Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
neno uongo si tusi..
hayo mengine ni misemo ambayo hata kwenye kanga ipo..so hakuna cha ajabu..
mnatafuta huruma ya umma tu hakuna chochote
Sasa hilo ni tusi mkuu.??
tundu lisu ni mgonjwa wa akili, tumemsamehe
Tundu Lisu kasema yafuatayo:
-Hati ya Makubaliano haipo hadi UN. Tanganyika iliondolewaje UN? Mjinga Tundu Lisu.
-Kwamba wapo waliozoea vya kunyonga na haramu. Mpasho huu wa kijinga aliuelekeza kwa nani, kwa lipi?
-Kwamba Mwalimu hakuwa Mungu wala Malaika. Sawa kabisa. Hakusema pia kwamba Mwalimu hakuwa Shetani au Luciferi!
-Mtu na akili yako timamu unaambiwa TANZANIA haipo kihalali bado unamshangilia mjinga kama huyu Tundu Lisu?
We unaweza kumwambia mzazi wako, kwamba amezowea vya "Haramu vya halali haviwezi" na pia "amezowea vya kunyonga na vya kuchinja haviwezi", na "Amezowea kuishi kwa uongouongo na hawezi kuishi katika kweli"! We binafsi unaweza kumwambia hivyo Mzazi wako?
- tunawasamehe wenye akili lakini sio wendawazimu kama Tundu Lissu ametukana Mwalimu halafu amemtukana na Mzee Mtei, inaa maana kwao huyu mbunge wenu hakuna wazee wala watuwazima hivi amesoma nini hasa kinachomfanya ajione ana akili sana kuliko Mwalimu na Mtei?
- Chadema mnacheza siasa za self-destructions badala ya kuja kuo,mba radhi mnakuja na hizi? Subiri hii habari kwenye uchaguzi ujao mbona itakuwa super sana!!
Le Mutuz System
Kutoka kamusi ya Kiswahili hapo hakuna tusi hata moja..sijajua nkuulize hivi Baba akiahidi kukuletea zawadi na asipoleta..ukimwambia baba umenidanganya..utakuw umemtukana..
Tundu Lisu kasema yafuatayo:
-Hati ya Makubaliano haipo hadi UN. Tanganyika iliondolewaje UN? Mjinga Tundu Lisu.
-Kwamba wapo waliozoea vya kunyonga na haramu. Mpasho huu wa kijinga aliuelekeza kwa nani, kwa lipi?
-Kwamba Mwalimu hakuwa Mungu wala Malaika. Sawa kabisa. Hakusema pia kwamba Mwalimu hakuwa Shetani au Luciferi!
-Mtu na akili yako timamu unaambiwa TANZANIA haipo kihalali bado unamshangilia mjinga kama huyu Tundu Lisu?
Hii mada nyingine kabisa.CCM ndo imemtukana Nyerere kwakutofuata amri zake.
1. Nyerere alikataa Kikwete kuwa rais wa Tanzania. CCM kwa kujiona wanaakili kuliko Nyerere wakakaidi na kumpa JK urahisi.
2. Nyerere alikataa Lowasa kuwa rais wa Tanzania. Lakini kwa dharau na kiburi cha ccm wanamuandaa Lowasa kuwa rais.
3. Nyerere alikataza wanachama wake wa ccm kukimbilia ikulu. kwasasa kila mtu shahidi, zaidi ya wanaccm 12 kila mmoja kwa wakati wake anajitangaza kwamba ndo next president.
Sasa tujiulize. Kati ya lisu na CCM nani kamtukana Nyerere. BTW lisu kamsifu Nyerere lakini ccm wamempuuza Nyerere. Sasa je aliemsifia Nyerere na aliempuuza yupi kamtukana Nyerere?
Haya ndiyo mawazo ya BAWACHA.
Mjinga ni mimi nachelea tu kumwita Tundu Lisu ni zaidi ya mjinga. Amekuwa kwenye Bunge na NCHI haramu kwa miaka yote hii!Wewe na Tundu Lissu nani mjinga??
Kwa nini Ahdul Jumbe u Mjimwema ?
Ni hiyo hati ya makubaliano kutoridhiwa na Baraza la mapinduzi kulingana na matakwa ya makubaliano yenyewe, kilikuwa kinakwepwa kitu gani? Na hilo limethibitishwa na wengi akiwemo Jumbe aliyekuwa mjumbe wa baraza hilo 1964-1984. Kama ulivyoandika mwenyewe, kwa kuwa alichosema Lisu ni ukweli, dhana ya matusi haipo.Uongo linakuwa sio tusi kama kilichofanywa, kilichosemwa au kilichotendwa ni uongo kweli. Kipi katika MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar ni uongo? Hati ya Makubaliano ya Muungano haipo kama alivyosema mjinga Tundu Lisu?
Unaikumbuka approach ya JJ Mnyika kwenye suala hili? Ulimsikiliza Evod Mmanda kwenye suala hili?
- Mwalimu alikuwa na tabia ya kuishi kwa uongo uongo na ujanja ujanja, ndio maana hata huu muungano wake hauna hati, unasema haya sio matusi? kwa baba wa Taifa?
- Kaka soma Jambo Leo kesho uone hii habari nimeiweka vizuri sana kule!!
Le Mutuz System
Tundu Lissu mwenyewe amekiri sasa sijui wewe unakataa nini. Lissu amemwambia Nyerere ameisha kwa uwongo maisha yake yote. Alizoea vya haramu. Wewe bado huoni kwamba hayo ni matusi. Kubalini tu kwamba hapa jamaa alichemsha big time yaishe.
Rasimu ya sasa sura ya kwanza, sehemu ya kwanza kabisa inaondoa kabisa huo utata wa Zanzibar kutoridhia hati ya makubaliano. Kwa hali ilivyokuwa Zanzibar wakati ule sio rahisi kufahamu kama Baraza la Mapinduzi halikuridhia hati ile. Alichokuwa anatafuta Sheikh Karume wakati ule ni namna ya kuyalinda Mapinduzi yale.Ni hiyo hati ya makubaliano kutoridhiwa na Baraza la mapinduzi kulingana na matakwa ya makubaliano yenyewe, kilikuwa kinakwepwa kitu gani? Na hilo limethibitishwa na wengi akiwemo Jumbe aliyekuwa mjumbe wa baraza hilo 1964-1984. Kama ulivyoandika mwenyewe, kwa kuwa alichosema Lisu ni ukweli, dhana ya matusi haipo.