Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msikilize Tundu Lissu anasemaje. Kisha useme unakubaliana nae au hukubaliani nae.
Ni kweli hujamtukana ila umemkanyaHilo tusi liko wapi ewe Mmawia?
Umeanza lini kumwamini Lissu?Mimi sijayaona hayo mema ya Nyerere, Jee Tundu Lissu nae anafanya maajabu kumponda Nyerere? Umensikiliza?
Anasema huu Muungano wa Nyerere ni kuifanya Zanzibar kuwa koloni la Tanganyika, hata Rais wao anachaguliwa Dodoma.
Jee, ni jema hilo, wakati sisi wenyewe tunajidai kulaani ukoloni?
Dada. Wewe unamuamini Tundu Lissu?
mbona hilo liko wazi nyerere ni binadam Kama walivyo binadamu wengine na kuna mengi makosa kafanya
Tundu Lisu ni kati ya watanzania wachache hovyo kabisa katika jamii yetu. Amekosa hekima, busara na maarifa. Baba yako akiharibu au kukosea inahitaji busara kuzungunmza nae au kumwelekeza au kumsahihisha siyo lugha za kishenzi name kipumbavu anazotumia lissu.
Nani alisema Nyerere ni mungu MTU?
Au wapi pameandikwa hivyo? Kama amekosea unamsahihisha kwa hekima bila kutumia nguvu kutuaminisha kuwa we we ndo unafikiri sahihi.
Faizafoxy anamwamini zaidi Tundu Lissu kuliko Mufti
Umeanza lini kumwamini Lissu?
Kwani habari zote zinazoletwa humu JF ili iweje?
Dada. Wewe unamuamini Tundu Lissu?
Unafikiri kuwa Nyerere kafanya "mabaya mengi sana" kama Tundu Lissu asemavyo?
Ndio ni kweli.
Sio kwa ajili Tundu Lissu kasema, bali ni kweli Nyerere sio mungu mtu, ni makosa makubwa kumpigia magoti Nyerere huku tukijua fika kuwa baadhi ya falsafa zake zimetubebesha mzigo mkubwa na mzito sana hadi leo.
Hata hili likatiba linalotulia mapesa yetu chungu mzima ni kutokana na makosa yake ya kutokuiingiza misingi ya azimio la arusha kwenye katiba.[/QUOT
Mi sioni kabisa alipo kosea sema hakuna tunachofata kati ya aliyotuelekeza hasa awamu hii
Kwa nini hukuuliza swali kama hili wakati unapost thread? Wakati mwingine umaamuma na ushabiki wako unakufanya ukurupuke na kuingia kwenye ubishani usio na maana. Lisu kasema maoni yake. Kwa nini hujaona kuwa ni muhimu kuheshimu uhuru wa ke wa kujieleza. Kaona na anaaomini Mwalimu alikuwa na mambo mengi yaliyokuwa si sahihi katika mfumo ule. Kama ataweza kuyataja hulazimishwi wewe pia kuamini kila atakachoamini yeye. Kumbuka kuwa yeye (Lisu) pia sio malaika kuwa sahihi kwa kila jambo.