Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tueleze kwanza wewe uu katika kundi gani ili tujue kama unastahili hata kusogea alipo Lissu.
Bavicha bana,Lisu anaipotosha na kuichafua chadema Lakini bavicha hawalioni hilo kila kitu wanachekelea ngoja mtayaona matokeo yake.
 
Kwakuwa familia yenu ndivyo mlivyo usidhani kila mtu anapenda hayo mambo sijui kwa sasa wewe uko kwa nani nakumbuka ulikuwa na mbunge mmoja ya arusha amekuacha?

si unaona sasa!..kumbe ushakuwa 'shemale mbebez'. Huna genes za kiume wewe!..mwanaume halisi huwa hana mipasho!!
 
Bavicha bana,Lisu anaipotosha na kuichafua chadema Lakini bavicha hawalioni hilo kila kitu wanachekelea ngoja mtayaona matokeo yake.

walishanyweshwa viroba vya lema wakalewa, ni wazee wa "ndiyo mzee"
 

Mweke ktk kundi la mmoja wa baba zenu, kama sio wewe basi wadogo zako.
 
Lisu ni sawa na ikulu yote. Ikulu hawajaalala tangu LIsu azungumze. CCM wote Ushuzi tu unawatoka. LIsu ni jeshi la amtu mmoja.
 
Lissu tumweke kundi la watu wenye siasa kali sana kwa wenzetu wanaita Right wing Extremist!
 
Magamba wame zoea na wamelemaa kuwa fikra za mwenyekiti zidumu hata kama ni mbovu,so nyerere mwenyewe alisema katika utawala wake kuna ya maana na yakijinga,so yale ya kijinga ukawa lazima wayaseme
 
Kauli za lisu zitarudi kuwang'ata cdm kwenye kampeni
 
Lissu ni Disappointment! Na amejitengenezea mazingira ya kutokushauriwa. Hivyo kama Bulldozer huyooo akiharibu mambo. Nimemtafakari sana napata majibu mengi sana juu yake. Na kama anategemewa kwa ushauri basi hata wenyewe hawajui wanachokifanya.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Toka wewe sisi tuingie .hakika kuna mamburukenge wengi tanzania
 
Na ulijiondoa CCM kwa kosa la nani?

Na usiporudi CCM unaenda wapi?

Ohh jamani where is our BRAIN?
 
Lisu ni mbunge wa nusu karne amekifanya kile ambacho watangulizi wake walishindwa kukifanya kwa kipindi cha miaka 50.Kwa mara ya kwanza na kwa watanzania tuliowengi Lisu ametufanya kuiona hati ya muungano baada ya kutolewa na serekali ya CCM iliko kuwa imefutikwa wakati ilikuwa ni mwiko kuonyesha hati ya mkataba hadharani mwiko ambao kwa mara ya kwanza Lisu amefanikiwa kuuvunja.
 
Kweli nilisikia jana kiboko yao mmoja akisema hatuwezi kuingia kwenye serikali tatu kwani ni garama alafu na mikopo ipo kwa masharti ambayo sisi wengine hatuyawezi, ahaa ok kwa hiyo naanza kukubaliana na mwigulu.
Kwakuwa familia yenu ndivyo mlivyo usidhani kila mtu anapenda hayo mambo sijui kwa sasa wewe uko kwa nani nakumbuka ulikuwa na mbunge mmoja ya arusha amekuacha?
 
Lisu kawa mwanasiasa mwenye nidhamu na kutokurupuka kwenye kazi zake zaidi ya kuongea kwa kuruka ruka na kejeli kwa wengine.
 
si unaona sasa!..kumbe ushakuwa 'shemale mbebez'. Huna genes za kiume wewe!..mwanaume halisi huwa hana mipasho!!
Nani kakwambia kuwa mimi mwanaume unakurupuka bila kujua hata unachojadili kwenye kinywa chako.
 

hapo kwenye red umenigusa sana, na hii inatokana na kujifanya kujua zaidi kuliko wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…