Lucas Ndyamkama
New Member
- Mar 25, 2014
- 2
- 1
Lissu omba radhi. Kumtukana Nyerere ni kuwatukana watanzania
Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti.
Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea.
KAzi njema.
----------------------------
Maelezo kutoka kwa Mzee Edwin Mtei
China kuna mfumo wa vyama vingi?Nadhani Communist Party bado kimeshika hatamu ya nchi,China kuna uhuru wa vyombo vya habari na kutoa Maori yako kwa uhuru,mfumo aliouacha Mao ndo mfumo huo huo unaondelezwa China hadi leo na hivyo si rahisi mtu kumkosoa Mao ndani ya china akawa salama ilhali Mao ndo mwasisi wa mfumo huo.
Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti.
Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea.
KAzi njema.
----------------------------
Maelezo kutoka kwa Mzee Edwin Mtei
Wana JF,
Kama wewe ni Mkristo ukamwona mtu anamtukana Bwana Yesu tena adharani utamwita nani? au wewe ni mwislam akajitokeza mtu kumtukana na bii Muhmad utamwita je? Bila shaka utamwita " KICHAA " atua ya Lissu kumtukana Nyerere ilituakikishia kuwa hamwamini mwalimu kama Mkombozi wa taifa wala hakufaa katika nchi ya TZ. Lissu ni kichaa aliye kufuru mzalendo na mkombozi wa inchi. Cha hajabu wakati Mtei akijaribu kumshauri ametoa maneno ya utofu wa nidhamu kwake. Ivi huyu kichaa tumfanye je? naskitika maana matunda ya serikali 3 mwaka 2015 hatokula matunda yake. Uchaguzi ujao hatuwezi kumtuma kichaa kuwa mtetezi wetu.
Nawakilisha wana jamvi.