAzi njema.
Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti. Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea. KAzi njema.