Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Dada. Ulitaka mpaka aitaje?
sasa shule ulienda kusomea nini dada. Ujinga?

Sijasomea kutia maneno yangu katika vinywa vya wengine. Tundu Lissu nnayasema aliyoyasema na si ya kufikirika.

Naona wewe ndiye uliyesomea ujinga, kwa kutaka kutia yako kinywani kwa mwengine. Unanshangaza.
 
Kwa hiyo FF anamkubali Tundu Lissu siku hizi. Sikujua kuhusu hilo.....

FF anakubali maneno ya Lissu kuwa:

1. Shule za kata ni aibu kwa Taifa.
2. Maabara za mashuleni zimelazimishwa kujengwa na mtu asiyejua maana yake.
3. Chadema si chama cha Wachaga......

Sikubaliani na yote ya Tundu Lissu, nnakubaliana baadhi ya manaeno yake, hususan hilo la Nyerere kuwa "kafanya mambo mabaya mengi tu".

Jee, wewe unakubaliana na hilo? la kuwa Nyerere "kafanya mambo mabaya mengi tu".
 
Wanaofikiri Nyerere ni "Mungu Mtu" hawatakuelewa, wanadhani Nyerere hajawahi kufanya makosa.
Hakuna anayesema Nyerere ni Mungu au Mungu mtu!Kwa hiyo maada hii haina maana!Lisu anatafuta kiki kwa kupitia jina la Nyerere!
 
Sio kwa ajili Tundu Lissu kasema, bali ni kweli Nyerere sio mungu mtu, ni makosa makubwa kumpigia magoti Nyerere huku tukijua fika kuwa baadhi ya falsafa zake zimetubebesha mzigo mkubwa na mzito sana hadi leo.

Hata hili likatiba linalotulia mapesa yetu chungu mzima ni kutokana na makosa yake ya kutokuiingiza misingi ya azimio la arusha kwenye katiba.

Nyerere kutupigania Uhuru haina maana hana mapungu na maana yake hakuwa mungu.

Nyerere katuachia matatizo mengi sana, hii katiba tunayo tumia sasa ambayo ndo inatumaliza ni nyerere katuschia naalijui inamatatizo lukuki.

Nyerere ndo aliye wafundisha ccm kuiba kura na kubadilisha matokeo ya uchaguzi, na sasa ndo imekuwa sera ya ccm.

Nyerere aliyajua yote haya na akayaacha bila kuhakikisha katiba inabadilika na kukidhi maadaili ya demokrasia na kulinda rasilimali za nchi.
 
Kweli dada. hizi dini za kigeni zinatuchezea akili kweli! hebu fikiri jitu linaambiwa jifunge bomu kaue nduguzo halafu wewe ukifa utawakuta bikira 70 ukawafaidi na linakubali. Kisa? eti wanalipigania lile libaka watoto lililopewa utume na mpiga ramli likiwa jitu zima la miaka zaidi ya 40 tena mapangoni lilikokuwa linaabudu masanamu.
Sijui hizo shule wanaenda kusomea ujinga?

Lingine linaambiwa huyu mungu wako muabudu, ukitazama unaona kumbe kapewa mwanasesere wa kizungu kavishwa nepi. Afanaalek! jitu zima Mwaafrika mweusi, anaabudu mwanasesere wa kizungu? Duh!

Halafu linaambiwa chukuwa ndege hii, kateketeze wote, wewe ni msomi, pilot, linakwenda kuteketeza wote, hilo kwa kuwa linaabudu mwanasesere wa kizungu aliyevishwaa nepi unaliona la maana.

Na halina chochote lililoahidiwa zaidi ya ulevi, tena wa hapa hapa duniani.

Halafu huyo huyo mzungu anakuchagulia mtakatifu ni nani! na wewe umo tu, unakubali. Mwafrika mwenzio anakwambia huyo kafanya mabaya mengi tu, hukubali. Khaa!

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Ukiacha la Nyerere, lipi umekubaliana na Tundu Lissu?

Nyerere alikuwa BINADAMU. Ana mabaya yake mengi tu na mazuri yake mengi tu.

Ila kwangu mimi, kama si Nyerere, leo hii nisingelikuwa hapa naandika.

Sikubaliani na yote ya Tundu Lissu, nnakubaliana baadhi ya manaeno yake, hususan hilo la Nyerere kuwa "kafanya mambo mabaya mengi tu".

Jee, wewe unakubaliana na hilo? la kuwa Nyerere "kafanya mambo mabaya mengi tu".
 
Ukiacha la Nyerere, lipi umekubaliana na Tundu Lissu?

Nyerere alikuwa BINADAMU. Ana mabaya yake mengi tu na mazuri yake mengi tu.

Ila kwangu mimi, kama si Nyerere, leo hii nisingelikuwa hapa naandika.

Kila shetani na mbuyu wake.
 
Nyerere kutupigania Uhuru haina maana hana mapungu na maana yake hakuwa mungu.

Nyerere katuachia matatizo mengi sana, hii katiba tunayo tumia sasa ambayo ndo inatumaliza ni nyerere katuschia naalijui inamatatizo lukuki.

Nyerere ndo aliye wafundisha ccm kuiba kura na kubadilisha matokeo ya uchaguzi, na sasa ndo imekuwa sera ya ccm.

Nyerere aliyajua yote haya na akayaacha bila kuhakikisha katiba inabadilika na kukidhi maadaili ya demokrasia na kulinda rasilimali za nchi.

Huo Uhuru aliupigania wapi? wacha uongo.
 
Wakuu, hotuba ya Kamanda Lissu Bungeni jana nina uthubutu wa kusema, tena kwa ujasiri kwamba tangu Tanganyika huru iwepo hatujawahi kushuhudia hotuba kali kama ile. Ni hotuba ya kisomi iliyojaa kila aina ya vielelezo na ushahidi, zaidi ya vielelezo 70 (footnotes), sio mchezo.

Ili kukata mzizi wa fitna nawaomba advocates wa Serikali 2 waje na ushahidi na vielelezo visivyo na shaka kukanusha paper ya Kamanda Lissu na sio kupayukapayuka bila mpango wala hoja za maana. I can see kwanini jamaa wanang'ang'ania Serikali 2 kwa udi na uvumba lakini bahati mbaya kwao kadiri wanavyozidi uking'ang'anizi wao ndivyo wanavyozidi kuharibu na kuachwa uchi wa nyama.

Poleni watetezi wa Serikali 2 ambao mnadhani mna akili na uzalendo kuliko Jaji Joseph Warioba, the former Attorney General of the Republic, Prime Minister and VP; kuliko Dr. Salim A. Salim, the former Minister for Defence, Primer Minister, and OAU Chief; kuliko Judge Brig. Gen. Augustine Ramadhan, the former high ranking member of the People's Armed Forces, NEC Chair, and the Chief Justice of the Supreme Court of the People of Tanzania; kuliko magwiji wengine lukuki waliokuwa wamejazana kwenye Tume ya Warioba. Jengeni hoja mueleweke kama Kamanda Lissu alivyofanya na sio kupayuka kama wendawazimu.

Nilistuka sana kusikia eti Nape Nnauye, W. J. Malecela, na Madabida eti wanazunguka huko na huko "kumjibu" Warioba na timu yake iliyojaa vichwa! Are we serious? Kafulila aliuliza Bungeni, hivi Warioba ni binadamu wa kutukanwa nchi hii? Hata kama alifanya makosa anapaswa kukosolewa kwa staha sio kwa matusi ya dhahiri au ya kificho. Kama kweli ni waungwana, CCM wanapaswa kumwomba msamaha Mzee Warioba na watanzania kwa ujumla.

Nakala: Pasco, Chris Lukosi, et. al.

mimi pia sikufurahia watu waliomtukana mzee warioba ila kwa maoni yangu ni kuwa mzee warioba na timu yake waliwakilisha maoni ya wengi ambayo sio lazima yawe mema kwa mustakabali wa nchi.. refer tu hata darasan akiingia mwalim na kuwauliza wanafunzi wachague kati ya kupiga stori za weekend ilikuaje ama waendelee na lecture kama kawaida weng watachagua stori lakin je kipi muhim kati ya hayo? sio kama nawadharau watanzania ila kusema ukweli idadi ya watu wanaofaham kwa usahihi kabisa kipi ni chema kwa nchi hata kama ni kichungu na kipi ni kibaya kwa nchi hata kama kinapendwa na wengi haizidi asilimia mbili ya watanzania wote. kuendesha nchi ni kazi jaman
 
Naona unatafuta uungwaji mkono wa JF members ili uhalalishe chuki zako kwa Nyerere. Mpango wenu wa kumchafua kupitia yale magazeti yenu umekwama.....and now unataka kumtumia Tundu Lisu kumchafua! Kwa kifupi ni kwamba mnavyozidi kumchafua Nyerere ndivyo anavyozidi kung'aa...ni sawa na kuchoma DHAHABU kwenye moto....itang'aa mara dufu!

Tambua kuwa isingekuwa misingi imara ya umoja wa kitaifa aliyoiweka Nyerere nchi hii ingekuwa imeshasambaratika siku nyingi sana kwa sababu ya udhaifu wa vviongozi waliofuata baada yake! Hilo liko wazi kabisa!

Aidha, Nyerere aliweka misingi imara ya uchumi wa kujitegemea akitumia falsafa ya USOSHALISTI. Ni kweli kwamba approach aliyotumia ilizongwa na changamoto nyingi kiasi kwamba misingi aliyoasisi ikaonekana haifai. Hao unaotaka tuwaone wa maana kuliko Nyerere wakaja na sera ya UCHUMI HURIA kwa kutumia falsafa ya UBINAFSISHAJI wa viwanda vya UMMA.....serikali ikajitoa kutoka kwenye shughuli za biashara na badala yake sekta binafsi ikatawala!

Kama transition kutoka USOSHALISTI kwenda SOKO HURIA ingetanguliwa na SHERIA BORA YA KUSIMAMIA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA pamoja na SHERIA ZA KUSIMAMIA UBINAFSISHAJI ILI KUWEKA MASLAHI YA TAIFA MBELE huenda leo hii tungeshaanza kuitwa AFRICAN LIONS (KAMA ASIAN TIGERS) kwani ukuaji wa uchumi ungemgusa kila mwananchi wa Tanzania. Leo hii UBINAFSISHAJI unatumika kama kichochoro cha KUIBA MALI ZA UMMA. VIWANDA VYA ZAMA ZA NYERERE VILIVYOBINAFSISHWA leo vimegeuka kuwa godowns za kuhifadhia mali za kutoka ughaibuni.

Nyerere alijenga uchumi wa kumjenga mtanzania...sio yeye binafsi...pamoja na kwamba sera zake zilishindwa. Kumbuka kuwa anguko la sera za Nyerere halikumkumba yeye tu bali nchi zote za Kisoshalisti(Kikomunisti) duniani.

CHINA nayo ilikuwa ni nchi ya KIJAMAA kama TANZANIA. Leo CHINA ni nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani and is about to overtake USA in the near future. Sera ya Usoshalisti ilifeli CHINA kama ilivyofeli TZ. Swali, Kwanini baada ya kuhamia uchumi huria CHINA imefanikiwa wakati huohuo TZ imeendelea kufeli.? What is wrong? Deng Xiaoping ndiye raisi wa CHINA aliyeasisi mipango na sera za kuelekea Uchumi wa soko huria. Mipango na sera hizo ziliandaliwa kwa ustadi mkubwa na uzalendo wa hali ya juu zikiambatana na sheria za za hali ya juu zinazosimamia maadili ya viongozi na sera na mipango yenyewe. TZ kwa upande wake ilifanya transition kwa kukurupuka na uzalendo waliuweka kapuni (rejea kuzikwa kwa azimio la Arusha)

Leo hii bila soni wala haya unathubutu kumtukana NYERERE!!!!!! OMG!!!! Hata hiyo tunu moja ya umoja wa kitaifa mumeshaanza kuiharibu kwa kuendekeza UDINI, UKABILA, na UKANDA. Wanasiasa wa leo wanatafuta KURA makanisani na misikitini na ndio hawa unaotaka tuwaone wa maana kuliko Nyrerere!!!

Jambo la mwisho ambalo nataka ulifahamu DADA FAIZA ni kwamba katika SIASA huruhusiwi kutafuta sympathy ya makosa yako kwa kutumia makosa ya viongozi waliokutangalia....badala yake buni sera na mipango mbadala ya kulifanya taifa lisonge mbele kwa kuweka mbele uzalendo. Deng Xiaoping hakujenga uhalali wake mbele ya WACHINA kwa kumponda Mao Zedong na sera zake badala yake alipogundua sera ya USOSHALISTI isingeweza kuwavusha kwenda walikotaka kufika alibuni sera na mipango mipya na ndiyo imeifikisha CHINA hapa ilipo leo. Hata siku moja hakuwahi kumdhihaki Mao Zedong kama wewe na genge lako mnavyofanya kwa Nyerere.

Hiki kipindi ni cha muda lakini nilikuwa sijakisikiliza, leo nimekisikiliza na kuanzia saa moja na dakika nane ya video hii Tundu Lissu anafunguka na kusema, "kuna mengi sana mabaya aliyoyafanya Nyerere".

Msikilize Tundu akimwaga radhi kuhusu Nyerere kuanzia saa moja na dakika nane:

Swali langu; Tundu Lissu, Nyerere atakuwaje mtakatifu kama hajafanywa "Mungu Mtu"?
 
Last edited by a moderator:
Ndio inawezekanika nyerere alikua mwongo..but uwongo wake ulikua na nia yakulinda nchi yetu tz.
 
Lingine linaambiwa huyu mungu wako muabudu, ukitazama unaona kumbe kapewa mwanasesere wa kizungu kavishwa nepi. Afanaalek! jitu zima Mwaafrika mweusi, anaabudu mwanasesere wa kizungu? Duh!

Halafu linaambiwa chukuwa ndege hii, kateketeze wote, wewe ni msomi, pilot, linakwenda kuteketeza wote, hilo kwa kuwa linaabudu mwanasesere wa kizungu aliyevishwaa nepi unaliona la maana.

Na halina chochote lililoahidiwa zaidi ya ulevi, tena wa hapa hapa duniani.

Halafu huyo huyo mzungu anakuchagulia mtakatifu ni nani! na wewe umo tu, unakubali. Mwafrika mwenzio anakwambia huyo kafanya mabaya mengi tu, hukubali. Khaa!

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Haya maneno yanakosa busara ya ki Mungu kabisa.. MTU akiabudu ' mwanasesere' kwako inakuathiri vipi?
Imani yako inakutuma kweli kukashifu namna hii?
Kuna haja gani ya kumjadili hayati Nyerere ambaye hawezi kujitetea hapa?
Tangu Nyerere atoke madarakani kwa nini msipeleke huu ushauri wenu kwa viongozi waliopo kama wewe mzalendo? Kukosoa huku kunakupa faida gani?
Wakimuita utakatifu wenye hiyo imani, unalazimishwa kwani kuamini hivo?
Huu Uhuru wa mawazo unatufikisha hatua ya kukejeli watu tusioshabihiana nao ki mtizamo/ imani kwa kiwango hicho?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, kila mtu ana mapungufu yake na hata wewe pia!!!!
 
Wewe AJUZA ni muongo tu. Unapenda sana kulisha watu maneno. Nimeisikilza Video hadi mwisho. Kama ulidhani hakuna atakayeweza basi umeula wa chuya. Umebadilisha maneno kama alivyosema Lissu kwa malengo yako.
Pure "Siasa za maji taka". Kuwa na aibu wakati mwingine.

Ngoja niandike alichokisema Lissu:

"........mtu akisema, sipendi Itikadi za Nyerere, ananikosea, hanitendei haki.....(anapinga Nyerere kufanywa Mungu ili kupitisha mambo yao/Angalia kuanzi >>1:08:00)......(from >>1:09:00)na kuna mambo MENGI SANA ambayo Mwalimu aliyafanya, MENGI SANA. Na kuna mambo MENGINE MABAYA mengi tu ambayo aliyafanya. Huyu alikuwa Binadamu."

Anamalizia kwa kusema "He was a GREAT MAN na anastahili ku-ENZIWA."

Alivyosema hivyo, ni haohao CCM wenzako walianza kumtukana. Mbona hukusema kitu? Ajuza, kuwa mkweli bana. Kukosekana kwa neno MENGINE, kumebadilisha kabisa maana ya maneno ya LISSU.

Jee, wewe unakubaliana na hilo? la kuwa Nyerere "kafanya mambo mabaya mengi tu".
 
Swala la kumuamini au kutokuamini halipo, swala ni kuwa anamponda Nyerere wazi wazi na katika hilo nnakubaliana nae.

Jee, wewe unakubaliana nae, kuwa matatizo ya kiutawala toka mwaka wa 62 mpaka leo hii ni ya Nyerere.
Mimi nashukuru umetuletea uzi huu. nadhani ulikuwa na lengo baya juu ya Lisu ambalo nimemfuatilia tangu mwanzo hadi mwisho sikuona ni wapi amekosea au kaongea vibaya kuhusu lolote likiwamo la kusema juu ya Mwalimu. Kila alichosema nimekubaliana naye. Kweli Mwalimu sio Mungu na alikuwa na mapungufu yake kama binadamu. Hao wanaopiga kelele kuwa Lisu anamtukana au kumdhihaki Mwalimu ni walewale waliomtukana na kumdhihaki hata kabla Mwalimu hajafa. Jacton Nyerere alishasema sio mara moja hapa, kwamba hata kuondoka kwa mwalimu duniani kuna walakini, hakuna kati yao waliosemwa wamejibu hilo kuashiria kwamba mtu mzima kukataa ukweli ni kujidhalilisha. Maana wakikataa ndipo Jacton Nyerere atakuja na ushahidi zaidi wa kumfanya mtu afe kihoro.

Tukubali kwamba Nyerere Mwalimu alikosea na hata yeye alishasema kwamba wapumbavu wanaacha mazuri na kunakili mambo ya kijinga aliyokosea. Ina maana hata yeye mwenyewe alikiri kuwa alishakosea mambo kibao kama binadamu. Wewe ni nani unajua kwamba mwalimu alisema uwongo kwa kusema hivyo> Mwalimu alipokiri hayo alijisafishia njia machoni pa Mungu na kaenda swaaaaafi!!! Sio wanafiki wanaobweka tu huku wakimtenda mabaya kila siku. Alishasema kuitetea CCM na serikali yake ni lazima uwe na kichwa kama cha mwenda wazimu. lakini sunirini ccm wakiwa wapinzani. Watalialia sana ili waonewe huruma. Heri kutokuwa na chama kabisa kulikoni kuwa CCM kwa jinsi hali ilivyo sasa. CCM yenyewe ni nzuri lakini Imeshikiliwa na wanafiki. Nampongeza Tundu Lisu.
 
Lingine linaambiwa huyu mungu wako muabudu, ukitazama unaona kumbe kapewa mwanasesere wa kizungu kavishwa nepi. Afanaalek! jitu zima Mwaafrika mweusi, anaabudu mwanasesere wa kizungu? Duh!

Halafu linaambiwa chukuwa ndege hii, kateketeze wote, wewe ni msomi, pilot, linakwenda kuteketeza wote, hilo kwa kuwa linaabudu mwanasesere wa kizungu aliyevishwaa nepi unaliona la maana.

Na halina chochote lililoahidiwa zaidi ya ulevi, tena wa hapa hapa duniani.

Halafu huyo huyo mzungu anakuchagulia mtakatifu ni nani! na wewe umo tu, unakubali. Mwafrika mwenzio anakwambia huyo kafanya mabaya mengi tu, hukubali. Khaa!

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Ama kweli inasikitisha dada. Yaani unakuta jitu lina hasira ya kuua watu eti wanampigania jamaa ambaye maisha yake alikuwa anabaka vibinti. Wala hawajiulizi huyo jamaa kama kweli ni mtume wa Mungu kwa nini Mungu mwenyewe asimpiganie? ati wanadamu ndo wanaomtetea na kumpigania kwa ahadi ya kupata bikra. sasa sijui akina FF watahidiwa kupata midume 70 nao?
Hizi shule, sijui wanasomea ujinga?
 
Sijasomea kutia maneno yangu katika vinywa vya wengine. Tundu Lissu nnayasema aliyoyasema na si ya kufikirika.

Naona wewe ndiye uliyesomea ujinga, kwa kutaka kutia yako kinywani kwa mwengine. Unanshangaza.

...samahani dada. Nilisahau kuwa huwa mnafundishwa kukariri.
 
Mwalimu alisema UMMA wa WAZANZIBAR wakisema wanataka bila USHAWISHI TOKA NJE.. na sio WANASIASA wa ZANZIBAR wakitaka na USHAWISHI TOKA NJE...

Ugumu wa lugha kuelewa uko wapi hapo...
 
Back
Top Bottom