Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tunamuheshimu nyerere na kumuenzi kwasababu katuletea uhuru na kua na misimamo yenye nia chanya
Ila nae alikua na mapungufu yake
Nyerere sio Mungu ni nyerere mtu kama watu wengine
 

mbona hilo liko wazi nyerere ni binadam Kama walivyo binadamu wengine na kuna mengi makosa kafanya
 
Nyerere sio Mungu mtu

Ila ni moja ya watu muhimu kuwahi tokea hapa duniani, alianzisha mambo mengi kwa nia njema, mabeberu hawakua tayari kuona Ujamaa unafanikiwa.
 
Nisome tena, nimeuliza hapo "atakuwaje...".

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Ninakutahadharisha tena we bimkubwa kuwa matusi hafundishwi mtu nami naweza ila ni heshima tu
 
Nyerere sio Mungu mtu

Ila ni moja ya watu muhimu kuwahi tokea hapa duniani, alianzisha mambo mengi kwa nia njema, mabeberu hawakua tayari kuona Ujamaa unafanikiwa.

Umemsikiliza Tundu Lissu? anasema kuna mabaya mengi sana kayafanya, Jee, unayajuwa? ili tusiyarudie.
 
Tunamuheshimu nyerere na kumuenzi kwasababu katuletea uhuru na kua na misimamo yenye nia chanya
Ila nae alikua na mapungufu yake
Nyerere sio Mungu ni nyerere mtu kama watu wengine

Mwambie huyu kibibi kizee maana anataka kutuaminisha kwa mihemko yake na umagamba wake.
 
Sikubaliani nawe unayeamini kuwa Nyerere ni Mungu. Mimi nasema Nyerere si Mungu!

Soma vizuri, Tundu Lissu anakubaliana na wewe, anasema Nyerere si Mungu Mtu na kuna mabaya mengi aliyoyafanya, jee unakubali kuwa Nyerere kafanya mabaya mengi sana?
 
...

Swali langu; Tundu Lissu, Nyerere atakuwaje mtakatifu kama hajafanywa "Mungu Mtu"?


Teh! Itakuwa ajabu siku hiyo majini kuhubiri habari za Jerusalem Mpya na kusifu ukuu wa Kiti cha Enzi kama ambavyo itakuwa maajabu ya karne wewe kumnenea mema Nyerere! Wewe unajua utakatifu unapatikanaje? Acha kushobokea yasiyokuhusu. Wewe saizi yako ni Al-Shabaab, Boko Haram, etc. Hubiri habari za bikra 70 utakatifu wa Nyerere achana nao haukuhusu.
 
Ni vigumu na haiwezekani kabisa kuamini kuwa Nyerere ni Mungu.


Mkuu usiingie kwenye mtego, hakuna yeyote anayeamini hivyo, hiyo ilikuwa ni kauli tu ambayo Mh. Lisu aliitumia kufikisha ujumbe wake, maana haku-refer popote kwamba Nyerere amesemwa ni Mungu!!

Huyu Faiza Foxy ametega mtego wake ili aanzishe UDINI wake, ndio maana comment ya kwanza nikamwambia "ANAKERA"!!
 
Faiza fox na juliana shonza nani mzuri katika uchangiaji mada humu jf sio uchangiaji wa matundu yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…