Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

fikra gani ipo hai hiyo?

Nyerere aliweka msisitizo katika dhana ya umoja na upendo. Mabara yote yanafanyika kila liwezekanalo ili nchi ziungane, wazungu wanawashangaa sana waingereza wanavyojitenga.

Hotuba ya Nyerere ya 1995 March ni kama ya mwaka huu...ujumbe wake unaishi.
 
Aah, bwana kweli kabisa?

Tatizo lenu wengi mnadhani ni "taboo" kuwasema viongozi waliopita kwa makosa yao kwa lengo la kujifunza ili kizazi cha Leo kisijefanya makosa kama hayo....

Ikitokea hivyo, mnadhani na kutaka kuaminisha watu kuwa, huko ni kutukana....!!

Hakuna tusi lolote hapo. Kama alivyoainisha mleta mada, alichokisema Tundu Lissu karibu miaka 6 iliyopita ni kile ambacho kinaonekana kama mwiko (taboo) kwa wengi....

Thanks to Tundu Lissu because he has broken that damaging taboo!!
Kwa hoja zako najikuta nampongeza Musiba mkuu,aendelee tu kuwasema wazee.
 
Between the two world wars, four types of dictatorships have been described: Constitutional, Communist (nominally championing the "dictatorship of the proletariat"), Counterrevolutionary and Fascist.
Which one ina msuite jamaa yenu
 
Hivi kweli twende mbele na kurudi nyuma, hivi ingetokea maneno haya aliyoyatumia huyu jamaa
Tusome kitu then tuchambue, tuanze na namba moja, hati ya Muungano ipo?
Mkuu, hata kama, Hilo haliwezi kuondoa heshima yake Kwa jinsi alivyolipigania hili Taifa, yeye Tundu Lisu alikuwa wapi, je wazazi wake mbona hawatajwi? Halafu iwe rahisi tu kumvunjia heshima huyu baba
 
Back
Top Bottom