Mjomba Mkude
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 287
- 110
Nami nimefuatilia sana sijalipata lakini nimesikia wengi wakisema kuwa ni hili hapa: fuatilia clip hii https://www.youtube.com/watch?v=W2JsPyb683o.
Ukiweza basi iupdate kwa kuiweka page ya kwanza.
Tanzania siku hizi ukweli unaitwa matusi kama kweli mimi na wewe hatujakosea!
https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=W2JsPyb683o#t=219
Sijawahi kuona mtu anaitwa lyimo yuko sawa.
Hivi mtu ukiambiwa uliunda MUUNGANO kiharamu, kwa uongo, kwa kuzoea vya kunyonga haya sio matusi?
Je, ukiambiwa wewe sio Mungu wala Malaika bila ya kuambiwa wewe pia sio Shetani wala Luciferi haujatukanwa?
Ukiambiwa kile kilichosababisha uwepo na uhalali wa MUUNGANO hakipo kabisa hadi UN umesifiwa?
Hata pale unapoonyeshwa kwamba hati ipo bado unadai sahihi za marehemu hawa sizo utajisikiaje?
Utajisikiaje utakapoambiwa umezoea vya kunyonga, umezoea vitu haramu, kwamba MUUNGANO uliouasisi katika mazingira magumu namna ile hauna hati halali hadi UN, kwamba umezoea kuendesha mambo kwa uongo tu,...., na kejeli nyingi za huku mitandaoni unazihamishia Bungeni.mkuu watu wanalalamika tu lakin hawataji tusi pengine ni njia ya kututoa kwenye hoja za lisu
Hivi mtu ukiambiwa uliunda MUUNGANO kiharamu, kwa uongo, kwa kuzoea vya kunyonga haya sio matusi?
Je, ukiambiwa wewe sio Mungu wala Malaika bila ya kuambiwa wewe pia sio Shetani wala Luciferi haujatukanwa?
Ukiambiwa kile kilichosababisha uwepo na uhalali wa MUUNGANO hakipo kabisa hadi UN umesifiwa?
Hata pale unapoonyeshwa kwamba hati ipo bado unadai sahihi za marehemu hawa sizo utajisikiaje?
Haya ndiyo mawazo ya BAWACHA.
Utajisikiaje utakapoambiwa umezoea vya kunyonga, umezoea vitu haramu, kwamba MUUNGANO uliouasisi katika mazingira magumu namna ile hauna hati halali hadi UN, kwamba umezoea kuendesha mambo kwa uongo tu,...., na kejeli nyingi za huku mitandaoni unazihamishia Bungeni.
WaTanzania mmezoea matusi gani?
Mfano wako huu hauendani kabisa na alichokisema mjinga Lisu. Baba anakuwa hajaleta tu zawadi alioahidi. Mtoto mwenye malezi mema hathubutu kumwambia Baba yake mwongo, aliyezoea vya haramu, vya kuchinja haviwezi,...Kutoka kamusi ya Kiswahili hapo hakuna tusi hata moja..sijajua nkuulize hivi Baba akiahidi kukuletea zawadi na asipoleta..ukimwambia baba umenidanganya..utakuw umemtukana..
Mfano wako huu hauendani kabisa na alichokisema mjinga Lisu. Baba anakuwa hajaleta tu zawadi alioahidi. Mtoto mwenye malezi mema hathubutu kumwambia Baba yake mwongo, aliyezoea vya haramu, vya kuchinja haviwezi,...
Mwalimu alikiri mara nyingi tu pale alipokosea kama binadamu tena hadharani. Mwalimu hakuwahi kujitukuza kwa lolote.kusema kwamba Nyerere hakuwa malaika.
ccm wanaamini kuwa nyerere alikuwa malaika
Anayejiona yeye ni msafi hajawahi fanya kosa na awe wa kwanza kumhukumu Mh Lissu. Alichokisema Mh Lissu kuhusu Mwl Nyerere ni kile ambacho wengi hawawezi kukisema,Mwl Nyerere ni mwanadamu km ulivyo wewe hivyo makosa ni jambo la kawaida. ikiwa Mh Lissu alitenda dhambi juu ya udhaifu wa mwl Nyerere basi anahitaji kusamehewa bure, kama wale wanaotukana live pale mjengoni then wanachekewa tu bila kuchukuliwa step yeyote..Liondoe boriti jichoni mwako ndipo utoe kibanzi jichoni kwa mwenzio.
Wadau.,naomba kufahamishwa tusi ambalo Tundu Lissu amemtukana Mwalimu Nyerere,maana nimekuwa nikiskia watu wakilalama na kumlaumu Lissu.
Mod nsomba usiunganishe uzi huu..ili tupate ukweli..
Uongo linakuwa sio tusi kama kilichofanywa, kilichosemwa au kilichotendwa ni uongo kweli. Kipi katika MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar ni uongo? Hati ya Makubaliano ya Muungano haipo kama alivyosema mjinga Tundu Lisu?neno uongo si tusi..
hayo mengine ni misemo ambayo hata kwenye kanga ipo..so hakuna cha ajabu..
mnatafuta huruma ya umma tu hakuna chochote