Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu amejenga hoja lakini ni Kwanini katika ujengaji hoja wake unaangazia tu upande mmoja tu wa mabaya aliyoyafanya Mwalimu, Watanzania Mimi naamini Mwalimu kama binadamu wengine alikosea mambo kadha wa kadha. Lakini vile vile amefanya mazuri mengi sana ambao hata Tundu leo hii anafurahia matunda yake. Kumuita Mwalimu ni muhuni na muongo nikuishiwa hoja na kukosa busara.
 
nyerere alishasema tusubiri afee ili yale mambo aliyofanya ya kutuchangaya yatuangukie sisi wakati yeye hayupo. Kwahiyo kazi kwetu wananchi hongera lissu kwa kuwajulisha wahafidhina wanaomuona nyerere mungu wao.
 
Nakubaliana na Nyerere aliposema angekuwa na uwezo angekifutilia mbali zanzibar izame majini
 
Ulijiunga chadema kwa sababu ulimpenda sana Lissu? Kama ni hivyo, una kasababu kadoogo ka kuondoka cdm.
 
Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti.

Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea.

KAzi njema.

----------------------------

Maelezo kutoka kwa Mzee Edwin Mtei

Safari njema uendako na usirudi tena........eti watanzania wote tumechukizwa!!!!mbona mi mtanzania na sijachukizwa. Sema wewe ndo umechukizwa na usitujumuishe wote...
 
China kuna mfumo wa vyama vingi?Nadhani Communist Party bado kimeshika hatamu ya nchi,China kuna uhuru wa vyombo vya habari na kutoa Maori yako kwa uhuru,mfumo aliouacha Mao ndo mfumo huo huo unaondelezwa China hadi leo na hivyo si rahisi mtu kumkosoa Mao ndani ya china akawa salama ilhali Mao ndo mwasisi wa mfumo huo.

Missed my point entirely, wamekeep mfumo wa chama kimoja kwa sababu hiyo ni Ideology KUU ya Mao. Ukisoma post yangu utaona kuwa wachina walichagua waliyoyaona Mazuri na wakayaacha mabaya.Mfumo wa uchumi aliouacha Mao ni Kinyume na Mfumo wa uchumi uliokuwepo sasa hivi, hapo Deng Xiaoping alipingana na Mao kidiplomasia, kwa kutumia Busara, Hakumtukana.
 
Sikutegemea kwa mtu mzima Kama lisu kumtusi muasisi Wa taifa. Alitakiwa kujenga hoja,na kwa njia ta matusi. Tumesononeka sana sisi watanzania,kauli ya mtusi mwalimu haivumiliki. Ningekuwa mimi ndio mkono Wa dola, ningechukua hatua mathubuti.

Si kila kitu kazima useme, pima tumia hâta busara ya kawaida. Tunamheshimu mwl na bado tunampenda. Amani unayoiona si kwa bahati mbaya. Karibu kujizuia kwa baadhi ya mambo. Huwezi hâta kidogo wewe lisu kujilinganisha na mwl. Linda heshima yako na chama chako. Kila kona wanasema umekosea.

KAzi njema.

----------------------------

Maelezo kutoka kwa Mzee Edwin Mtei

Nilishawahi kusema humu, Tundu Lisu ni Kichaa, aumwa sana utotoni na kichaa huwa hakiponi.
 
dah hawa wanasheria wa hii nchi mi cicemi cha msingi watanzania tuwe wavumilivu na ndugu zangu wa chadema wawe wavumilivu mana mambo mazuri hayataki haraka..................
 
Kwani Nyerere akipambwa na huku taifa la watu walio hai wakiwa wanadhulumiwa haki zao wewe itakusaidia nini.Kumtukuza marehemu na kuwadhihaki wanaoona hatari inayokuja mbele lipi jema.Nyerere hajawahi kuwauliza watanzania ni muundo upi wa muungano wanautaka.
Kwa kauli za wabunge wa CCM wa Zanzibar Muungano upo kwa sababu ya wazanzibar wanaopata madaraka na kuja kupora rasilimali za watanganyika.
Na mufahamu kuwa hawa watoto wetu wanaoanza shule na miaka miwili hawatakubali watoto wa Zainabu Kawawa na Vita kawawa waendelee kuwadhihaki kwamba kuna maendeleo makubwa ya kiuchumi huku wao wakirithishwa madaraka.
 
huna jipya we nenda tu , ulikuwa zaman .Mchumia tumbo ww , hata kadi ya cdm huna
 
Wana JF,
Kama wewe ni Mkristo ukamwona mtu anamtukana Bwana Yesu tena hadharani utamwita nani? au wewe ni mwislam akajitokeza mtu kumtukana nabii Muhmad utamwita je? Bila shaka utamwita " KICHAA " hatua ya Lissu kumtukana Nyerere ilituakikishia kuwa hamwamini mwalimu kama Mkombozi wa taifa wala hakufaa katika nchi ya TZ. Lissu ni kichaa aliye kufuru mzalendo na mkombozi wa inchi. Cha hajabu wakati Mtei akijaribu kumshauri ametoa maneno ya utofu wa nidhamu kwake. Ivi huyu kichaa tumfanye je? naskitika maana matunda ya serikali 3 mwaka 2015 hatokula matunda yake. Uchaguzi ujao hatuwezi kumtuma kichaa kuwa mtetezi wetu.
Nawakilisha wana jamvi.
 
Yani lissu kweli kiboko yenu mtalia sana ila huwezi kuzuia maji kupita kwenye mkondo wake
 
Wana JF,
Kama wewe ni Mkristo ukamwona mtu anamtukana Bwana Yesu tena adharani utamwita nani? au wewe ni mwislam akajitokeza mtu kumtukana na bii Muhmad utamwita je? Bila shaka utamwita " KICHAA " atua ya Lissu kumtukana Nyerere ilituakikishia kuwa hamwamini mwalimu kama Mkombozi wa taifa wala hakufaa katika nchi ya TZ. Lissu ni kichaa aliye kufuru mzalendo na mkombozi wa inchi. Cha hajabu wakati Mtei akijaribu kumshauri ametoa maneno ya utofu wa nidhamu kwake. Ivi huyu kichaa tumfanye je? naskitika maana matunda ya serikali 3 mwaka 2015 hatokula matunda yake. Uchaguzi ujao hatuwezi kumtuma kichaa kuwa mtetezi wetu.
Nawakilisha wana jamvi.

Nadhani wewe unastahili kuwa umelazwa milembe, Ebu orodhesha matusi ya Tundu Lissu hapa tukuamini usemayo, Kwani hatukuaona kinachoendelea? Meli yenu ya Ulaghai imeshazama na kama bado hujavaa vazi la kuogelea na wewe utaangamia ndani ya meli yenu ya CCM.

Waliofuta Azimio la Arusha, waliotuingiza kwenye mikataba ya Kitapeli na kuuza Raslimali za nchi hii kwa wawekezaji uchwara wanamsifia Nyerere siyo? Wanaomtusi Jaji Waryoba na kumwita Msaliti na Mnafiki ndio wanaomsifia Nyerere Sio?

Ni nani atawasaidia kuelewa tulikotoka, tulipo na Tuendako? Ebu tumia akili ndogo tu uweze kuelewa Dunia hii iko wapi? CCM imeishiwa hoja na sera sasa wamebaki kujipachika kwenye matumizi mabaya ya fedha za Umma, matumizi mabaya ya vyombo nyeti vya dola na hiyo JWTZ. Wewe unayeyasema hayo una elimu ya kiwango gani? Au na wewe ni walewale Maprofesa feki wa CCM.....

TAFAKARI
 
Naunga mkono hoja Lisu hatakiwi kua kiongozi. Hana busara wala utashi wa kibibadamu.
 
Back
Top Bottom