Mjomba Mkude
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 287
- 110
Nami nimefuatilia sana sijalipata lakini nimesikia wengi wakisema kuwa ni hili hapa: fuatilia clip hii https://www.youtube.com/watch?v=W2JsPyb683o.
Ukiweza basi iupdate kwa kuiweka page ya kwanza.
Tanzania siku hizi ukweli unaitwa matusi kama kweli mimi na wewe hatujakosea!
https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=W2JsPyb683o#t=219
Ukisema ukweli..wanakuita umekosa adabu..umetukana wakubwa..
Hatari sana..