Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

fikra gani ipo hai hiyo?

Nyerere aliweka msisitizo katika dhana ya umoja na upendo. Mabara yote yanafanyika kila liwezekanalo ili nchi ziungane, wazungu wanawashangaa sana waingereza wanavyojitenga.

Hotuba ya Nyerere ya 1995 March ni kama ya mwaka huu...ujumbe wake unaishi.
 
Kwa hoja zako najikuta nampongeza Musiba mkuu,aendelee tu kuwasema wazee.
 
Between the two world wars, four types of dictatorships have been described: Constitutional, Communist (nominally championing the "dictatorship of the proletariat"), Counterrevolutionary and Fascist.
Which one ina msuite jamaa yenu
 
Hivi kweli twende mbele na kurudi nyuma, hivi ingetokea maneno haya aliyoyatumia huyu jamaa
Tusome kitu then tuchambue, tuanze na namba moja, hati ya Muungano ipo?
Mkuu, hata kama, Hilo haliwezi kuondoa heshima yake Kwa jinsi alivyolipigania hili Taifa, yeye Tundu Lisu alikuwa wapi, je wazazi wake mbona hawatajwi? Halafu iwe rahisi tu kumvunjia heshima huyu baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…