Katika wanasiasa ambao wametokea kuwa wa ajabu tanzania Lisu naye ni mmoja wapo,Lisu amekuwa mpotoshaji mkubwa,muongo,mzushi,mchochezi na mnafiki.
Hivi karibuni amekuja na jambo jipya la kutukana na kukejeli viongozi wote wa kitaifa bila kujali michango yao waliyoitoa katika jamii.
Lisu kwa mda mrefu amekuwa kinala wa kutengeneza majungu ndani ya chadema kuwafitinisha wenzake kwa mbowe ili yeye apande chart ndani ya chadema rejea alivyopika majungu kumchongea zitto,kitil na mwigamba ili tu waonekane hawafai.
kwa tabia hii ya lisu tumweke kundi gani ili aweze kuwa kwenye hilo kundi na jamii ijue kuwa sasa yupo kwenye hilo kundi kwakuwa kwenye kundi la wabunge kamwe hastahili tena.