Ndugu yangu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 676
- 359
Tundu Lisu kasema yafuatayo:
-Hati ya Makubaliano haipo hadi UN. Tanganyika iliondolewaje UN? Mjinga Tundu Lisu.
-Kwamba wapo waliozoea vya kunyonga na haramu. Mpasho huu wa kijinga aliuelekeza kwa nani, kwa lipi?
-Kwamba Mwalimu hakuwa Mungu wala Malaika. Sawa kabisa. Hakusema pia kwamba Mwalimu hakuwa Shetani au Luciferi!
-Mtu na akili yako timamu unaambiwa TANZANIA haipo kihalali bado unamshangilia mjinga kama huyu Tundu Lisu?
"Kwa mfano: Nyerere kama kiongozi na mdau mkubwa wa muungano wa dunia tangu katika wazo walilokuwa pamoja na Nkrumah kuunganisha Afrika nzima, dunia ilimshangaa alipokubaliana na waasi wa Biafra waliotaka kujitenga kutoka Nigeria. Hiyo ni kasoro ambayo kama akili yako haijaruhusu kanuni ya imani utaiona na kusema kweli binadamu mwenzangu alikosea"
Mwalimu amekuwa kwenye UONGOZI wa TAA, TANU na NCHI za Tanganyika na Tanzania kwa muda mrefu sana. Yapo maamuzi mengi tu aliyakosea na baadhi ya makosa yake aliyakiri hadharani yeye mwenyewe.
Tunachomkatalia TL ni namna alivyomkosoa Mwalimu na kuufanya MUUNGANO wetu kuwa kama kituko flani hivi!
Unaweza kumkosoa kwa mipasho ya kanga mtu mzima tena Marehemu mwenye hadhi, haiba na heshima kama ya Mwalimu katika Taifa hili?kwa hiyo kumkosoa mzee wetu ni kumtukana ?
Ile sahihi ya Mzee Abeid Amani Karume kwenye hati rasmi ya Makubaliano ni ya nini? Au kilikuwa cheti cha ubatizo kile!Tanzania haipo kihalali kwa kuwa zanziba hawakuridhia
Hili mbona liko wazi tu. Au kama wewe sio Simba basi ni Yanga kwa lugha rahisi. Hakuna cha Azam hapa ebo.kwani ukiambiwa we si mungu inamaanisha we ni shetani?yaliyopita si mbele ccm wajinga sana
Maamuzi yeyote ya katiba yatategemea kura za BARA na za ZANZIBAR kivyake. Wanaoegemea hoja ya "umungu" wa Nyerere, wakafanye analysis na Zanzibar. Aliyotendewa Abdu Jumbe, Deurado na wengine na Nyerere yatawapa ugumu sana CCM Zanzibar. ..
Maeneo kama KibandaMaiti, MchambaWima ndio mahala pa kuanzia watu wa aina hii ambao shujaa wao ni Tundu Lisu.Na UKAWA wameanzia Zanzibar! A deliberate move?? or a coincidence?!
Sidhani kweli kwa uchambuzi wa viongozi hapa duniani utamwita Nyerere mbinafsi na msaka umaarufu.Mkuu nimekusoma vyema sana.
Kifupi Nyerere alifeli karibia asilimia 70 ya kila jambo lake aliloliasisi. Alifeli mengne hata kabla hajaanza kuyatekeleza. MUSOMA RESOLUTION lilifeli hata kabla halijaanza kutekelezwa, AZIMIO LA ARUSHA lilipelekea Taifa kuwa maskini hata kufikia nchi kuwa katika kumi za mwisho kwa hali mbaya ya uchumi. Alifeli kwakuwa hakuwa na strategia za kufikia yale malengo yake ispokuwa alikuwa ni mbinafsi na aliyetaka kujijengea umaarufu binafsi wakati kulikuwa na watu waliomzidi kimaarifa na ufahamu wa sera ya ujamaa kama ABDURHAMAN BABU. Hakutaka kujifunza bali alivamia sera ya ujamaa kwakuwa tu ilikuwa yafavour malengo yake ya kidikteta.
Mjamaa gani hata umeumwa unaenda kutibiwa nchi ya makapitolisti? Hakuwa mjamaa bali aliuchagua ujamaa kwakuwa unaendana na uongozi aliyoutaka. Haya ndio Watanzania wasiopenda kuyasema wala kuyasikia ndio maana aligeuzwa Mungu mtu kumbe hana lolote.
KWELI LISSU AJIANDAE KUKUMBUNA NA CHANGAMOTO.
Kishimbe, ebu sikiliza hotuba ya Mwalimu alivyoongelea Azimio la Zanzibar. Hapakuwa na ridhaa pale maana hasingesema ilifanyika kwa siri, lakini kwa wenye akili tulijua tu Azimio la Arusha limezikwa.Azimio la Arusha lilivunjwa Nyerere akiwa hai, na kwa ridhaa yake maana hakulikomalia kama lile la G55 na TANGANYIKA yao!
Azimio la Arusha lilivunjwa wakati DUNIA nzima ikifanya kinachoitwa 'STRUCTURAL ADJUSTMENT' baada ya mfumo wa ujamaa DUNIANI ukionyesha kushindwa kuhimili mapigo ya VITA VYA BARIDI mnamo miaka ya 1980 ya mwishomwisho!
KWAHILI LA KUVUNJA AZIMIO LA ARUSHA NAOMBA WATANI ZANGU BORA MNYAMAZE!
NA KUHUSU 'ATI KUNA' WATU NYERERE ALIKUWA HAWATAKI VILEVILE MNAONGEA BILA USHAHIDI, HEBU TULETEENI USHAHIDI NA SAHIHI MTUONYESHE! (TUMEISHAWAONYESHA MKATABA WA MUUNGANO!)
Ni kweli usiofichika kuwa Julius alishindwa kwa kila alilotabiri kwa asilimia 80 na sio sio 70 ni ukweli watu wasiotaka kuuona na jambo la kwanza unalotakiwa kulijua ni siri ya mwenge, serekali mbili mambo ya ajabu ajabu ila alikuwa dicteta hakuna ubishi juu ya hilo umemtaja Marehemu Babu ambaye alimwambia waziwazi " Yakhe wewe wapenda siasa za ewala Bwana"Mkuu nimekusoma vyema sana.
Kifupi Nyerere alifeli karibia asilimia 70 ya kila jambo lake aliloliasisi. Alifeli mengne hata kabla hajaanza kuyatekeleza. MUSOMA RESOLUTION lilifeli hata kabla halijaanza kutekelezwa, AZIMIO LA ARUSHA lilipelekea Taifa kuwa maskini hata kufikia nchi kuwa katika kumi za mwisho kwa hali mbaya ya uchumi. Alifeli kwakuwa hakuwa na strategia za kufikia yale malengo yake ispokuwa alikuwa ni mbinafsi na aliyetaka kujijengea umaarufu binafsi wakati kulikuwa na watu waliomzidi kimaarifa na ufahamu wa sera ya ujamaa kama ABDURHAMAN BABU. Hakutaka kujifunza bali alivamia sera ya ujamaa kwakuwa tu ilikuwa yafavour malengo yake ya kidikteta.
Mjamaa gani hata umeumwa unaenda kutibiwa nchi ya makapitolisti? Hakuwa mjamaa bali aliuchagua ujamaa kwakuwa unaendana na uongozi aliyoutaka. Haya ndio Watanzania wasiopenda kuyasema wala kuyasikia ndio maana aligeuzwa Mungu mtu kumbe hana lolote.
KWELI LISSU AJIANDAE KUKUMBUNA NA CHANGAMOTO.
Lissu ni mkristo wa kundi gani?
Wakatoliki ndio wanao muenzi zaidi Mwalimu.
Waislam wengi hawamuoni Nyerere kama mwema kwao..
Ccm wao wanatumia kina lake kujipandisha kwa wakatoliki.
Baba wa taifa ni title tu haifanyi kutomkosoa ni dhambi kama wanavo itikadi wakatoliki.
mkuu jk ni dhaifu kuliko maelezo, na atatuacha vibaya sana, hebu chukulia hili la lukuvi lingetamkwa na mpinzani jumuia zote za kiislam mpaka mwisilam mmoja mmoja wangehamasishwa kulaani na kutoa matamko dhidi ya mtamkaji! Sasa hivi naona kimyaaaa au kuna jumuiya yoyote ya kiislamu iliyo laani tamko la Lukuvi?Anayemuenzi Nyerere nani? ccm hii ninayoijua? Mara ngapi jk amem-quote Nyerere ktk hotuba zake? yapi ameyafanya kuonesha anamuenzi Nyerere...
by the way kitu gani hakibadiriki...mbona tu nchi nyingi zomebadiri majina na bado maisha yakaendelea vizuri....mnachoogopa nini! Lisu ni shujaa kama alivyo Warioba.
Tumwombe Mungu tu Warioba awe mpole zaidi ya kondooo. Sidhani kama hana support ya kutosha akimua ku-revange in any way possible...anatukanwa kama mtoto mdogo! Jk hii nchi akiaxha salama tutamshukuru Mungu.
Sidhani kweli kwa uchambuzi wa viongozi hapa duniani utamwita Nyerere mbinafsi na msaka umaarufu.