Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Miaka 6 iliyopita kabla ya MATAGA kuwepo duniani[emoji1787][emoji1787]
 
Jiwe walilokataa waashi
 
Kwa mtazamao wako hafifi naomba.nikuulize nyerere MUNGU au binadamu?
 
Tundu Lissu anasoma na kufanya reference wengine ni watetezi wa tumbo tu. Kila aliyempinga Lissu kwa hili anaendeleza kuishi katika uongo
 
Sasa hivi anatambua eti Nyerere alijenga Reli
Ushamba uliopitiliza huu! Kwahiyo kwakuwa jiwe anakujengea barabara hutakaa uamini kwamba anaishi akisema uongo ilhali alitudanganya kashusha bei ya sukari, katengeneza ajira milioni 8, maendeleo hayana chama, etc?
 
Ushamba uliopitiliza huu! Kwahiyo kwakuwa jiwe anakujengea barabara hutakaa uamini kwamba anaishi akisema uongo ilhali alitudanganya kashusha bei ya sukari, katengeneza ajira milioni 8, maendeleo hayana chama, etc?
Kama anaamini hivyo anajipendekeza kwa sababu zipi?
 
Leo anajifanya anamheshimu hii ndio sifa kuu ya Tundu Lissu ya ukigeugeu
TAL sio size yenu MATAGA. Ukipata nafasi ya kumuuliza kuhusu hilo alilolisema wakati huo na katika muktadha huo atakufafanulia vizuri. Nina uhakika hatakana kuwa hakusema. Atakiri alisema na kukupa ufafanuzi mzuri sana. Nyerere hakuwa malaika, alifanya makosa mengi kama alivyofanya mazuri mengi, na hiyo haiwezi kutuzuia kujadili makosa aliyofanya ili tusiyarudie. Yeye mwenyewe akiwa mstaafu alikuwa akirudiarudia kutaja makosa ya wakati wa utawala wake. Sasa nyie MATAGA mnataka sote tuamini katika fikira za kijima kwa Nyerere alikuwa malaika, mungu-mtu kama Magufuli anavyotaka kujifanya!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…