FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wacha mihemuka we bimkubwa,nyerere hajawa mtakatifu
Nisome tena, nimeuliza hapo "atakuwaje...".
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha mihemuka we bimkubwa,nyerere hajawa mtakatifu
Mimi au Tundu Lissu? sijatia langu humo.
Sikubaliani nawe unayeamini kuwa Nyerere ni Mungu. Mimi nasema Nyerere si Mungu!Msikilize Tundu Lissu anasemaje. Kisha useme unakubaliana nae au hukubaliani nae.
Hiki kipindi ni cha muda lakini nilikuwa sijakisikiliza, leo nimekisikiliza na kuanzia saa moja na dakika nane ya video hii Tundu Lissu anafunguka na kusema, "kuna mengi sana mabaya aliyoyafanya Nyerere".
Msikilize Tundu akimwaga radhi kuhusu Nyerere kuanzia saa moja na dakika nane:
[video]https://youtu.be/1m8IRbqFnb0[/video]
Swali langu; Tundu Lissu, Nyerere atakuwaje mtakatifu kama hajafanywa "Mungu Mtu"?
Nisome tena, nimeuliza hapo "atakuwaje...".
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Nyerere sio Mungu mtu
Ila ni moja ya watu muhimu kuwahi tokea hapa duniani, alianzisha mambo mengi kwa nia njema, mabeberu hawakua tayari kuona Ujamaa unafanikiwa.
Tunamuheshimu nyerere na kumuenzi kwasababu katuletea uhuru na kua na misimamo yenye nia chanya
Ila nae alikua na mapungufu yake
Nyerere sio Mungu ni nyerere mtu kama watu wengine
Sikubaliani nawe unayeamini kuwa Nyerere ni Mungu. Mimi nasema Nyerere si Mungu!
Sasa umetuletea hii habari ili iweje?
Sijakuelewa kabisa.
Umesikiliza Tundu Lissu anasemaje?
Lissu alipotafuta umaarufu kupitia jina la Mwalimu. Huyu jamaa ni very arrogant
Nimesikia
...
Swali langu; Tundu Lissu, Nyerere atakuwaje mtakatifu kama hajafanywa "Mungu Mtu"?
Ni vigumu na haiwezekani kabisa kuamini kuwa Nyerere ni Mungu.