Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Kama anaamini hivyo anajipendekeza kwa sababu zipi?
Nimekuuliza swali wewe kutokana na mchango wako wa kishamba sana, nawe unanitwanga swali! Jibu kwanza nijue kiwango chako cha umburura ndo turudi kumzungumzia TL
 
Inawezekana alienda kuomba msamaha kwa familia ya Baba wa Taifa, swali kwanini afanye hivyo sasa?
 
Matusi yote kwa baba wa taifa halafu wajigamba kwa kulala kwake kisa upate kura/kula?! Ndumilakuwili na mpambe wa mabeberu yuko hivyo....Hatudanganyiki....
 
Bawacha jana wameonesha kuutambua na kuuthamini mchango wa baba yetu wa taifa, hayati mw. Julius K Nyerere. Hili ni pigo kubwa kwa Lisu na baadhi ya mabeberu wake waliomtuma kumchafua baba wa taifa letu.
 
Reactions: Tui
Lissu c juzi tuu ametoka kusema Nyerere alikuwa kiongozi bora.! 😁😁 chadema mko vizuri
 
Ridhiwani alikuwa anagombea Ubunge Chalinze,halafu Jakaya Kikwete alisema nini sijui( kuhusu Mwalimu Nyerere),, halafu wabunge wawili au watatu( including Tundu Lissu) wakaongea maneno kumpinga Mwalimu. But not for long. Wabunge wakakemea Mwalimu kutukanwa.
 
Chadema Lissu anapomkosoa hayati Mwalimu Nyerere wanadai ana haki ya kukosolewa kwa sababu ni mwanadamu. Which is true.Hivi kwanini viongozi wa Chadema Mbowe na Lissu wakikosolewa na ukajaribu kuelezea wanakosea wapi.Utatukanwa na kuitwa msaliti au kibaraka.
Hivi Mbowe na Lissu sio wanadamu wanaokosea?
 
..sijawahi kumsikia Mbowe au Lissu amekataa kukosolewa.

..pia ni jambo la uhakika kwamba Mbowe, Lissu, na viongozi wengine wa upinzani, zaidi ya kukosolewa, wamekuwa wakitukanwa matusi makubwa, na kudhalilishwa, na viongozi na wafuasi wa Ccm.
 
Rudia kusoma nilichoandika.Sijasema Mbowe na Lissu hawataki kukoselewa.Nimeandika wakikosolewa basi wanachama na wapenzi wa Chadema watatukana ili kuonyesha kwamba viongozi hao hawakosei.
Utaitwa kila jina ukijaribu kukosowa .
 
..sawa.

..lakini ulitakiwa uwe balanced kwa kuwakemea wanaotukana na kudhalilisha viongozi wa chadema na upinzani kwa ujumla.
 
Reactions: Tui
Kwa namna hii wanufaika wa muunganobatili kwann lisu wasimchape risasi 16?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…